Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MH. PINDA AFUNGA KONGAMANO LA JIOLOJIA AFRIKA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mizengo Pinda, akihutubia wakati akifunga Kongamano la 25 la Wajiolojia Barani Afrika lililofanyika tarehe 14-16 Jijini Dar es Salaam. Wakati akifunga Kongamano hilo, Waziri Pinda amewataka watafiti barani Afrika kufanya tafiti ambazo zina mahusiano ya moja kwa moja na jamii ili tafiti hizo zitumike katika kuwazesha wananchi kufaidika na rasilimali zilizopo barani Afrika. Baadhi ya Wajilojia kutoka nchi mbalimbali barani Afrika wanaohudhuria...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Waziri Membe afunga rasmi kongamano la wadau wa habari ukanda wa Afrika Mashariki.

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe akisisitiza jambo kwa wadau mbalimbali wa habari toka nchi za ukanda wa Afrika Mashariki mapema hii leo wakati akifunga kongamano la siku mbili la wadau wa habari liloandaliwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki lenye lengo la kuangalia mchango wa vyombo vya habari katika kukuza demokrasia katika nchi za ukanda wa Afrika Mashariki. Mhariri wa gazeti la Hoja toka nchini Tanzania Bw. Yassin Sadik  akichangia mada wakati wa kufunga...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda afungua Kongamano la ufugaji Nyuki Afrika

PG4A9309

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama ngoma kabla ya kufungua kongamno la ufugaji nyuki Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 11, 2014. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A9594

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia  wakati alipofungua Kongamano la Ufugaji Nyuki Barani Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 11, 2014.

PG4A9553

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea tuzo ya...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AFUNGA MKUTANO WA KUHUSU KUWALINDA TEMBO AFRIKA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Kiongozi wa Shirika la Maendeleo la wa Mataifa (UNDP Adminostrator) na Waziri Mkuu wa zamani wa Newzealand, Helen Clark wakati alipofungua mkutano kuhusu Tembo barani Afrika (The African Elephant Conference) kwenye hoteli ya Hyatt Regency mjini Dar es salaam May 10, 2014.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGA KONGAMANO LA 3 LA VIJANA WA TANZANIA NA CHINA, JIJINI ARUSHA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake jana Machi 29, 2015 wakati akifunga rasmi Kongamano la tatu la Vijana wa Tanzania na China, lililohusu masuala ya Uongozi, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Ngurdoto jijini arusha.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la China na Afrika, Chen Lin, baada...

 

11 years ago

Michuzi

PINDA AFUNGA WIKI YA MAJI

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua mradi wa maji wa Mkonze katika Maanispaa  ya Dodoma katika kilele cha wiki ya maji leo Machi 22, 2014. Kushoto kwake ni Waziri wa Maji, Profesa  Jumanne Maghembe na kulia kwake ni Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier    Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiweka jiwe lamsingi la  mradi wa maji wa  tangi la maji la Chuo Kikuu cha Dodoma ikiwa ni moja ya shughuli za kilele cha wiki ya maji   Waziri Mkuu,...

 

9 years ago

Michuzi

KAMISHNA WA SHERIA NA UENDESHAJI WA MAGEREZA AFUNGA RASMI KONGAMANO LA WASAIDIZI WA KISHERIA MAGEREZANI MKOANI MOROGORO

Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akitoa hotuba kwa Maofisa Wasaidizi wa Kisheria Magerezani kwenye hafla ya ufungaji wa Kongamano la Wasaidizi wa Sheria lililofadhiliwa na Shirika la Envirocare ambapo Kongamano hilo limefanyika kwa siku tatu kuanzia Septemba 2, 2015 Mkoani Morogoro. Washiriki wa Kongamano hilo ambao ni Maofisa wa Jeshi la Magereza kutoka Mikoa Mitano Tanzania Bara(Dar es Salaam, Tanga, Arusha, Kilimanjaro na Morogoro) wakifuatilia kwa makini...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,MH. PINDA AFUNGA MAONYESHO YA TAASISI ZA MUUNGANO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi ya kinyago cha umoja kutoka kwa Naibu Waziri , Ofisi ya Makau wa Rais, Umy Mwalimu baada ya kufunga monyesho ya Taasisi za Muungano kwenye viwanja vya Mnazi Moja jijini dar es salaam Aprili 19, 2014. Kulia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha, Mwiguli Nchemba na kulia kwake Ni Kati Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Florens Turuka. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)

 

11 years ago

Michuzi

MH. PINDA AFUNGA MAONYESHO YA NANENANE KANDA YA ZIWA JIJINI MWANZA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea tuzo ya Kilimo Kwanza kutoka kwa Yusuf Sinare Yusuf ambayo imetolea na Baraza la Taifa la Kueneleza Wakulima (ACT) kwa niaba ya wakulima, wafugaji na wavuvi nchini katika monyesho ya wakulima Nanenane yaliyofanyika kikanda na kufungwa na Waziri Mkuu jijini Mwanza August 8, 2014. Waziri Mkuu, izengo Pinda akitazama batamzinga kwenyebanda la wilaya ya Ukerewe katika maonyesho ya wakulima Nanenane ya kanda ya ziwa yaliyofanyika jijini Mwanza August 8,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani