MH. RIDHIWANI KIKWETE ATEMBELEA SHUGHULI ZA MAENDELEO JIMBONI KWAKE
Na John Gagarini,Globu ya Jamii - Chalinze
MBUNGE wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete jana alianza ziara kwenye Jimbo hilo ambapo ametembelea shughuli mbalimbali pamoja na kujua changamoto zilizopo kwenye Jimbo lake.
Ridhiwani alitembelea kata ya Pera na kuzungumza na wakazi wa vitongoji mbalimbali ambavyo vinaunda kata hiyo ambapo leo ametembelea kata ya Kibindu nako alipata fursa ya kuzungumza na wakazi wa vitongoji vilivyopo kwenye kata hiyo.
Mbunge huyo atakuwa na ziara ya wiki moja...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi.jpg)
Mh. Ridhiwani Kikwete adhamiria kunyanyua michezo jimboni kwake
MBUNGE wa Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani,Ridhiwani Kikwete ameendelea na ziara yake kwenye Jimbo hilo ambapo ameendelea kuangalia shughuli mbalimbali za maendeleo.
Mbali ya kuangalia masuala ya maendeleo pia kwenye suala la michezo hakuwa nyuma kwa kuweza kukabidhi jezi kwa kijiji cha Mboga ili kuendeleza michezo kwa vijana walioko kwenye kijiji hicho.
.jpg)
10 years ago
MichuziMhe Ridhiwani Kikwete aendelea na zaiara yake jimboni kwake Chalinze
10 years ago
Michuzi.jpg)
MBUNGE WA CHALINZE MHE. RIDHIWANI KIKWETE ATOA MSAADA WA CHAKULA KWA WAATHIRIKA WA MVUA JIMBONI KWAKE
.jpg)
.jpg)
11 years ago
GPL
RIDHIWANI KIKWETE APIGA KAMPENI KATIKA KATA YA FUKAYOSE JIMBONI CHALINZE
10 years ago
Vijimambo
MBUNGE WA CHALINZE RIDHWANI KIKWETE AZIPA BAISKELI OFISI 221 ZA CCM JIMBONI KWAKE




10 years ago
MichuziMH. RIDHIWANI KIKWETE KUHARAKISHA MAENDELEO CHALINZE
10 years ago
Dewji Blog04 Jan
Ridhiwani Kikwete kuharakisha maendeleo Chalinze
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akihutubia wananchi katika Kijiji cha Changarikwa wakati wa ziara ya kikazi pamoja na kuwashukuru wananchi kwa kuchagua viongozi wa Seikali ya Kijiji wa CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.CCM imepata ushindi wa Vijiji vyote katika 74 katika jimbo hilo.
Ridhiwani akisisitiza jambo alipokuwa akihutubia katika kijiji hicho ambapo aliwataka kuacha tabia ya kukata miti ovyo kwa ajili ya mkaa ama sivyo vijiji vitageuka jangwa.
Mkazi wa...
10 years ago
Michuzi.jpg)
Mhe. Ridhiwani Kikwete atembelea Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa
.jpg)