Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mh. Ridhiwani Kikwete adhamiria kunyanyua michezo jimboni kwake

Na John Gagarini, Chalinze
MBUNGE wa Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani,Ridhiwani Kikwete ameendelea na ziara yake kwenye Jimbo hilo ambapo ameendelea kuangalia shughuli mbalimbali za maendeleo.
Mbali ya kuangalia masuala ya maendeleo pia kwenye suala la michezo hakuwa nyuma kwa kuweza kukabidhi jezi kwa kijiji cha Mboga ili kuendeleza michezo kwa vijana walioko kwenye kijiji hicho.Mbunge wa Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani,Mh. Ridhiwani Kikwete  akimvalisha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MH. RIDHIWANI KIKWETE ATEMBELEA SHUGHULI ZA MAENDELEO JIMBONI KWAKE

Na John Gagarini,Globu ya Jamii - Chalinze
MBUNGE wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete jana alianza ziara kwenye Jimbo hilo ambapo ametembelea shughuli mbalimbali pamoja na kujua changamoto zilizopo kwenye Jimbo lake.
Ridhiwani alitembelea kata ya Pera na kuzungumza na wakazi wa vitongoji mbalimbali ambavyo vinaunda kata hiyo ambapo leo ametembelea kata ya Kibindu nako alipata fursa ya kuzungumza na wakazi wa vitongoji vilivyopo kwenye kata hiyo.
Mbunge huyo atakuwa na ziara ya wiki moja...

 

10 years ago

Michuzi

Mhe Ridhiwani Kikwete aendelea na zaiara yake jimboni kwake Chalinze

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akihutubia wananchi mjini Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo, Pwani,  ambapo pamoja na kuwashuru kwa kumchagua, pia alisema atatumia unasheria wake kuwasaidia wakazi wa jimbo hilo wanaonyimwa haki zao za msingi ikiwemo kuporwa ardhi. Ridhiwani akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo uliofanyika katika Uwanja wa Masoko mjini Chalinze  Mkazi wa Chalinze, Bibi akitoa malalamiko yake mbele ya Mbunge Ridhiwani Kikwete ya kudhulumiwa shamba lake na watu...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE WA CHALINZE MHE. RIDHIWANI KIKWETE ATOA MSAADA WA CHAKULA KWA WAATHIRIKA WA MVUA JIMBONI KWAKE

 Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Chalinze Bw. Idd Swala (mwenye kanzu), ambaye alimwakilisha mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Ridhiwani Kikwete akikabidhi kwa  wakaazi wa Chalinze misaada ya chakula baada ya  nyumba zao kuharibiwa vibaya kutokana  na mvua kubwa iliyonyesha hivi karibuni.

 

11 years ago

Michuzi

RIDHIWANI KIKWETE ADHAMIRIA KUWAKOMBOA WANA CHALINZE


Meneja wa Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Steven Kazidi akimnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete kwa Wananchi wa Kijiji cha Kibindu,Kata ya Mbwewe,Bagamoyo leo Machi 16,2014.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI,CHALINZE.  Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akisalimiana na wanakijiji wa kijiji cha Kwamsanja,wakati alipofika kwa ajili ya kuzungumza nao na kuwaomba kura katika...

 

11 years ago

GPL

RIDHIWANI KIKWETE APIGA KAMPENI KATIKA KATA YA FUKAYOSE JIMBONI CHALINZE‏

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze Bw. Ridhiwani Kikwete akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mkenge kata ya Fukayose Jimbo la Chalinze jana. Mwenyekiti wa kata ya Fukayose, Orinjulie Machanga akiwahutubia wananchi wa kijiji…

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE WA CHALINZE RIDHWANI KIKWETE AZIPA BAISKELI OFISI 221 ZA CCM JIMBONI KWAKE

Mjumbe wa Halamashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC) na Mbunge wa Jimbo la Chalinze lililopo Wilaya ya Bagamoyo, mkoani Pwani, Ridhiwan Kikwete amefanya ziara Jimboni kwake na kugawa Baiskeli 221 kwaajili matawi yote ya CCM jimboni humo kusaidia shughukli za uchaguzi Serikali za Mitaa na Vijiji.Baiskeli hizo ziligawiwa kwa Makatibu wa Vyama kutoka ofisi hizo za CCM.Katibu wa Mbunge wa Chalinze, akiwa na baadhi ya Makatibu wa Matawi ya CCM.Katibu wa Mbunge akiwa na mtaalam wa uchimbaji...

 

11 years ago

Michuzi

Mh. Simbachawene akiwa jimboni kwake Kibakwe

Naibu Waziri wa Ardhi Mhe. George Simbachawene ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, akiwa pamoja na Viongozi wa CCM Wilaya ya Mpwapwa na Viongozi wa kata ya Rudi walipotembelea na kukagua jengo la josho la mifugo lililojengwa kwa nguvu za wananchi na serikali kijiji cha Mtamba kitongoji cha Iramba kata ya Rudi Wilaya ya Mpwapwa.Picha na Mgheni Anthony. Naibu Waziri wa Ardhi Mhe. George Simbachawene akikabidhi msaada wa magodoro,saruji na mabati kwa Bi.Asha Mtata kwa niaba ya wananchi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani