Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MH. TEMBA, JOKATE KUTOKA NA FUNDI

Mwanamuziki anayekimbiza kwenye game la muziki wa Kibongo, Aman Temba ‘Mh. Temba’. Boniphace Ngumije
MWANAMUZIKI anayekimbiza kwenye game la muziki wa Kibongo, Aman Temba ‘Mh. Temba’ siku si nyingi anategemea kuibuka na ngoma inayoitwa Fundi, aliyoifanyia katika Studio ya Mj Records chini ya produza Marco Chali na kumshirikisha mwanamitindo maarufu Bongo, Jokate.  Mwanamitindo maarufu Bongo,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Hanscana akwamisha kutoka kwa ngoma mpya ya Temba

Temba

Temba amedai kuwa Hanscana ndiye aliyesababisha kuharibika kwa ratiba yake ya kuachia video ya wimbo wake mpya, Fundi.

Temba

Rapa huyo ambaye miezi michache iliyopita aliwaahidi mashabiki wake kuachia wimbo ‘Fundi’ aliyowashirikisha Yamoto Band na Jokate, ameimbia Bongo5 kuwa kazi hiyo haitoweza kutoka tena mwaka huu.

“Nimeshindwa kutoa ngoma kwa sababu nilipanga kutoa audio na video lakini director Hanscana akawa amesafiri South Africa kwa short project, lakini akakaa mwezi mmoja na nusu ndio...

 

10 years ago

Bongo Movies

Jokate Akanusha Kutoka na Millard Ayo!

Mwanamitindo na mwigizaji, Jokate Mwegelo ameucho molea vilivyo uvumi uliozagaa kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na mtangazaji Millard Ayo wa Clouds FM.

Uvumi huo ulianzia mitandaoni ambapo mwanahabari wetu alipomtafuta Jokate juzikati, aliweka plain ukaribu wake na Millard ambaye ni mtangazaji mwenye mvuto mkubwa kwa jamii.

“Millard ni mshkaji, namkubali kutokana na uchapakazi wake, anajua kujituma na ni mpambanaji lakini nje ya hapo hakuna cha zaidi,” alisema Jokate.

Picha: Jokate akiwa...

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALI MBALI WAKATI WA KUREKODI VIDEO MPYA YA CHEGE NA TEMBA KUTOKA TMK WANAUME


Wasanii wa Muziki wa Kizazi kipya kutoka TMK Wanaume Family,Temba na Chege wakiwa ndani ya ndege wakati wakiendelea Kurekodi Video yao mpya ambayo itatoka hivi karibuni.
Sehemu ya Wadau wa Muziki wanaoshiriki kwenye video hiyo ni pamoja na Julio,Madee na Jokate kama wanavyoonekana pichani hapa.

BOFYA HAPA KUONA PICHA KIBAO 

 

10 years ago

Vijimambo

SHUKRANI KUTOKA KWA DR TEMBA KWENDA KWA NEW YORK TANZANIA COMMUNITY PAMOJA NA NDUGU NA MARAFIKI


Mwalimu Flavian Temba 6-09-2015 
To All: We wish to acknowledge the many expressions from friends and love one during this time bereavement. Words cannot express the strength you and the Diaspora and Bongo community have given us during this difficult time. 
May Mwalimu Flavian Temba's bright spirit live on in us all. Sincerely 
Temba Anicetus family



His wife, Salome Flavian Temba, family and friends giving blessing on his eternal journey in peace 

Godson Philip Kilewo, families, and...

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya Ushindi wa Tuzo, Diamond Atupa Dongo kwa Jokate, Jokate Naye Ajibu

Usiku wa jana kuamkia leo July 19 2015 Diamond Platnumz kanyanyua ushindi mwingine kwenye Tuzo za MTVMAMA2015, zilizokuwa zikitolewa Durban Africa Kusini.

Leo Diamond alipost Video inayomwonesha staa wa Mitindo Bongo, mrembo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ akicheza wimbo wa ‘Mdogomdogo‘ alafu akaandikia hivi >>>> ‘Mbona Bado, Mtanyooka tu..‘ >>>> @ diamondplatnumz

Baadae Jokate nae akaandika kwenye ukurasa wake wa @Instagram kuhusu video hiyo ambayo alimpost Diamond.
Tuki-support mtu ndio kama hivi...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI JAFO AAGIZA SHULE ILIYOJENGWA NA DC JOKATE IITWE JOKATE GIRLS SEKONDARI, ASIFU UTENDAJI WAKE


Moja ya jengo jipya na la kisasa la Shule ya Sekondari ya Wasichana Jokate Girls iliyopo Kata ya Kibuta wilayani Kisarawe mkoani Pwani ambayo linavyoonekana.Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemen Jafo amefanya ziara ya kutembelea shule hiyo kwa ajili ya kukagua maendeleo ya ujenzi wake.
Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemen Jafo akizungumza jana baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Shule ya bweni ya...

 

10 years ago

GPL

NDOA YA TEMBA YAPUMULIA MASHINE

MWANDISHI WETU
NDOA ya msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Amani James ‘Temba’ inadaiwa kupumulia mashine kutokana na madai ya kuwepo kwa usaliti baina yao. Msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Amani James ‘Temba’ akiwa na mke wake siku ya ndoa yao. Habari kutoka kwa chanzo kilicho karibu na wanandoa hao wanaoishi wilayani Temeke, kinasema kumekuwa na mgogoro wa muda mrefu baina...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kapteni Temba aukacha ukapera

MKURUGENZI  wa Kundi la Taarabu la ‘Funga Kazi’ lenye maskani yake Kigamboni, jijini Dar es Saalam, Kariya Temba ‘Kapteni Temba,’ ameamua kuuaga ukapera baada ya kumuoa mmoja wa waimbaji wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani