NDOA YA TEMBA YAPUMULIA MASHINE
![](http://api.ning.com:80/files/-5YwiIyenR-v2SadzK5yYauA79lAqHBiCybjVp4FWxOVT23*LvmzE5zgSb6hn2kv4wa3RCrDLlyQgYw7sJMBm0APC7fYtVIB/Temba.jpg?width=650)
MWANDISHI WETU NDOA ya msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Amani James ‘Temba’ inadaiwa kupumulia mashine kutokana na madai ya kuwepo kwa usaliti baina yao. Msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Amani James ‘Temba’ akiwa na mke wake siku ya ndoa yao. Habari kutoka kwa chanzo kilicho karibu na wanandoa hao wanaoishi wilayani Temeke, kinasema kumekuwa na mgogoro wa muda mrefu baina...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboTEMBA ENGINEERING WAMALIZA MRADI WA KUUNDA MASHINE YA KUKAUSHIA MATUNDA KWENYE SHAMBA LA UDC
10 years ago
Dewji Blog11 Mar
AUDIO: Jaji Lubuva akanusha vikali taarifa ya gazeti ‘Mkandarasi wa mashine za BVR amegoma kuleta mashine nchini’
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damiani Lubuva akitoa kanusho kuhusiana na Mkandarasi wa BVR kugoma kuleta vifaa, achachamaa kutokana na habari iliyoandikwa na gazeti la Tanzania Daima.
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-gQ_8q3tPVy0/VjIygiylqBI/AAAAAAAEDHg/B2uvl9-9ZE0/s72-c/e09a307436ce4b4357f4ad6cf996ce04.jpg)
9 years ago
GPLMH. TEMBA, JOKATE KUTOKA NA FUNDI
11 years ago
Tanzania Daima02 Jul
Kapteni Temba aukacha ukapera
MKURUGENZI wa Kundi la Taarabu la ‘Funga Kazi’ lenye maskani yake Kigamboni, jijini Dar es Saalam, Kariya Temba ‘Kapteni Temba,’ ameamua kuuaga ukapera baada ya kumuoa mmoja wa waimbaji wa...
10 years ago
Tanzania Daima24 Aug
Ya Moto Band wafunika sherehe ya Mh. Temba
KUNDI la muziki wa kizazi kipya nchini, Ya Moto Band lenye maskani yake Temeke jijini Dar es Salaam, juzi walikuwa gumzo katika sherehe ya kumpongeza mkali wa muziki huo, Amani...
10 years ago
Tanzania Daima29 Aug
Mh. Temba kuipamba Serengeti Fiesta Moshi
WAPENZI na mashabiki wa muziki wa jiji la Moshi, mkoani Kilimnjaro, Jumamosi hii watapata burudani ya aina yake kupitia onyesho la nguvu maarufu kama Serengeti Fiesta katika Uwanja wa Majengo....
11 years ago
CloudsFM19 Jun
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Chege, Mh. Temba wafunika Coco Beach
KATIKA kusherehekea Sikukuu ya Pasaka, wasanii Chege Chigunda ‘Mtoto wa Mama Saidi’ na Mhe. Temba, wametoa burudani ya aina yake kwa wapenzi na mashabiki wa muziki katika tamasha maalumu la...