Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mh. Ummy Mwalimu akutana na wadau wa Tiba Asili

ummy-tiba asili 223

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu katika picha ya pamoja baada ya kufanya mazungumzo na wadau wa Tiba Asili, ofisini kwake makao makuu ya wizara hiyo.

ummy-tiba asili 224

ummy-tiba asili 228

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Habari za kupotosha dhidi ya Rais Magufuli, Ummy Mwalimu na 'tiba' ya Madagascar

Huku idadi ya wagonjwa wa corona ikizidi kuongezeka katika mataifa ya Afrika, habari za kupotosha zinaendelea kusambazwa katika mitandao ya kijamii.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI UMMY MWALIMU AKUTANA NA TAASISI YA SEKTA BINAFSI-TPSF


Na. WAMJW-DSM

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu leo amekutana na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) na kujadili namna ya kukabiliana na ugonjwa wa Corona (COVID-19) nchini.

Katika kikao hicho, Waziri Ummy Mwalimu ameshukuru baraza hilo kwa kushirikiana na Sekta ya afya katika mapambano ya ugonjwa huo.

”Mchango wa sekta binafsi mkiwamo nyie wafanyabiashara ni muhimu kwani mtaleta manufaa makubwa katika mapambano haya,” amesema Waziri Ummy...

 

5 years ago

Michuzi

MKOA WA KATAVI ,WADAU WAWEKA MKAKATI WA KUJENGA JENGO LA KISASA LA KLINIKI YA TIBA ASILI

Na Mwandishi Wetu,Michuzi Blog ya jamii

MKUU wa Mkoa wa Katavi Juma Homera amesema pamoja na kuendelea na shughuli mbalimbali za maendeleo ndani ya Mkoa huo kwa sasa wanaendelea na mkakati wa kujenga Kliniki ya Tiba asili kwa kushirikiana na wadau mbalimbali.

Kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa Homela ni kwamba wamefikia hatua hiyo baada ya wannanchi wa Mkoa huo na wadau wa tiba asili kutoa ombi hilo na hiyo ni baada ya kuwepo kwa vitendo vya udanganyifu katika utoaji wa tiba asili.

Amesisitiza kwamba ...

 

10 years ago

GPL

BARAZA LA TIBA ASILI, MBADALA LAPIGA MARUFUKU MATANGAZO NA VIPINDI VYA TIBA HIYO

Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Profesa Rogassian Mahunnah. Kutoka kushoto ni Kaimu Msajili wa tiba Asili Mboni Bakari, Mwenyekiti, Profesa Rogassian Mahunnah na Mfamasia Lucy Samweli. BARAZA hilo limesema halitambui vipindi na matangazo yote ya tiba asili na tiba mbadala yanayoendelea kwa sasa kwenye vyombo vya habari… ...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Ummy Mwalimu ziarani jijini Arusha

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Ummy Mwalimu akiongea na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha Bw. Fidelis Lumato mara baada ya kutembelea kiwanda cha A –Z cha Jijini hapo kukagua masuala ya Mazingira.
picha zaidi bofya hapa

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Onyesheni tiba asili zenye ubora’

WASHIRIKI katika maonyesho ya biashara ya kimataifa ya Tiba Asili ya Mwafrika yanayotarajiwa kuanza Novemba 16 hadi 23 mwaka huu, wametakiwa kuonyesha bidhaa bora zitakazoleta ushindani katika soko la Tiba...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania:Matangazo tiba asili marufuku

Baraza la tiba asili na tiba mbadala Tanzania limesitisha vibali vya kurusha matangazo kwenye vyombo vya habari

 

9 years ago

Habarileo

Waganga tiba asili waagizwa kujisajili

BARAZA la tiba asili na tiba mbadala limetakiwa kuhakikisha waganga wote wanaotoa huduma kwa wateja wanasajiliwa ili kuepuka udanganyifu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani