MH. WASSIRA NA MH. JANUARY MAKAMBA WAHOJIWA NA KAMATI LEO

Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa White House mara baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili.
Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba akiondoka kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi mara baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili.
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Ndugu Stephen Wassira akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuhojiwa na kamati...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
MAKAMBA, WASSIRA NAO WAHOJIWA NA KAMATI NDOGO YA MAADILI CCM
11 years ago
Michuzi
NEWS ALERT: WATATU WAHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI CCM DODOMA LEO




10 years ago
Dewji Blog10 Jun
January Makamba kuchukua fomu ya Urais leo mjini Dodoma
MBUNGE wa jimbo la Bumbuli, mjumbe wa NEC na Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba baada ya kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
10 years ago
Bongo510 Mar
Tu8 January haina uhusiano wowote na January Makamba — Fid Q
10 years ago
Mwananchi12 Jul
January,makamba,wanaCCM,halmashauri,Taifa,January,Membe,wagombea,mapinduzi,chama,maoni,Amina,Migiro
10 years ago
Vijimambo
Nay wa Mitego Amvaa January Makamba..Adai January Ndio Mnunuzi Mkuu wa Akina Dr Slaa, Lupumba, Twaweza na Wasanii

Msanii wa bongo fleva, Nay wa Mitego amemvaa mjumbe wa kamati ya Kampeni ya CCM,January Makamba na kudai yeye ni mnunuaji mkuu wa tafiti na wasanii kwa lengo la kukisaidia chama chake.Nay alimjibu January Makamba aliyepost ujumbe ukionyesha kushangaa tuhuma dhidi ya CCM kuwa imekuwa ikinunua wanasiasa,tafiti pamoja na wasanii kwa lengo la kuulaghai umma.
"Zitto kanunuliwa. Slaa kanunuliwa. Lipumba kanunuliwa. Twaweza imenunuliwa. Synovate...
11 years ago
Mwananchi15 Feb
Makamba Wassira nao wawekwa kikaangoni