Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makamba Wassira nao wawekwa kikaangoni

>Kamati ndogo ya Maadili ya CCM imeendelea kuwahoji wanachama wake walioonyesha nia ya kuwania urais, jana ilikuwa zamu ya mawaziri watatu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAKAMBA, WASSIRA NAO WAHOJIWA NA KAMATI NDOGO YA MAADILI CCM

 Naibu Waziri wa Mawasiliano  Sayansi na Teknolojia, January Makamba akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa White House mjini Dodoma mara baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili CCM jana.
January Makamba akiondoka kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi mara baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili.…

 

11 years ago

Mwananchi

Majaji, Mahakimu wawekwa kikaangoni

>Mahakama imeanza kutekeleza mpango kabambe wa kuondoa mrundikano wa kesi na kwa mara ya kwanza katika historia ya mhimili huo nchini, majaji na mahakimu wamewekewa malengo ya kesi wanazopaswa kusikiliza na kuzitolea uamuzi.

 

11 years ago

Michuzi

MH. WASSIRA NA MH. JANUARY MAKAMBA WAHOJIWA NA KAMATI LEO

 Naibu Waziri wa Mawasiliano  Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa White House mara baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili.  Naibu Waziri wa Mawasiliano  Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba akiondoka kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi mara baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili. Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Ndugu Stephen Wassira akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuhojiwa na kamati...

 

9 years ago

Habarileo

Wanafunzi wawekwa kinyumba

BAADHI wa wanafunzi wa kike wanaosoma katika shule za sekondari mkoani Rukwa, wamejikuta wakiwekwa kinyumba baada ya wazazi na walezi wao kuwapangishia vyumba vijijini na kuwatelekeza.

 

11 years ago

Mwananchi

Zanzibar wawekwa kitimoto

Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) juzi jioni walipata wakati mgumu katika kikao cha ndani cha wabunge wa chama hicho wakituhumiwa kwa ‘usaliti wa Muungano’.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ng’ombe wawekwa ‘reflector’ Zimbabwe

Wakazi wa eneo la Gutu nchini Zimbabwe wamevumbua njia ya kuzuia ajali za barabarani zinazohusisha ng’ombe wanaozurura zurura.

 

10 years ago

Mwananchi

Wawekwa kiporo maeneo mengi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa jana ulilazimika kuahirishwa katika baadhi ya maeneo nchini, kutokana ama na kukosewa kwa majina ya wagombea, baadhi yao kuwekewa nembo za vyama wasivyotoka au uhaba wa vifaa vya kupigia kura.

 

9 years ago

Mtanzania

Watuhumiwa wa makontena 40 wawekwa rumande

4c36Suleiman-KovaNA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limewakamata watumishi 40 wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Mamlaka ya Bandari (TPA) wanaotuhumiwa kula njama za kuikosesha Serikali mapato.

Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini, Kamishna wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, alisema jeshi hilo linawashikilia watumishi 26 wa TRA na watatu wa Bandari kavu (ICD) ya Azam kwa kuhusika na upotevu wa makontena 329.

Aliwataja watumishi...

 

10 years ago

Mwananchi

Vigogo kikaangoni

 Hatima ya viongozi watano wa ngazi za juu wa Mamlaka ya Reli nchini (TRL) kung’olewa au kubaki madarakani, itajulikana ndani ya siku saba baada Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe kuunda kamati ya uchunguzi wa matatizo ndani ya TRL.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani