Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ng’ombe wawekwa ‘reflector’ Zimbabwe

Wakazi wa eneo la Gutu nchini Zimbabwe wamevumbua njia ya kuzuia ajali za barabarani zinazohusisha ng’ombe wanaozurura zurura.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mradi wa kopa ng'ombe lipa ng'ombe TZ

Wanawake Tanzania wapiga hatua na kujiimarisha katika mradi wa kopa ng'ombe lipa ng'ombe.

 

10 years ago

Bongo5

YP kuagwa TCC Chang’ombe na kuzikwa kesho (Oct 22) katika makaburi ya Chang’ombe

Msanii wa kundi la Wanaume Family YP aliyefariki usiku wa kuamkia leo kwa ugonjwa wa kifua, anatarajiwa kuagwa kesho (October 22) kwenye viwanja vya TCC Chang’ombe na baada ya hapo atazikwa katika makaburi ya Chang’ombe karibu na maduka mawili. Akizungumza ba BONGO 5 jioni hii, kiongozi wa kundi la TMK Wanaume Family amesema mpaka sasa […]

 

9 years ago

Habarileo

Wanafunzi wawekwa kinyumba

BAADHI wa wanafunzi wa kike wanaosoma katika shule za sekondari mkoani Rukwa, wamejikuta wakiwekwa kinyumba baada ya wazazi na walezi wao kuwapangishia vyumba vijijini na kuwatelekeza.

 

11 years ago

Mwananchi

Zanzibar wawekwa kitimoto

Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) juzi jioni walipata wakati mgumu katika kikao cha ndani cha wabunge wa chama hicho wakituhumiwa kwa ‘usaliti wa Muungano’.

 

11 years ago

Mwananchi

Majaji, Mahakimu wawekwa kikaangoni

>Mahakama imeanza kutekeleza mpango kabambe wa kuondoa mrundikano wa kesi na kwa mara ya kwanza katika historia ya mhimili huo nchini, majaji na mahakimu wamewekewa malengo ya kesi wanazopaswa kusikiliza na kuzitolea uamuzi.

 

10 years ago

Mwananchi

Wawekwa kiporo maeneo mengi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa jana ulilazimika kuahirishwa katika baadhi ya maeneo nchini, kutokana ama na kukosewa kwa majina ya wagombea, baadhi yao kuwekewa nembo za vyama wasivyotoka au uhaba wa vifaa vya kupigia kura.

 

9 years ago

Mtanzania

Watuhumiwa wa makontena 40 wawekwa rumande

4c36Suleiman-KovaNA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limewakamata watumishi 40 wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Mamlaka ya Bandari (TPA) wanaotuhumiwa kula njama za kuikosesha Serikali mapato.

Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini, Kamishna wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, alisema jeshi hilo linawashikilia watumishi 26 wa TRA na watatu wa Bandari kavu (ICD) ya Azam kwa kuhusika na upotevu wa makontena 329.

Aliwataja watumishi...

 

11 years ago

Mwananchi

Makamba Wassira nao wawekwa kikaangoni

>Kamati ndogo ya Maadili ya CCM imeendelea kuwahoji wanachama wake walioonyesha nia ya kuwania urais, jana ilikuwa zamu ya mawaziri watatu.

 

10 years ago

Vijimambo

Tisa wawekwa chini ya karantini kwa Ebola

Waziri wa Afya, Seif Rashid
Watu tisa wamewekwa chini ya karantini kutokana na kumhudumia mtu anayedaiwa kufariki kwa ugonjwa wa Ebola katika hospitali ya wilaya ya Sengerema, Mwanza mwishoni mwa wiki.

Idadi hiyo imefikia baada ya wafanyakazi watatu wa halmashauri ya wilaya ya Sengerema waliohusika kuuzika mwili wa mgonjwa huyo, Salome Richard (17), kuzuiwa kuchanganyika na wanajamii hadi vipimo halisi vitakapothibitisha ni ugonjwa gani uliomuua msichana huyo.

Salome alifariki usiku wa kumkia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani