Mh17 ilidunguliwa
ndege ya Malaysia ilikumbwa na kitu chenye ncha na kugongwa mara kadhaa na vifaa vyenye mionzi mikali ndio chanzo cha ajali.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili18 Jul
Ilikuwa ajali au ndege ilidunguliwa?
Ndege ya Malaysia iliyoanguka Alhamsi ilikuwa imewabeba abiria 298.Inadaiwa kudunguliwa na wapiganaji wa Ukraine
9 years ago
BBCSwahili14 Dec
Misri: Hakuna ushahidi ndege ya Urusi ilidunguliwa
Misri imesema kuwa haijapata ushahidi wowote kuwa ndege ya Urusi iliyoanguka katika rasi ya Sinai na kuua watu 224 ililipuliwa.
10 years ago
BBCSwahili10 Nov
Kumbukumbu ya MH17
Kumefanyika maadhimisho ya kuwakumbuka watu walipoteza uhai wao katika ndege ya shirika la ndege la Malaysia MH17, Uholanzi.
11 years ago
BBCSwahili28 Jul
UN: MH17 huenda ni Uhalifu wa Kivita
UN yaonya kuwa kutunguliwa kwa MH17 mashariki mwa Ukraine huenda ni uhalifu wa kivita.
11 years ago
TZToday29 Jul
10 years ago
BBCSwahili22 Aug
Malaysia yaomboleza abiria wa MH17
Miili ya abiria 20 walioangamia katika mkasa wa ndege ya Malaysia ya MH17 imewasili Kual Lumpur
11 years ago
Bongo518 Jul
Picha: Ndege ya Malaysian Airlines MH17 yadunguliwa na kuuwa abiria wote 295
Ndege ya abiria ya shirika la Malaysian Airlines yenye namba MH17 aina ya boeing 777 imeanguka katika eneo la mpaka wa Urusi na Ukraiane, na kusababisha vifo vya abiria wote 295 waliokuwemo kwenye ndege hiyo. Mabaki ya ndege hiyo katika eneo la ajali Ndege hiyo iliyokuwa ikitokea Amsterdam kuelekea Kuala Lumpur inadaiwa kuwa imedunguliwa na […]
11 years ago
Bongo524 Jul
Simu za abiria waliopoteza maisha kwenye ajali ya ndege ya MH17 zinapokelewa na watu walioziiba
Familia za abiria waliopoteza maisha kwenye ajali ya ndege ya MH17 wanasema simu za wapendwa wao zinapokelewa na wezi waliozichukuia kwenye eneo ilipoangakua ndege hiyo nchini Ukraine. Baadhi ya vitu vilivyosambaa baada ya ndege hiyo kudunguliwa na kuanguka Ndugu hao waliopiga simu za wapendwa wao, wameliambia gazeti moja la Uholanzi kuwa simu hizo zinapokelewa na […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania