MHE. PINDA KUFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA PSPF

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mizengo Kayanza Pinda. Na Mwandishi Wetu, Dodoma WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mizengo Kayanza Pinda anatarajiwa kufungua mkutano wa Nne wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF utakaofanyika tarehe 18 na 19 Februari 2015 katika Manispaa ya Dodoma. Kauli mbiu ya mkutano huo ni, ‘PSPF- chaguo lako sahihi’. Taarifa iliyotolewa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo17 Feb
MHE. PINDA KUFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA PSPF
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mizengo Kayanza Pinda anatarajiwa kufungua mkutano wa Nne wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa...
10 years ago
Michuzi
WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AFUNGUA MKUTANO WA NNE WA WADAU WA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF MJINI DODOMA

11 years ago
Michuzi.png)
TANGAZO LA MKUTANO MKUU WA WADAU PSPF
.png)
TANGAZO LA MKUTANO MKUU WA WADAU Mfuko wa Pensheni wa PSPF unatangaza kwamba kutakuwa na Mkutano Mkuu wa tatu wa wadau utakaofanyika tarehe 26 na 27 Februari 2014 kuanzia saa mbili na nusu asubuhi hadi saa kumi jioni katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere uliopo barabara ya Shaban Robert jijini Dar es salaam.
Madhumuni ya Mkutano huu ni kutoa taarifa ya hesabu ya mwaka na utendaji wa Mfuko na kutathmini mafanikio na...
11 years ago
Michuzi
MKUTANO MKUU WA TATU WA WADAU WA PSPF WAANZA LEO JIJINI DAR

11 years ago
Michuzi
MKUTANO MKUU WA TATU WA WADAU WA PSPF WAFANYIKA JIJINI DAR LEO

10 years ago
Dewji Blog18 Feb
PINDA agungua mkutano wa nne wa mfuko wa PSPF — Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Nne wa PSPF baada ya kufangua mkutano huo kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Saint Gaspar mjini Dodoma Februari 18, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Tuzo Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Rasirimaliwatu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ernest Maalugu, ikiwa ni heshima kwa wizara hiyo kutokana na umakini wa hali ya juu katika kuwasilisha makto ya michango ya watumishi wake kwa Mfuko wa...
10 years ago
Dewji Blog19 Feb
PINDA afungua mkutano wa nne wa mfuko wa PSPF — Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Nne wa PSPF baada ya kufangua mkutano huo kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Saint Gaspar mjini Dodoma Februari 18, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Tuzo Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Rasirimaliwatu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ernest Maalugu, ikiwa ni heshima kwa wizara hiyo kutokana na umakini wa hali ya juu katika kuwasilisha makto ya michango ya watumishi wake kwa Mfuko wa...
10 years ago
Michuzi
MKUTANO WA NNE WA WADAU WA MFUKO WA PENISHENI WA PSPF WAMALIZIKA LEO MJINI DODOMA

10 years ago
Michuzi