Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mhifadhi Moyowasi na msaidizi wake wauawa

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro NyalanduMHIFADHI wa Pori la Akiba la Moyowosi Kigosi lililopo Wilaya ya Bukombe mkoani Geita, George Kimaro na Msaidizi wake Antony Andrew, wameuawa na wananchi kwa kupigwa mawe.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Msaidizi wa Lowassa achunguzwa uraia wake

Maafisa wa polisi nchini Tanzania wamesema kuwa wanamzuia msaidizi wa aliyekuwa waziri mkuu wa taifa hilo Edward Lowassa ili kuchunguzwa kuhusiana na uraia wake.

 

5 years ago

CCM Blog

BOSI TAKUKURU NA MSAIDIZI WAKE WALIVYO DAKWA KATIKA MTEGO WA RUSHWA

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa – TAKUKURU inapenda kuufahamisha umma kwamba, watumishi wake wawili akiwemo Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Tanga, wamesimamishwa kazi kuanzia  Machi 20, 2020 ili kupisha uchunguzi dhidi yao. Hatua hii imefikiwa leo baada ya watumishi hao:
(i)Christopher Mariba – Aliyekuwa Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Tanga na
(ii) Hilton Njau – Afisa Uchunguzi Mkuu kutoka ofisi ya TAKUKURU mkoa wa Tanga, kuhusishwa na tuhuma za kuomba na kupokea rushwa kutoka kwa mmoja wa...

 

10 years ago

Michuzi

Askofu Dk Alex Malasusa amuingiza kazini Msaidizi wake Mch. Chediel Lwiza

1aAskofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa akimuingiza kazini Msaidizi wake Mch. Chediel Lwiza wakati wa Ibada iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wachungaji pamoja na waumini mbalimbali wa KKKT.2aMkuu wa KKKT Askofu Dk Alex Malasusa akimuingiza kazini Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Godfrey Nkini wakati wa Ibada iliyofanyika Kanisa Kuu la Azania Front jijini Dar es Salaam4aMkuu wa KKKT Askofu...

 

11 years ago

Michuzi

kesi ya bosi wa bandari na msaidizi wake: upelelezi wakamilika, maelezo ya awali kusikilizwa septemba 11, 2014


Na Sultani Kipingo, MahakamaniUPANDE wa Jamhuri katika kesi inayomkabili aliyekuwa  Mkurugenzi wa Mlamkala ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Ephraimu Mgawe na msaidizi wake, umedai kwamba upelelezi umekamilika dhidi ya tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka kwa kusaini mkataba wa kuipa kazi Kampuni ya Ujenzi ya China Communications Ltd bila kutangaza zabuni.Madai hayo yalitolewa leo na upande wa Jamhuri katika kesi hiyo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Mfawidhi, Isaya Arufani kwamba...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mhifadhi mkuu apigwa risasi DRC

Emmanuel de Merode ambaye ni mkurugenzi wa mbuga ya wanyama pori ya Virunga ambayo ni makao ya Sokwe wanaokaa milimani katika Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kanal na dereva wake wauawa,Misri

Kanali mmoja wa polisi Nchini Misri na dereva wake wamepigwa risasi na kuuawa.

 

11 years ago

Mtanzania

Mama na mtoto wake wauawa kikatili

Arusha Town

Arusha Town

Na Eliya Mbonea, Arusha

MKAZI wa eneo la Baraa Ngulelo, jijini Arusha, Lightness Thomas na mtoto wake wa kike, Joyna Charles (9), wamekutwa wamekufa ndani ya nyumba yao huku vichwa vyao vikiwa vimetobolewa na kitu chenye ncha kali.

Miili ya watu hao iligundulika ndani ya nyumba yao usiku wa Julai 27, mwaka huu, kitandani na kufunikwa blanketi, huku ikiwa imeharibika vibaya.

Akizungumza na MTANZANIA, ndugu wa marehemu ambaye hakupenda jina lake litajwe kwenye gazeti, alidai watu...

 

10 years ago

Habarileo

Mgombea uenyekiti, mfanyakazi wake wauawa

Kamanda wa Polisi mkoani Tabora, Suzan KagandaALIYEKUWA mgombea nafasi ya Uenyekiti wa Serikali ya kitongoji cha Idodomiya kijiji cha Kanoga na mfanyakazi wake kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, wameuawa kwa kupigwa kwa mapanga.

 

10 years ago

Mwananchi

Mama, watoto wake wawili wauawa kwa kuchinjwa

Familia ya watu watatu ya mkazi wa Kijiji cha Mwamalulu, Kata ya Nara, wilayani Nzega, Mkoa wa Tabora, Leticia Thomas (30) na watoto wake wawili, wameuawa kwa kuchinjwa na watu wasiojulikana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani