Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msaidizi wa Lowassa achunguzwa uraia wake

Maafisa wa polisi nchini Tanzania wamesema kuwa wanamzuia msaidizi wa aliyekuwa waziri mkuu wa taifa hilo Edward Lowassa ili kuchunguzwa kuhusiana na uraia wake.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mhifadhi Moyowasi na msaidizi wake wauawa

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro NyalanduMHIFADHI wa Pori la Akiba la Moyowosi Kigosi lililopo Wilaya ya Bukombe mkoani Geita, George Kimaro na Msaidizi wake Antony Andrew, wameuawa na wananchi kwa kupigwa mawe.

 

5 years ago

CCM Blog

BOSI TAKUKURU NA MSAIDIZI WAKE WALIVYO DAKWA KATIKA MTEGO WA RUSHWA

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa – TAKUKURU inapenda kuufahamisha umma kwamba, watumishi wake wawili akiwemo Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Tanga, wamesimamishwa kazi kuanzia  Machi 20, 2020 ili kupisha uchunguzi dhidi yao. Hatua hii imefikiwa leo baada ya watumishi hao:
(i)Christopher Mariba – Aliyekuwa Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Tanga na
(ii) Hilton Njau – Afisa Uchunguzi Mkuu kutoka ofisi ya TAKUKURU mkoa wa Tanga, kuhusishwa na tuhuma za kuomba na kupokea rushwa kutoka kwa mmoja wa...

 

10 years ago

Michuzi

Askofu Dk Alex Malasusa amuingiza kazini Msaidizi wake Mch. Chediel Lwiza

1aAskofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa akimuingiza kazini Msaidizi wake Mch. Chediel Lwiza wakati wa Ibada iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wachungaji pamoja na waumini mbalimbali wa KKKT.2aMkuu wa KKKT Askofu Dk Alex Malasusa akimuingiza kazini Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Godfrey Nkini wakati wa Ibada iliyofanyika Kanisa Kuu la Azania Front jijini Dar es Salaam4aMkuu wa KKKT Askofu...

 

11 years ago

Michuzi

kesi ya bosi wa bandari na msaidizi wake: upelelezi wakamilika, maelezo ya awali kusikilizwa septemba 11, 2014


Na Sultani Kipingo, MahakamaniUPANDE wa Jamhuri katika kesi inayomkabili aliyekuwa  Mkurugenzi wa Mlamkala ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Ephraimu Mgawe na msaidizi wake, umedai kwamba upelelezi umekamilika dhidi ya tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka kwa kusaini mkataba wa kuipa kazi Kampuni ya Ujenzi ya China Communications Ltd bila kutangaza zabuni.Madai hayo yalitolewa leo na upande wa Jamhuri katika kesi hiyo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Mfawidhi, Isaya Arufani kwamba...

 

9 years ago

Habarileo

Bakhresa achunguzwa

KAMPUNI ya Said Salim Bakhresa (SSB) inachunguzwa na vyombo vya dola kwa tuhuma za kushiriki kukwepa kodi na hivyo kuikosesha serikali mabilioni ya fedha kutokana na makontena yaliyohifadhiwa kwenye bandari yake ya nchi kavu (ICD) ‘kupotea’ bila kulipiwa kodi. Tayari Mamlaka ya Mapato (TRA) imepiga marufuku SSB kuingiza makontena katika bandari hiyo kavu ambako ndiko kunadaiwa kufanyika kwa vitendo hivyo vya ukwepaji wa kodi kutokana na baadhi ya makontena kupotea katika mazingira ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Hollande achunguzwa na NSA ?

Mtandao wa Wikileaks unadai kuwa chombo cha upelelezi cha Marekani NSA kimemchunguza rais Francois Hollande,

 

11 years ago

BBCSwahili

Moyes achunguzwa na polisi

Aliyekuwa kocha wa Manchester United David Moyes anachunguzwa na polisi kusu madai alimpiga mteja kwenye baa

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwanamke mbaguzi achunguzwa Australia

Polisi nchini Australia wanamchunguza mwanamke anayedaiwa kuwatusi abiria wenzake matusi ya kibaguzi mjini Sydney.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mchezaji achunguzwa kwa kuchokoza mbwa

Mchezaji mmoja wa Oakland Raiders anachunguzwa na maafisa wa polisi kwa ‘kubweka’ na kujipiga kifua mbele ya mbwa wa polisi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani