Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mhudumu wa mochuari ‘amchimba mkwara’ waziri

Mfanyakazi wa Kitengo cha Kuhifadhi Maiti cha Hospitali ya Rufaa ya Mbeya, Eugene Vurugu amemtisha Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid kuwa ikitokea amefariki dunia akiwa mkoani Mbeya, basi maiti yake italazwa kwenye sakafu hospitalini hapo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Sitta amchimba mkwara mkewe

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta jana alimchimba mkwara mkewe Margareth Sitta kuwa angepata tabu san      a kama angekosea kupiga kura.

 

11 years ago

GPL

MAMA KANUMBA AMCHIMBA MKWARA SETH

Stori: Hamida Hassan
MAMA wa Marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amemchimba mkwara mzito mdogo wa marehemu, Seth Bosco baada ya kuona amefanya kosa na kuamua kumtishia kuwa atamfuta kwenye Kampuni ya Kanumba The Great. Mama wa Marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa Mama huyo pasipo kuweka wazi moja kwa moja tatizo, alisema kuwa kuna kosa kubwa Seth alilifanya na alishindwa kulivumilia hivyo kumuonya kuwa atamuondoa kwenye...

 

9 years ago

BBCSwahili

Chui amuua mhudumu New Zealand

Mhudumu mmoja wa bustani ya kuhifadhi wanyama ameuawa na chui mwenye milia huko Hamilton New Zealand.

 

9 years ago

Mwananchi

Hadithi ya Nyangeche , eric., kijana, mhudumu, kilevi

Eric alianza kutweta kwa kijasho chembamba na kufanikiwa kuongea: “Nyangache … hapa ni nyumbani.  Pia kumbuka heshima na upendo wetu kwa Mungu.” Alitulia. Nilimtazama na kumshika mkono wake wa kulia na kumketisha katika kiti nami niliketi katika kiti kingine.Tulitazamana. Nilianza kuvunja ukimya na kusema: ”Najua nitakufa! Najua nitakufa!

 

10 years ago

GPL

BWANA WA WASTARA ADAIWA KUMPA MIMBA MHUDUMU

Na Gladness Mallya na Hamida Hassan
MSANII wa filamu za Kibongo ambaye ni Mtangazaji wa Channel Ten, Bond Bin Sinan, anadaiwa kumpa mimba mhudumu wa baa maarufu ya Break Point (BP) iliyopo Kijitonyama, Dar, anayejulikana kwa jina moja la Grace (pichani). Mhudumu wa baa anayejulikana kwa jina moja la Grace anayedaiwa kupewa mimba na Msanii wa filamu za Kibongo, Bond bin… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ndege yatua mhudumu akilala ndani ya Shehena

Ndege ya abiria 170 yalazimika kutua mhudumu alipolaa ndani ya shehena ya mizigo

 

10 years ago

BBCSwahili

Mhudumu wa baa taabani kwa kifo cha mteja

Muhudumu mmoja wa baa amepatikana na hatia ya mauaji baada ya kumpa mteja wake jumla ya vipimo 56 vya pombe kisha akafa.

 

9 years ago

Bongo5

Picha: KCee alipogeuka mhudumu wa ndege kwa kuvaa sare na kuhudumia abiria!

Pata picha unasafiri na ndege, na mhudumu anayekukaribisha mlangoni na kukuonesha pa kukaa ni Diamond ambaye pia baadaye anakuja kukuhudumia chakula na vinywaji wakati wa safari. Ndivyo ilivyokuwa Jumamosi ya Oct.24 pale mwimbaji wa Nigeria, Kcee alipogeuka kuwa mhudumu wa ndege kwa siku moja, ambapo alivaa sare za ‘cabin crew’ na kuhudumia abiria kwenye safari […]

 

9 years ago

MillardAyo

Cheki na mgahawa wa kichina, huduma zote unaagiza kwa simu.. hakuna mhudumu !! (+Video)

Najua ni mazoea au kawaida kila unapoenda sehemu ya huduma kama mgahawani, hotelini unakutana na wahudumu ambao wanakupokea, wanakukaribisha kwa ukarimu kabisa.. alafu unaanza kuulizwa unahitaji huduma gani ?! China hayo mambo huyakuti kila sehemu… hiyo kazi yote imeachiwa simu yako aisee !! Mgahawa mmoja uliopewa jina la Renrenxiang Restaurant, uliopo Beijing China hakuna mhudumu kabisa… mteja […]

The post Cheki na mgahawa wa kichina, huduma zote unaagiza kwa simu.. hakuna mhudumu !!...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani