Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miaka 52 ya uhuru, malaria imetushinda

Hivi karibuni, Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk Mary Nagu amesema asilimia 97 ya Watanzania wako hatarini kuambukizwa ugonjwa wa malaria huku ugonjwa huo ukibeba asilimia 30 ya mzigo wa magonjwa kwa Taifa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

RAIS JK AWASILI UWANJA WA UHURU KUONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU WA TANGANYIKA

Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Uhuru kwa maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika hivi punde. Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa sasa amewasili katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kuongoza maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika uliopatikana Desemba 9, 1961.

 

9 years ago

Michuzi

MFUKO WA PENSHENI WA GEPF WAUNGANA NA KAMPUNI YA SARUJI YA DANGOTE KUFANYA USAFI SIKU YA UHURU NA BAADAE BONANZA LA MICHEZO KATIKA KUADHIMISHA MIAKA 54 YA UHURU WA TANZANIA

Mkuu wa Kitengo cha masoko kutoka GEPF Bw Aloyce Ntukamazina akiongoza timu ya wafanyakazi wa Mfuko pamoja na wafanyakazi wa Dangote kufanya usafi katika maeneo ya soko la Mbae na Ufukoni mkoni Mtwara katika kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru wa Tanzania na kutekeleza agizo la Mh Rais John Pombe Magufuli la kuhakikisha watanzania wanafanya usafi katika maeneo yao.Zoezi la kufanya usafi katika maeneo ya soko la Mbae na Ufukoni mkoni Mtwara likiendelea ikiwa ni katika kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru...

 

10 years ago

Vijimambo

MIAKA 66 YA UHURU WA INDIA

Balozi Mdogo wa India Zanzibar,Balozi Satendar Kumar, akipandisha Bendera ya India kuadhimisha Siku ya Uhuru wa India kutimia miaka 66 ya Uhuru wa Nchi hiyo, maadhimisho hayo yamefanyika katika Ofisi za Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar. Balozi Mdogo wa India Zanzibar,Balozi Satendar Kumar, akitowa heshima wakati upandishaji wa Bendera ya India kuadhimisha Siku ya Uhuru wa India kutimia miaka 66 ya Uhuru wa Nchi hiyo kwa Zanzibar yameadhimishwa katika viwanja vya Obalozi Mdogo wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Miaka 20 ya uhuru Afrika Kusini

Utawala wa wa ubaguzi wa rangi uliwafanya watu wengi weusi kuwa maskini, ikilinganishwa na wenzao weupe. Sasa maisha yamebadilika kwa raia wengi weusi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kenya yasherehekea miaka 50 ya Uhuru

Kenya inasherehekea miaka 50 ya uhuru walioupata chini ya utawala wa Uingereza.

 

10 years ago

Michuzi

LEO NI SIKUKUU YA MIAKA 53 YA UHURU

 Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiinua juu bango linalonadi UHURU KAMILI miaka 53 iliyopita. Leo ni sikukuu ya kukumbuka siku hii adhimuBaba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiwasili uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam kujiunga na wananchi kusherehekea sikukuu ya Uhuru miaka 53 iliyopita.

 

10 years ago

BBCSwahili

Watanzania waadhimisha miaka 53 ya uhuru

Tanzania bara leo inaadhimisha miaka 53 toka ilipojipatia uhuru toka kwa Muingereza Desemba 9, mwaka 1961.

 

5 years ago

CCM Blog

ZIMBABWE YAADHIMISHA MIAKA 40 YA UHURU

           Imetimia miaka 40 leo (18.04.2020) tangu bendera ya Uingereza iliposhushwa nchini Zimbabwe, na ya taifa jipya huru ikapandishwa kuashiria uhuru wa nchi hiyo, miongoni mwa chache zilizokuwa zikibakia chini ya ukoloni.Miongo minne tangu siku hiyo ya uhuru, Wazimbabwe wengi wanasema hakuna cha kusherehekea, kufuatia miaka mingi ya utawala wa kikandamizaji wa Rais Robert Mugabe.

Kawaida maelfu ya raia wa Zimbabwe hushiriki katika hafla za kuadhimisha sikukuu ya uhuru kila tarehe 18...

 

11 years ago

Mwananchi

Miaka 52 ya uhuru, michezo haijafanikiwa

Leo Watanzania zaidi ya milioni 40 wataungana kuadhimisha miaka 52 ya Uhuru wa Tanganyika tangu  Desemba 9, 1961 ambapo bendera ya Mwingereza

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani