Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZIMBABWE YAADHIMISHA MIAKA 40 YA UHURU

           Imetimia miaka 40 leo (18.04.2020) tangu bendera ya Uingereza iliposhushwa nchini Zimbabwe, na ya taifa jipya huru ikapandishwa kuashiria uhuru wa nchi hiyo, miongoni mwa chache zilizokuwa zikibakia chini ya ukoloni.Miongo minne tangu siku hiyo ya uhuru, Wazimbabwe wengi wanasema hakuna cha kusherehekea, kufuatia miaka mingi ya utawala wa kikandamizaji wa Rais Robert Mugabe.

Kawaida maelfu ya raia wa Zimbabwe hushiriki katika hafla za kuadhimisha sikukuu ya uhuru kila tarehe 18...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

NSSF YAADHIMISHA MIAKA 54 YA UHURU KWA KUFANYA USAFI SHULE YA MSINGI TANDALE

Wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Hifadi ya Jamii (NSSF) wakishiriki kufanya usafi katika Shule ya Msingi Tangale Magharibi kwa kuondoa Maji Taka ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya mika 54 ya Uhuru wa Tanganyika.Wafanyakazi wa NSSF wkiadhimisha miaka 54 ya Uhuru wa Tanganyika wakifanya usafi wa mazingira katika Shule ya Msingi Tandale Magharibi, Jijini Dar es Salaam leo.Maofisa wa NSSF wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya usafi katika Shule ya Msingi Tandale Magharibi leo.

 

9 years ago

Michuzi

WIZARA YA FEDHA YAADHIMISHA SHEREHE ZA UHURU KWA KUFANYA USAFI

Baadhi ya watumishi wakikata matawi ya miti kwa makini bila kuharibu nya za simu yaliyokuwa kizuizi katika barabara eneo la ofisi za wizara ya fedha kwa lengo la kufanya usafi leo jijini Dar es salaam.Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile akiongea na watumishi wa wizara hiyo leo jijini Dar es salaam mara baada ya kumaliza zoezi la kufanya usafi ikiwa ni mwitikio na utekelezaji wa agizo la Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli la kufanya usafi...

 

11 years ago

GPL

RAIS JK AWASILI UWANJA WA UHURU KUONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU WA TANGANYIKA

Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Uhuru kwa maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika hivi punde. Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa sasa amewasili katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kuongoza maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika uliopatikana Desemba 9, 1961.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Prolife yaadhimisha miaka 20

SHIRIKA la Kutetea Uhai wa Binadamu (Prolife), limeanza maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwa kutoa elimu ya uzazi wa mpango kwa njia asili. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam,...

 

11 years ago

BBCSwahili

Sudan Kusini yaadhimisha miaka 3

Maelfu ya wananchi nchini Sudan Kusini wamejitokeza kushuhudia gwaride la kijeshi katika sherehe za kuadhimisha miaka mitatu tangu kujipatia uhuru.

 

10 years ago

GPL

KONGOWE JOGGING YAADHIMISHA MIAKA MITANO

Mmoja wa washiriki wa Kongowe jogging akiwa kashika bendera ya taifa kama ishara ya uzalendo. Mbunge wa Kigamboni, Mhe. Faustine Ndugulile (mwenye jezi ya bluu) pamoja na viongozi wengine wa serikali kutoka Jimbo la Kigamboni wakiongoza…

 

10 years ago

Michuzi

BENKI M YAADHIMISHA MIAKA 8 TOKA ILIPOANZISHWA

Benki M yaadhimisha miaka 8 toka ilipoanzishwa, pichani ni naibu mkurugenzi mkuu wa Benki M Bi. Jaqueline Woiso katika mkutano na waandishi wa habari wikiendi hii katika ukumbi wa hoteli ya Hyatt Regency, kuelezea mafanikio waliyopata katika kipindi hicho cha miaka 8 , kulia ni mkurugenzi wa mawasiliano wa benki hiyo Bw. Allan Msalilwa. BANK M Tanzania plc leo inatimiza miaka 8 toka ilipoanzishwa July 27, 2007. Akiongea na waandishi wa habari, Naibu mkurugenzi mkuu wa...

 

10 years ago

Habarileo

Tanzania Bara yaadhimisha miaka 53 ya kuzaliwa

Rais Jakaya Kikwete akisalimia maelfu ya wananchi waliojitokeza katika sherehe hizo katikauwanja wa Uhuru, jijini Dar bes Salaam.AMIRI Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Kikwete leo amewaongoza Watanzania katika kuadhimisha miaka 53 ya kuzaliwa Tanzania Bara.

 

5 years ago

Michuzi

MLOGANZILA YAADHIMISHA MIAKA 200 YA TAALUMA YA UUGUZI



Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila, Dkt. Julieth Magandi akiwapongeza wauguzi wakati wa maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani.Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi MNH-Mloganzila Sr. Redemptha Matindi akifafanua jinsi taaluma ya uuguzi inavyofanya kazi.Baadhi ya wauguzi waliohudhuria katika maadhimisho hayo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani