Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KONGOWE JOGGING YAADHIMISHA MIAKA MITANO

Mmoja wa washiriki wa Kongowe jogging akiwa kashika bendera ya taifa kama ishara ya uzalendo. Mbunge wa Kigamboni, Mhe. Faustine Ndugulile (mwenye jezi ya bluu) pamoja na viongozi wengine wa serikali kutoka Jimbo la Kigamboni wakiongoza…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

UKWELI UTAKUWEKA HURU: Miaka 54 mmeshindwa, miaka mitano mtaweza?

Kwanza kabisa napenda niwaombe radhi wasomaji wangu wa safu  hii ya   ‘Ukweli Utakuweka huru’ kwa kuzikosa  mada zangu kwa takriban  mwezi mmoja. Hali hii ilitokana na sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wangu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Prolife yaadhimisha miaka 20

SHIRIKA la Kutetea Uhai wa Binadamu (Prolife), limeanza maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwa kutoa elimu ya uzazi wa mpango kwa njia asili. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam,...

 

10 years ago

Vijimambo

MIAKA MITANO YA MAX MALIPO



Mkurugnezi Mtendaji wa Kampuni ya Kitanzania ya MaxCom Africa, inayotoa huduma za Max Malipo, Juma Rajabu na Mwakilishi wa Manispaa ya Kinondoni, Richard Chagula wakikata utepe kuzindua muonekano mpya wa huduma ya Max Malipo, katika hafla iliyokutanisha uongozi wa kampuni hiyo ya Jukwaa la Wahariri, leo katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Mkurugnezi Mtendaji wa MaxCom Africa, watoaji wa huduma za Max Malipo, Juma Rajabu akizindua muonekano mpya wa huduma ya Max Malipo...

 

10 years ago

Mtanzania

Sitta: Nipeni miaka mitano

Mheshimiwa Samweli Sitta akiwa na viongozi wenzake wa CCM alipokuwa akitangaza nia ya Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.NA WAANDISHI WETU, TABORA
IDADI ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaotangaza nia ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba, imeendelea kuongezeka baada ya Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta naye kutangaza jana.
Waziri Sitta, alitangaza nia yake katika Ikulu ndogo ya Itetemea mkoani Tabora, huku akiomba chama chake kimpitishe na Watanzania kumpa miaka mitano tu ya kufanya mageuzi makubwa ya kiutawala.
“Tofauti na wenzangu wanaotaka urais kwa miaka 10, mimi nataka kutumikia nafasi...

 

5 years ago

CCM Blog

ZIMBABWE YAADHIMISHA MIAKA 40 YA UHURU

           Imetimia miaka 40 leo (18.04.2020) tangu bendera ya Uingereza iliposhushwa nchini Zimbabwe, na ya taifa jipya huru ikapandishwa kuashiria uhuru wa nchi hiyo, miongoni mwa chache zilizokuwa zikibakia chini ya ukoloni.Miongo minne tangu siku hiyo ya uhuru, Wazimbabwe wengi wanasema hakuna cha kusherehekea, kufuatia miaka mingi ya utawala wa kikandamizaji wa Rais Robert Mugabe.

Kawaida maelfu ya raia wa Zimbabwe hushiriki katika hafla za kuadhimisha sikukuu ya uhuru kila tarehe 18...

 

11 years ago

BBCSwahili

Sudan Kusini yaadhimisha miaka 3

Maelfu ya wananchi nchini Sudan Kusini wamejitokeza kushuhudia gwaride la kijeshi katika sherehe za kuadhimisha miaka mitatu tangu kujipatia uhuru.

 

10 years ago

Michuzi

NINATAKA URAIS WA MIAKA MITANO-SITTA

Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii, Tabora.
Waziri wa Uchukuzi,Samwel Sitta amesema kuwa anataka Urais wa miaka mitano kuweza kuivusha nchi katika kutokana na mambo yanayoonekana ikiwamo muungano,udini ,ungezeko la vijana.
Sitta ameyasema hayo leo wakati akitangaza nia ya kugombea urais katika mkutano uliofanyika katika viwanja  vya Ikulu ya Chifu Fundikira Kata ya Itetemia  mkoani Tabora.
Amesema mtu  yeyote makini ana nafasi ya Urais, hana budi   kuyapima mazingira ya taifa katika miaka mitano...

 

10 years ago

Mwananchi

Pengo: Nastaafu miaka mitano ijayo

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Kardinali Polycarp Pengo amesema waumini wa kanisa hilo hawana sababu ya kuingiwa wasiwasi kuhusu hali yake kiafya kwa kuwa anastaafu miaka mitano ijayo.

 

10 years ago

Mwananchi

Sugu ataka miaka mingine mitano

>Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, amesema baadhi ya majukumu aliyopewa na wananchi hajayakamilisha, hivyo anasubiri uamuzi wa chama kuhusu hatima yake ya kuteuliwa tena kuwania ubunge.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani