Miatano waokolewa machimboni S: Afrika
Inakadiriwa wachimbaji wapatao mia tano wameokolewa na magari ya zima moto kutoka chini ya mashimo ya madini nchini Afrika Kusini.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/GutZeHmFpMsHguQUI7uhxB5n2H95FQCZlYQK5f7xSSZzXdwivxiAj9Te*GtxVfXo6EfJwXhRcsHHodT-jSuGJu4nidLfzQoN/machimbo.jpg?width=650)
500 WAOKOLEWA MACHIMBONI AFRIKA KUSINI
Mchimbaji akiokolewa na wafanyakazi wa kitengo cha zimamoto. Inakadiriwa kuwa wachimbaji wapatao mia tano wameokolewa na magari ya zima moto kutoka machimboni baada ya kuwa wamebanwa chini ya mashimo yenye kina kirefu katika machimbo ya madini nchini Afrika Kusini. Moto mkubwa uliripuka mapema mwanzoni mwa wiki hii umbali wa zaidi ya kilomita mbili katika machimbo ya mgodi wa Kusasalethu Magharibi mwa mji wa Johannesburg.Mmiliki...
10 years ago
Mwananchi29 Aug
Apigwa risasi machimboni
Mtu mmoja amejeruhiwa begani kwa risasi baada ya ya vurugu kutokea juzi kwenye machimbo ya mchanga eneo la Makongo Juu.
10 years ago
Habarileo30 Jul
Mgogoro machimboni Ulata wamalizwa
SERIKALI mkoani Iringa imemaliza mgogoro baina ya mwekezaji na wachimbaji wadogo kwenye machimbo ya dhahabu katika kijiji cha Ulata mkoani hapa.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
WATATU WAFARIKI KWA KUFUKIWA KIFUSI MACHIMBONI DAR
Shughuli ya uokoaji ikiendelea. Waokoaji baada ya kugundua mwili ulipo.…
11 years ago
BBCSwahili02 Jan
50 waokolewa kutoka Antarctic
Angalau watafiti 50 waliokuwa wameabiri meli ya Urusi iliyokwama katika bahari ya Antarctic hatimaye wameokolewa.
10 years ago
BBCSwahili10 Aug
Watoto 70 waliofungwa waokolewa Cameroon
Polisi waliojihami Cameroon wameivamia nyumba moja na kuwaokoa watoto wapatao 70 waliokuwa wamefungwa.
10 years ago
BBCSwahili17 Feb
Wahamiaji 2000 waokolewa baharini
Wanamaji wa Italia wamewaokoa wahamiaji haramu 2000 katika moja ya operesheni kubwa zaidi karibu na ufukwe wa Libya
10 years ago
BBCSwahili29 Apr
293 waokolewa nchini Nigeria
Jeshi la Nigeria limesema limewaokoa watoto wa kike mia mbili na akina mama tisini na tatu kutoka katika kambi ya Boko
11 years ago
Habarileo26 Feb
Wajumbe Bunge la Katiba ‘waokolewa’
WAKATI wabunge wakisubiri nyongeza ya posho kwa madai maisha Dodoma ni ghali, huduma ya chakula cha bei nafuu imesogezwa karibu nao.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania