Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoto 70 waliofungwa waokolewa Cameroon

Polisi waliojihami Cameroon wameivamia nyumba moja na kuwaokoa watoto wapatao 70 waliokuwa wamefungwa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Mradi wa Mavoko kusaidia watoto waliofungwa jela wakwama

Rich Mavoko amedai amekwamishwa na wahusika wa magereza za watoto katika mradi wake wa kuwatembelea watoto waliofungwa jela na kuwapa mahitaji yao. Mwaka jana Mavoko alijitangaza kuwa ni balozi wa watoto waliofungwa baada ya yeye kupitia maisha magumu kama hayo. Mavoko ameiambia Bongo5 kuwa maofisa wa magereza wamekuwa wakimpiga kalenda kila siku. “Ile tumeshindwa kuitangaza […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Watoto 48 waokolewa, Ivory Coast

Watoto wapatao 48 wameokolewa katika mashamba ya Kakao walikokuwa wakitumikishwa kusini Magharibi mwa Ivory Coast.

 

10 years ago

BBCSwahili

Picha zisofaa hatari kwa watoto-Cameroon

Nchini Uingereza vifaa vyote vyenye uwezo wa kuunganishwa kwenye mtandao wa internet vitawekewa vizuizi vya picha za ngono.

 

10 years ago

Habarileo

Waliofungwa kesi ya EPA waachiwa

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imewaachia huru wafanyabiashara watatu, wakiwemo mume na mke, waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha miaka 13 na miezi sita jela kwa sababu ya wizi wa Sh bilioni 1.1 katika Akaunti ya Madeni ya Nje ya (EPA) ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

 

5 years ago

BBCSwahili

Ndugu wa Baltimore waliofungwa kimakosa kwa miaka 24 walipwa $3.8m

Kuachiliwa kwao kunajiri huku kukiwa na mjadala wa kitaifa wa jinsi ya kuifanyia mabadiliko idara ya polisi nchini Marekani.

 

11 years ago

Michuzi

News alert mahakama ya rufaa yawaachia huru wachina wawili waliofungwa kwa kosa la kuvua samaki nchini kinyume na sheria

Mahakama ya Rufani imewaachia huru wafungwa wawili raia China (pichani)  waliokuwa wakitumikia kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la uvuvi haramu katika katika Ukanda wa Kiuchumi wa Bahari ya Tanzania (Exclusive Economic Zone- EEZ) Wafungwa hao , Hsu Chin Tai ambaye alikuwa nahodha wa meli ya Tawaliq 1 waliyokamatwa nayo wakifanya uvuvi huo haramu na aliyekuwa wakala wa meli hiyo, pamoja na baharia Zhao Hanquing.   Walitiwa hatiani na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Februari 23,...

 

11 years ago

BBCSwahili

50 waokolewa kutoka Antarctic

Angalau watafiti 50 waliokuwa wameabiri meli ya Urusi iliyokwama katika bahari ya Antarctic hatimaye wameokolewa.

 

11 years ago

Habarileo

Wajumbe Bunge la Katiba ‘waokolewa’

Wakazi wa Dodoma wakiendelea na ujenzi wa mabanda ya mama na baba lishe na biashara nyingine, nje ya Bunge mjini humo jana. (Picha na Fadhili Akida).WAKATI wabunge wakisubiri nyongeza ya posho kwa madai maisha Dodoma ni ghali, huduma ya chakula cha bei nafuu imesogezwa karibu nao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Miatano waokolewa machimboni S: Afrika

Inakadiriwa wachimbaji wapatao mia tano wameokolewa na magari ya zima moto kutoka chini ya mashimo ya madini nchini Afrika Kusini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani