Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


michango ya waheshimiwa zakhia meghji na Frederick Migala wavutia wengi bungeni dodoma

 Mheshimiwa Zakia Hamdani Meghji ambaye uchangiaji wake uliwavutia wengi baada ya kuweka wazi kuwa anaunga mkono Serikali mbili na kuwa hayuko tayari kuona muungano unakufa wakati akichangia kifungu namba moja na  namba sita.Kulia kwake ni Mhe.Hilda Ngoye.Wote wawili wamewahi kuwa wakuu wa Mkoa wa Kilimanjaro kwa Nyakati tofauti  Mhe.Frederick Migala kutoka kundi la walemavu akichangia. Mhe.Kingunge Ngombale Mwiruakimpongeza Mhe.Frederick Migala kutoka kundi la walemavu akichangia baada...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

mamaa wa mitindo asia idarous apata tuzo ya Zakhia Meghji Life Time Achievement 2014

Mwanamitindo Mkongwe hapa nchini na nje ya Mipaka ya Tanzania,Asia Idarous a.k.a Mamaa wa Mitindo (pichani) akiwa na tuzo yake ya "Zakhia Meghji Life Time Achievement 2014" alioshinda jana katika Jukwaa kubwa na maonyesho ya Mitindo la Swahili Fashion Week Tanzania.Asia Idarous ambaye ni Mwanamitindo wa miaka mingi aliweza kunyakua tuzo hiyo baada ya kuwepo kwenye tasnia hiyo ya mitindo kwa zaidi ya miaka 35 na amefanya maonyesho ya mitindo mara 150 ndani ya Tanzania na nje ya mipaka ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtandao usiokubali dhambi wavutia wengi

Wahubiri wa kievanjelisti Brazil wamezindua mtandao wa kijamii unaopiga marufuku matusi ya aina yoyote

 

10 years ago

Michuzi

ukumbi mpya wa sherehe jijini Dar es salaam wavutia wengi

 Ukumbi mpya wa sherehe umeanza kazi pale pembeni pa Kanisa la Mtakatifu Peter (St. Peter's) jijini Dar es salaam, ambao unaongeza idadi ya kumbi za aina hiyo zenye kila kitu cha kisasa. Na tayari umekuwa kimbilio la wadau wengi wenye sherehe mbalimbali.Usiku wa kuamkia leo Ankal alikuwepo kwenye ukumbi hio maridadi katika mnuso wa send off uliohudhuriwa na wadau kibao, akiwemo Paroko wa kanisa hilo Fr. Kaombwe (kushoto kwa Ankal) ambaye pamoja na hao wadau wengine ni wadau wakubwa wa Globu...

 

10 years ago

Vijimambo

TATU ZA WEMA AKIWA NA ZILIZO WAVUTIA WENGI HAPO JANA HUKO INSTAGRAM

Ommy Dimpoz na Wema picha zao za lete utata huko Instagram kiroho safi ni shemeji tu hakuna zaidi.

 

11 years ago

Michuzi

MFUKO WA DHAMANA YA UWEKEZAJI TANZANIA (UTT) WAVUTIA WENGI KATIKA MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

Watu waliofika katika banda la Mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT), wakimsikiliza Ofisa Masoko na Uhusiano wa Mfuko huo, Rahim Mwanga wakati wa Maonesho ya wiki ya Utumishi wa Umma.

Ofisa Mafuzo wa Mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT), Hilder Lyimo akitoa maelezo kwa baadhi ya watu waliohudhuria Monesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo. Elimu kuhusu mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji ilitolewa kwa watu waliofika katika banda...

 

10 years ago

Michuzi

MHE. FREDERICK SUMAYE ALIPOCHUKUA FOMU DODOMA

 Waziri Mkuu mstaafu wa awamu ya tatu Mheshimiwa Bw.Frederick Sumaye alitinga katika ofisi za makao makuu ya Chama cha Mapinduzi mkoani Dodoma kuchukua fomu za mbio za urais 2015 akiwa ameongozana na mke wake Mama Esther Sumaye. Hapa akiweka saini mbele ya Katibu wa Oganaizesheni wa CCM , Dk Mohamed Seif Khatib Mhe Sumaye akionesha fomu baada ya kukabidhiwa Mhe Sumaye akionesha mkoba uliobeba fomu baada ya kukabidhiwa. Pembeni ni mkewe Mama Esther SumayeMhe Sumaye akiaga baada ya kuchukua...

 

10 years ago

Vijimambo

MHESHIMIWA FREDERICK SUMAYE ALIPOCHUKUA FOMU DODOMA

Waziri Mkuu mstaafu wa hawamu ya tatu Mheshimiwa Bw.Frederick Sumayealitinga katika ofisi za makao makuu ya Chama cha Mapinduzi CCM kuchukuafomu za mbio za urais 2015

 

11 years ago

Dewji Blog

Pinda akitetea na Mjumbe wa Bunge la Katiba, Frederick Msigallah mjini Dodoma

PG4A8718

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na Mjumbe wa Bunge la Katiba, Frederick Msigallah kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Agosti 5, 2014. (Picha na Ofisi ya  Waziri Mkuu).

 

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani