Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mifuko ya nailoni yaua mifugo 500 Dodoma

IDADI ya mifugo inayokufa kwa kula mifuko ya nailoni inazidi kuongezeka katika Kata ya Hombolo. Diwani wa Kata ya Hombolo Manispaa ya Dodoma, Mussa Kawea katika mahojiano na mwandishi wa habari hizi alisema katika kipindi cha wiki mbili mifugo inayokufa imefikia 500 huku wafugaji wengine wakiingia katika umasikini kwa kupoteza ng'ombe zaidi ya 20.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kampuni ya gesi yasaidia mifuko 1,500 ya saruji

KAMPUNI ya uchimbaji wa gesi ya Pan African Energy imetoa msaada wa mifuko 1,500 ya saruji yenye thamani ya Sh milioni 18 kwa Halmashauri ya wilaya ya Kilwa ili kuwezesha ujenzi wa maabara katika shule zake za sekondari.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mifuko ya magari yaua watu saba

Mamlaka ya usalama nchini Marekani wamependekeza kampuni ya Takata, kupigwa faini ya zaidi ya dola za kimarekani milioni mbili baada ya mifuko hiyo kusababisha vifo vya watu saba .

 

11 years ago

Michuzi

MH. PINDA AFUNGUA MASHINDANO YA MIFUGO DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama mapishi ya pilau la kuku ya Mama Irene mamuya (kulia) wa Chako ni Chako Dodoma katika maonyesho ya wakulima Nanenane yaliyofanyika kwenye uwanja wa Nzuguni Dodoma August 6, 2014. Ngombe mwenye kilo 1000 kutoka Mafinga Iringa akipita mbele ya mgeni rasmi Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika mashindano ya mifugo yaliyofunguliwa na Waziri Mkuu kwenye uwanja wa Nzuguni wa Nanenane mjini Dodoma August 6, 2014. Ngombe wakiwa wamejipanga katika maonyesho...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wizara ya Mifugo yabanwa Nanenane Dodoma

WIZARA ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi imetakiwa kuhakikisha inawapa washindi wote zawadi walizoahidi katika kilele cha maonyesho ya Nanenane 2013 kabla ya kuanza kwa maonyesho ya Kanda ya Kati...

 

11 years ago

GPL

AJALI YA BASI YAUA 20 DODOMA

Basi la Moro Best baada ya ajali hiyo mbaya. TAKRIBANI watu 20 wanadaiwa kupoteza maisha huku wengine wengi wakijeruhiwa baada ya basi la Moro Best lililokuwa linatoka Mpwapwa kwenda Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na lori eneo la Pandambili, Kongwa mkoani Dodoma leo. Baadhi ya majeruhi wa ajali hiyo wamepelekwa katika Hospitali ya…

 

10 years ago

Habarileo

Ajali ya basi yaua wanne Dodoma

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David MisimeWATU Wanne wamekufa na wengine wawili wamejeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Nyahunge lililokuwa likitokea Mwanza kwenda Morogoro kugongana na gari dogo eneo la Nzuguni Mjini hapa.

 

11 years ago

GPL

MTOTO AVALISHWA NAILONI MKONONI, ACHOMWA MOTO

Chande Abdalah na Denis Mtima
OOoh my God! Mtoto Elifrida Nicholaus (6), mkazi wa Mkolani, Nyamagana jijini hapa alizaliwa mzima kabisa lakini sasa ni kilema baada ya kudaiwa kuchomwa moto mkononi na shangazi yake aliyemtaja kwa jina moja la Esta. Mtoto Elifrida Nicholaus baada ya kuchomwa moto na shangazi yake. Tukio hilo la kusikitisha lilitokea Julai 10, mwaka jana ambapo Elifrida aliyechukuliwa kutoka Kigoma kwa wazazi...

 

9 years ago

GPL

GLOBAL YAGAWA NAILONI KWA WAUZAJI WA MAGAZETI DAR

Maofisa wa Global Publishers Kitengo cha Usambazaji, Jordan Ngowi na Jimy Haroub (walioko mbele) wakimwekea muuzaji wa magazeti jinsi ya kufunika magazeti kwa naironi ili yasilowe eneo la Kituo cha Daladala cha Mwenge, Dar. Muuzaji wa…

 

10 years ago

Vijimambo

JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LATOLEA UFAFANUZI KUHUSU KUKAMATWA KWA MTU MWENYE ASILI YA KIASIA AKIWA NA TSHS. 722,500,00 KATIKA HOTELI YA ST. GASPER

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHIJESHI LA POLISI TANZANIA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, SACP David Misime

YAH: TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA KWAVYOMBO VYA HABARI TAREHE 14/07/2015

Napenda kutoa taarifa fupi kuhusu tukio lililotokea tarehe 11/07/2015 majira ya saa 10:00 hrs huko katika Hoteli ya St. Gasper hapa mjini Dodoma, kuwa wananchi walitoa taarifa majira ya saa nne asubuhi kwamba kuna mtu mmoja mwenye asili ya Kiasia amekamatwa na wananchi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani