Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mikoa yenye kibali yaombwa kuyachukua Mrundikano Wa Mahindi Ruvuma  

 

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabiti Mwambungu ameiomba mikoa ambayo imepata kibali cha kuchukua Mahindi katika Hifadhi ya Chakula NFRA mkoani humo waende haraka ili kupunguza mrundikano wa zao hilo.

Mwambungu amesema Hifadhi ya Chakula ya Mkoa wa Ruvuma ina tani zaidi ya laki moja ambazo zinahofiwa kuharibika kutokana na mvua zanazokuja.

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabiti Mwambungu amesema kutokana na Mlundikano uliopo wa Mahindi katika ghala la kuhifadhia mahindi NFRA kuwa mengi. Mkuu wa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mahindi yenye uwezo wa kumkuza mtoto kiakili

>Upo uhusiano mkubwa kati ya chakula atumiacho mtu kwenye enzi zake za utoto na ukuaji wake wa akili.

 

9 years ago

Michuzi

BI. SAMIA SULUHU AHAIDI UMEME KILA KIJIJI RUVUMA, VIWANDA VYA MAHINDI NA KAHAWA

Mgombea mwenza wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu (katikati) akimnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini, Martin Mtonda (kushoto) na mgombea udiwani wa CCM.MGOMBEA mwenza wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu ameanza ziara yake mkoani Ruvuma akiinadi ilani ya chama hicho huku akiahidi neema kwa wakulima wa kahawa na mahindi wa mkoa huo.
Bi. Samia Suluhu ambaye amehutubia mikutano mitatu katika majimbo mawili ya mkoa...

 

9 years ago

Vijimambo

BI. SAMIA SULUHU AHAIDI UMEME KILA KIJIJI RUVUMA, VIWANDA VYA MAHINDI, KAHAWA


Mgombea mwenza wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu (katikati) akimnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini, Martin Mtonda (kushoto) na mgombea udiwani wa CCM.MGOMBEA mwenza wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu ameanza ziara yake mkoani Ruvuma akiinadi ilani ya chama hicho huku akiahidi neema kwa wakulima wa kahawa na mahindi wa mkoa huo.
Bi. Samia Suluhu ambaye amehutubia mikutano mitatu katika majimbo mawili ya mkoa...

 

10 years ago

Habarileo

Tohara imekuwa shida mikoa yenye maambukizi makubwa

WANAUME katika mikoa yenye kiwango kikubwa cha maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) wameelezwa kuwa na mwitikio mdogo katika kukubali kufanyiwa tohara kwa hiyari.

 

11 years ago

Michuzi

MIRADI MIKUBWA YA BARABARA KATIKA MIKOA YA RUVUMA NA MTWARA KUSAINIWA KESHO

Waziri wa Ujenzi, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kesho atakuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya utiaji saini mikataba ya ujenzi wa barabara itakayotekelezwa katika mikoa ya Ruvuma na Mtwara.   Miradi hiyo itahusisha ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kati ya Namtumbo na Tunduru ambayo imegawanywa katika sehemi tatu ambazo ni Namtumbo – Kilimasera (km 68.20), Kilimasera – Matemanga (km 58.70) na Matemanga-Tunduru (km 60.70).   Tayari Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) ambayo inayofadhili...

 

9 years ago

Michuzi

mpango wa kugawia wanafunzi vyandarua bure waanza mikoa la lindi, mtwara na ruvuma

Baadhi ya wanafunzi waliopata vyandarua katika  programu ya Rais ya uhamasishaji wa matumizi ya vyandarua kuzuia malaria kwa wananchi, ikiwa ni pamoja na ugawaji wa vyandarua bure kupitia mashuleni imeanzia katika  mikoa ya Lindi , Mtwara na Ruvuma mwezi huu. Waalimu wakijiandaa kugawa vyandarua katika shule mkoani LindiWanafunzi wakichukua vyandarua kwa zamuWanafunzi wakifurahi kwa kupatiwa vyandarua vya bure

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA MKURUGENZI MKUU WA NHC KATIKA MIKOA YA MTWARA, RUVUMA, NJOMBE NA MBEYA KUKAGUA MIRADI

New Picture (13)Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu na ujumbe wake akikagua mradi wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na Shirika hilo eneo la Napupa Mjini Masasi.New Picture (14)Afisa Ardhi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Bw. Paul Mkami(kushoto) akimuonyesha Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu na ujumbe wake ramani ya eneo la ardhi lililopewa NHC kwa ajili ya kujenga nyumba za gharama nafuu Wilayani humo.New Picture (15)Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu na ujumbe wake...

 

10 years ago

GPL

ZIARA YA MKURUGENZI MKUU WA NHC KATIKA MIKOA YA MTWARA, RUVUMA, NJOMBE NA MBEYA KUKAGUA MIRADI‏

Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu na ujumbe wake akikagua mradi wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na Shirika hilo eneo la Napupa Mjini Masasi. Afisa Ardhi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Bw. Paul Mkami(kushoto) akimuonyesha Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu na ujumbe wake ramani ya eneo la ardhi lililopewa NHC kwa ajili ya kujenga nyumba za gharama nafuu Wilayani humo.… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania kuuza mahindi Kenya tani 50,000 za mahindi

Serikali ipo katika hatua za mwisho za makubaliano ya kuuza tani 50,000 za awali za mahindi nchini Kenya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani