Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mikutano ya kisiasa yapigwa marufuku Kenya

Inspekta mkuu wa polisi David Kimaiyo amesema kuwa polisi wana habari kuwa magaidi wamepanga kufanya mashambulizi wakati wa mikutano hiyo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Polisi yapiga marufuku maandamano, mikutano ya kisiasa nchini

Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano na mikutano ya vyama vya siasa iliyokuwa imepangwa kufanyika kwa nyakati tofauti kwa madai ya kuwepo na hali tete ya  kisiasa.

 

11 years ago

Mwananchi

AGIZO: Mikutano ya Nape yapigwa ‘stop’

>Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye ameonja chungu ya uamuzi wa Serikali wa kusitisha mikutano ya hadhara katika mikoa ya Lindi na Mtwara baada ya kushindwa kufungua mashina ya chama hicho mjini Mtwara.

 

9 years ago

Mwananchi

Mabasi yapigwa mawe kwa ushabiki wa kisiasa

Mabasi  mawili ya Kampuni ya Zacharia Express mali ya Pita Zacharia mkazi wa Tarime mjini yanayofanya safari zake Tarime-Mwanza  yameharibiwa kwa kupondwa na mawe kwa kile kinachoelezwa ni  ushabiki wa kisiasa.

 

10 years ago

Dewji Blog

Polisi Singida wahimiza utulivu katika mikutano ya kisiasa

DSC0164612

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Singida, ACP Thobias Sedoyeka.

Na Nathaniel Limu, Singida

JESHI la polisi mkoani Singida,limewataka wananchi waohudhuria mikutano ya kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa inayoendelea, kuhakikisha hawajihusishi  kabisa na vitendo vya uvunjivu wa amani na utulivu.

Aidha,jeshi hilo limewataka wananchi wawe watulivu na wazingatie sheria hata kama wakubaliani na sera zinazoelezwa kwenye mkutano husika.Hiyo itakuwa ni njia mojawapo ya kujiepusha na usumbufu...

 

9 years ago

Mtanzania

Mita 200 yapigwa marufuku

Pg 4 oct 24Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetamka bayana kwamba hairuhusiwi watu kukutana mahali popote bila kujali umbali wake siku ya uchaguzi kesho.

Uamuzi huo ulitolewa na jopo la majaji watatu waliokuwa wakisikiliza mvutano wa kisheria kuhusu kukaa mita 200 kutoka kituo cha kupigia kura.

Mwenyekiti wa jopo hilo, Sekieti Kihiyo na Jaji Lugano Mwandambo kwa nyakati tofauti walipokuwa wakisoma uamuzi huo, walisema wamezingatia hoja zilizowasilishwa na pande mbili...

 

10 years ago

BBCSwahili

Morocco yapigwa marufuku na CAF

Morocco imepigwa marufuku kushiriki katika michuano miwili ya kombe la Afrika baada ya kushindwa kuandaa michuano ya mwaka huu.

 

9 years ago

Habarileo

Maandamano ya Chadema yapigwa marufuku

POLISI mkoani Shinyanga imezuia maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mjini hapa yaliyotarajiwa kufanyika leo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Urusi yapigwa marufuku kushiriki riadha

Urusi imeondolewa kwa muda kutoka kwa mashindano ya kimataifa, baada ya kutuhumiwa kuhusika katika matumizi ya dawa za kutitimua misuli.

 

9 years ago

Habarileo

Matangazo ya waganga wa jadi yapigwa marufuku

SERIKALI imepiga marufuku matangazo yote ya tiba asili na tiba mbadala katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuanzia jana. Aidha, wale wote wenye vibali wanatakiwa kuwasilisha vibali na matangazo hivyo katika Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala kwa ajili ya kuvifanyia mapitio upya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani