Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabasi yapigwa mawe kwa ushabiki wa kisiasa

Mabasi  mawili ya Kampuni ya Zacharia Express mali ya Pita Zacharia mkazi wa Tarime mjini yanayofanya safari zake Tarime-Mwanza  yameharibiwa kwa kupondwa na mawe kwa kile kinachoelezwa ni  ushabiki wa kisiasa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Washauriwa kuacha ushabiki wa kisiasa

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Said Arfi, amewataka wajumbe kujadili kwa umakini sura ya kwanza na sura ya sita bila kuingiza ushabiki wa vyama vya siasa. Alitoa kauli hiyo...

 

10 years ago

Habarileo

‘Wekeni kando ushabiki wa kisiasa’

WAKAZI wa Moshi Vijijini wametakiwa kuweka ushabiki wa kisiasa kando na badala yake kuangalia maslahi yao ili waweze kupiga hatua za maendeleo kwa haraka.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mfugale: “Waandishi jiepusheni na ushabiki wa kisiasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu”

DSC01123

Baadhi ya waandishi wa habari kutoka mikoa ya Singida, Kigoma, Katavi, Tabora na Shinyanga, wanaohudhuria mafunzo ya siku tano ya uandishi bora wa uchaguzi yanayoendelea kwenye hotel ya Vigimark nje kidogo ya mji wa Shinyanga.(Picha na Nathaniel Limu).

DSC01125

DSC01130

Mkufunzi Deodatus Mfugale, akitoa mada yake ya daftari la kudumu la wapiga kura kwenye mafunzo ya uandishi bora wa habari za uchaguzi yanayoendelea kwenye hotel ya Vigimark nje kidogo ya mji wa Shinyanga.

Na Nathaniel Limu,...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mikutano ya kisiasa yapigwa marufuku Kenya

Inspekta mkuu wa polisi David Kimaiyo amesema kuwa polisi wana habari kuwa magaidi wamepanga kufanya mashambulizi wakati wa mikutano hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge wasijadili Bajeti kwa ushabiki

Hotuba ya Bajeti Kuu ya Taifa kwa mwaka wa fedha wa 2014/15, ambayo iliwasilishwa na Serikali bungeni siku mbili zilizopita sasa iko mikononi mwa wabunge ambao wamekuwa wakiipitia kabla ya kuanza kuijadili hapo kesho.

 

9 years ago

Habarileo

Msipige kura kwa ushabiki - Mzindakaya

MWANASIASA mkongwe nchini na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Chrisant Mzindakaya amewataka Watanzania wasikubali kupiga kura kwa ushabiki. Ameonya kuwa upigaji kura kwa ushabiki, utaligharimu taifa hivyo Watanzania wapige kura wakijua wanachagua kiongozi ambaye atawakilisha nchi kitaifa na kimataifa.

 

10 years ago

Vijimambo

Tishio mgomo wa mabasi. Sumatra, wamiliki mabasi jino kwa jino.

Mkurugenzi Mkuu wa Sumatra, Gilliard Ngewe.Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa) kimesisitiza msimamo wake wa kusitisha kutoa huduma ya usafiri leo, huku Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi kavu na Majini Nchini (Sumatra) ikionya kuwa itamfutia leseni ya usafirishaji yeyote atakayegoma.

Katibu Mkuu wa Taboa, Enea Mrutu, alisisitiza msimamo wao wa kugoma walioutoa juzi alipozungumza na NIPASHE jana.
Alisema mgomo walioutangaza uko palepale ingawa kuna mazungumzo kati yao na Sumatra...

 

10 years ago

BBCSwahili

Apigwa mawe kwa ubakaji Somalia

Kundi la Al Shabaab limempiga mawe hadi kufa mwanamume mmoja nchini Somalia.

 

10 years ago

Mwananchi

Wafanyakazi wa hifadhi wauawa kwa mawe

Mhifadhi wa Wanyamapori, George Kimaro na kibarua Antony Andrew wameuawa kwa kupigwa mawe na wananchi katika Kijiji cha Namonge Rwewenzewe mkoani Geita.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani