Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mikutano ya siasa marufuku Kusini

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Tamisemi), Hawa Ghasia amesema Serikali haina mpango wa kuruhusu mikutano ya hadhara katika mikoa ya Lindi na Mtwara.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Mikutano ya kisiasa yapigwa marufuku Kenya

Inspekta mkuu wa polisi David Kimaiyo amesema kuwa polisi wana habari kuwa magaidi wamepanga kufanya mashambulizi wakati wa mikutano hiyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi yapiga marufuku maandamano, mikutano ya kisiasa nchini

Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano na mikutano ya vyama vya siasa iliyokuwa imepangwa kufanyika kwa nyakati tofauti kwa madai ya kuwepo na hali tete ya  kisiasa.

 

10 years ago

Habarileo

Mikutano ya siasa Lindi, Mtwara ruksa

SERIKALI imeondoa zuio la mikutano ya vyama vya siasa lililokuwa limewekwa tangu mwaka juzi kwa mikoa ya Lindi na Mtwara. Katika taarifa ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, anasema hatua hiyo imetokana na Serikali kuridhika kuwa hali ya amani na utulivu imerejea katika mikoa hiyo.

 

10 years ago

Dewji Blog

RC Singida ahimiza wananchi kuhudhuria mikutano ya siasa

DSC02580

Mkuu wa mkoa wa Singida,Dk.Parseko Vicent Kone, akizungumza kwenye ufunguzi wa kikao cha ushauri ya mkoa (RCC) kilichofanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Social Training  Centre mjini Singida.K ulia ni katibu tawala mkoa wa Singida,Liana Hassan na wa kwanza kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Singida,M ary Chitanda na anayefuatia ni mwenyekiti CCM mkoa wa Singida,Mgana Msindai.

Na Nathaniel Limu, Singida

MKUU wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Vicent Kone, amewahimiza wananchi...

 

10 years ago

Michuzi

Serikali yaondoa zuio la Mikutano ya Vyama vya Siasa Lindi na Mtwara

Serikali imeondoa zuio la mikutano ya Vyama vya Siasa lililokuwa limetangazwa mwezi Mei mwaka juzi kuzuia mikutano hiyo kufanyika katika mikoa ya Lindi na Mtwara.
Zuio hilo limeondolewa leo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mathias Chikawe.Mikutano hiyo ilizuiliwa kutokana na vurugu za wananchi waliokuwa wakipinga ujenzi wa mradi wa bomba la gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam hali iliyosababisha kuvunjika kwa amani na utulivu katika mikoa hiyo.
Katika vurugu hizo, watu kadhaa...

 

9 years ago

Michuzi

JEMBE FM MWANZA YAFUNGUA MILANGO KWA VYAMA VYA SIASA KUTANGAZA MIKUTANO LIVE.

 Mbio za kampeni ya uchaguzi mkuu 2015 tayari zimeanza. Ni wasaa sasa kwa wagombea wa vyama mbalimbali kupishana huku na kule vijiji kwa vijiji, kata kwa kata, wilaya kwa wilaya, mkoa kwa mkoa wakifanya mkutano ya kampeni za siasa kutambulisha wagombea wao na kuzinadi sera zao al-muradi wapate ridhaa ya wananchi. 


Zoezi hilo ni gumu ila sisi kama jEMBe fM tunalirahisisha!! Sasa ili upate kuwafikia wananchi wengi ndani ya muda mfupi jEMBe fM imefungua milango kwa kutoa huduma ya matangazo ya...

 

9 years ago

Mwananchi

‘Marufuku siasa katika soka’

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limepiga marufuku wadau wake kuelezea hisia zao za kisiasa na kujihusisha katika kampeni za kisiasa wakiwa katika mavazi rasmi ya mchezo huo yenye nembo za klabu na wadhamini wa ligi.

 

9 years ago

Habarileo

Marufuku kufanya siasa Uwanja wa Taifa

SERIKALI imepiga marufuku vyama vya siasa kufanya shughuli za kisiasa katika uwanja wa taifa na kusisitiza, utabaki kwa ajili ya michezo pekee.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani