Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mil. 65/- kukamilisha ujenzi Hospitali Ngamiani

HALMASHAURI ya Jiji la Tanga imetenga sh milioni 65 kukamilisha ujenzi  wa jengo la kliniki, wodi ya watoto na stoo ya dawa katika Hospitali ya Ngamiani. Diwani wa Majengo, Mohamed...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Bilioni 3.4/- zahitaji kukamilisha ujenzi wa hospitali Serengeti

JUMLA ya Sh bilioni 3.4 zinahitajika kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa majengo ya wagonjwa wa nje katika Hospitali ya kisasa ya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara.

 

10 years ago

Michuzi

UJENZI WA BARABARA YA LAMI KUUNGANISHA MIKOA YA MBEYA NA RUKWA WAKAMILIKA, WAZIRI WA UJENZI AAHIDI SERIKALI KUKAMILISHA KUUNGA PIA MIKOA YA KATAVI, KIGOMA NA TABORA...

Barabara ya Tunduma-Ikana-Laela hadi Sumbawanga ikiwa imekamilika kwa asilimia mia moja (100%), barabara hii ambayo ni kiungo muhimu cha Mikoa ya Mbeya, Rukwa, Katavi, Kigoma na Tabora imejegwa kwa ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na Msaada kutoka kwa watu wa Marekani.Waziri wa Wizara ya Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mjini Sumbawanga tarehe 02/02/2015 katika viwanja vya Nelson Mandela akiwa ziarani Mkoani Rukwa kukagua ujenzi unaoendelea wa barabara za lami za...

 

5 years ago

Michuzi

NHC YATAKIWA KUKAMILISHA UJENZI JENGO LA KITEGA UCHUMI MUTUKULA

Jengo la Kitega Uchumi la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) lililopo mpakani mwa Tanzania na Uganda eneo la Mutukula wilaya ya Misenyi mkoani Kagera likiwa katika hatua za ukamilishaji kama linavyoonekana. (PICHA ZOTE NA MUNIR SHEMWETA WIZARA YA ARDHI)

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akiwasili katika Jengo la Kitega Uchumi la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) lilipo mpakani mwa Tanzania na Uganda eneo la Mutukula wilaya ya Misenyi mkoa wa Kagera kwa...

 

5 years ago

CCM Blog

WAITARA AWATAKA WAKANDARASI KUKAMILISHA HARAKA UJENZI WA MADARAJA YA ULONGONI A NA B UKONGA

 Mbunge wa Jimbo la Ukonga, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mwitan Waitara akizungumza wakati wa kukagua maandalizi ya ujenzi wa Daraja la Ulongoni A na ujenzi wa kivuko cha muda cha watembea kwa miguu, Bodaboda na Bajaji katika Jimbo hilo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meya wa Manispaa ya Ilala, Omary Kumbilamoto. Picha na Richard Mwaikenda
 Mbunge wa Jimbo la Ukonga, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI UMMY AUPATIA UONGOZI WA MKOA WA SINGIDA MIEZI SITA KUKAMILISHA VYUMBA VYA HOSPITALI



*****************************

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ameupa uongozi wa Mkoa wa Singida miezi sita kuhakikisha unasimamia ujenzi wa jengo lenye vyumba vya Radiolojia, Maabara, Chumba cha upasuaji na Wodi ili uweze kukamilika na kuanza kutoa huduma ifikapo terehe 30 Disemba mwaka huu.

Waziri Ummy ametoa wito huo mapema leo wakati alipotembelea ujenzi wa jengo hilo ambalo bado lipo katika hatua ya msingi linalopatikana katika Hospitali mpya ya Rufaa ya Mkoa wa Singida. “Wizara imetoa...

 

10 years ago

Dewji Blog

TASAF yashindwa kukamilisha ujenzi wa meza za soko la kijiji cha Ndago, wilayani Iramba

SAM_2012

Soko la Kijiji cha Ndago,wilayani Iramba lililoshindikana kukamilishwa kwa meza za kufanyia biashara kwa wananchi wa Kijiji hicho kutokana na TASAF awamu ya pili kujitoa kukamilisha ujenzi wa meza hizo kwa kukosa fedha za kufanyikazi hiyo,baada ya kutotengwa kwa fedha za kazi hiyo.(Picha zote na Jumbe Ismailly).

SAM_2010

SAM_2014

Na Jumbe Ismailly, Iramba     

MFUKO wa Maendeleo ya jamii (TASAF) Wilaya ya Iramba,Mkoani Singida umeshindwa kukamilisha ujenzi wa meza za soko la Kijiji cha Ndago kwa zaidi ya...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA TPB YAKABIDHI MIFUKO 200 YA SARUJI KWA MBUNGE VITI MAALUM CCM KUKAMILISHA UJENZI WA MADARASA YA SHULE MKOANI RUKWA

  Mkurugenzi wa Teknohama na Uendeshaji wa benki ya TPB Jema Msuya (kushoto) akikabidhi mifuko 200 ya saruji yenye thamani ya shilingi milioni 3.7 kwa Mbunge wa CCM  Viti Maalum Mkoa wa Rukwa Bupe Mwakang’ata kwa ajili ya kusaidia ukamilishaji wa ujenzi wa madarasa ya shule mbalimbali Mkoani hapo. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Rukwa Reiner Rukalah na Mwenyekiti wa UWT Mkoa Maria Kalula.  Mbunge wa Viti Maalum wa Rukwa Bupe Mwakang’ata akishukuru baada ya kupokea msaada wa mifuko 200 ya...

 

11 years ago

Michuzi

LUGUMI ENTERPRISES LTD YAKABIDHI PAMPU YA MAJI NA SHILINGI MILIONI 10 KUKAMILISHA UJENZI WA NYUMBA YA WALIMU MAGU SEKONDARI MAGU.

Meneja wa Kanda ya Ziwa Kampuni ya Lugumi Enterprises LTD inayomiliki makampui ya Ran IT Solutions (EA) LTD na KZ Securty, Eligod Justine Sangawe (kushoto) ambaye alimwakilisha Mkurugenzi wake Bw. Said Lugumi, kukabidhi msaada wa Pump ya maji inayotumia umeme na fedha taslimu shilingi milioni kumi kwa Afisa Elimu Takwimu (W) Sekondari bw. John M. Mangu  katika makabidhiano yaliyofanyika viwanja vya shule ya Sekondari ya Magu. Meneja wa Kanda ya Ziwa Kampuni ya Lugumi Enterprises LTD...

 

10 years ago

Habarileo

Aguswa na ujenzi wa maabara na kutoa mil 3/-

MDAU wa Maendeleo ya elimu nchini, Mnandi Mrutu anayefanya shughuli zake mkoani Iringa, ameahidi kutoa Sh milioni tatu ikiwa ni mchango wake kwa ajili ya ujenzi wa maabara katika shule ya sekondari ya Kirongaya ya wilayani Same mkoani Kilimanjaro.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani