Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mimi si Jambazi ni Uhusika Tu- Nkwabi

Nkwabi Juma mwigizaji nyota wa filamu ya C.P.U amefunguka kwa kusema kuwa yeye si Jambazi bali ni uhusika tu ambao umfanya acheze kama mtu mtata na jambazi liliokubuhu kutokana tu na watayarishaji kumchagua katika nafasi kama hizo lakini hajui hata kuiba kuku na amekuwa akimudu nafasi hizo kwa kufanya utafiti tu.

“Msanii mnzuri ni lazima huwe mbunifu na kuchagua character yako ambayo kila mtengeneza sinema akiandika muswada (script ) anakuona wewe ndio utakayoitendea haki na si mtu mwingine...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Nkwabi:Mimi sio Jambazi

Staa wa Bongo Movies, Nkwabi Juma amefunguka na kusema kuwa yeye si Jambazi bali ni uhusika tu ambao umfanya acheze kama mtu mtata na jambazi liliokubuhu kutokana tu na watayarishaji kumchagua katika nafasi kama hizo lakini hajui hata kuiba kuku na amekuwa akimudu nafasi hizo kwa kufanya utafiti tu.

“Msanii mzuri ni lazima huwe mbunifu na kuchagua character yako ambayo kila mtengeneza sinema akiandika muswada (script ) anakuona wewe ndio utakayoitendea haki na si mtu mwingine ndio kitu...

 

11 years ago

GPL

UHUSIKA WA WAZAZI HUSABABISHA MTOTO AWE GUMEGUME AU GUBEGUBE KATIKA MAPENZI -4

KWANZA tuwe tumeshakubaliana na ukweli kwamba mzazi ni kichocheo cha mtoto kuwa mhusika bora katika mapenzi, baada ya hapo tutakuwa na mawazo yanayoshabihiana kwamba gubegube au gumegume mara nyingi ni matokeo ya malezi mabaya. Tuendelee kutoka hapohapo, sasa ni muongozo kwako kuwa haina maana kuwa unaweza kusamehewa na kuachwa kama ulivyo eti kisa ndivyo ulivyolelewa. Nani atakukubali kama wewe ni mzigo usiobebeka? Tafakari...

 

11 years ago

GPL

UHUSIKA WA WAZAZI HUSABABISHA MTOTO AWE GUMEGUME AU GUBEGUBE KATIKA MAPENZI -5

KUTOKA mwanzo wa makala haya mpaka hapa tulipofikia, sina shaka utakuwa umeshatambua namna ambavyo uhusika wa wazazi unavyoweza kuwafanya watoto wao kuwa ama magubegube au magumegume katika mapenzi. Kutoka hapo, sasa tuhitimishe mambo machache kwa kupeana maelekezo ya kimsingi ambayo yanaweza kukusaidia katika maisha yako ya kimapenzi hata kama ulipata muongozo wa ovyo kutoka kwa wazazi wako. Haishindikani wewe kuwa bora hata...

 

11 years ago

We Will Never Forget You

Nkwabi Ng'wanakilala


Daily News
Nkwabi Ng'wanakilala - We Will Never Forget You
AllAfrica.com
JUNE 28, 2014, was a sad day to many in the media and even stakeholders. This is the day when death grabbed from the media fraternity a hard working teacher, lecturer and journalist, who dedicated a larger part of his life serving the public and publishing ...
Kikwete pays glowing tribute to Ng'wanakilalaDaily News

all 6

 

11 years ago

Habarileo

Nkwabi Ng’wanakilala kuzikwa Dar

MWILI wa nguli katika tasnia ya habari aliyeandikwa vitabu vingi vinavyotumika kufundishia uandishi wa habari nchini, Nkwabi Ng’wanakilala aliyefariki dunia usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Mwanza unatarajiwa kuzikwa Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rutiginga ampigia chapuo Nkwabi

WAKATI uchaguzi wa klabu ya Simba ukitarajia kufanyika leo jijini Dar es Salaam, mwanachama aliyekuwa akiwania nafasi ya ujumbe, Ramson Rutiginga, amewasihi wenzake kumchagua Swedi Nkwabi kwa nafasi ya makamu...

 

10 years ago

Michuzi

KUMBUKUMBU YA VICTORIA WILBERT NKWABI

Leo ni miaka miwili sasa tokea  Mpendwa wetu VICTORIA,uliposikia sauti ya Mungu  wetu ikikuita nawe ukaitika. Bado tunakukumbuka kwa namna ya pekee kwa Ucheshi, Upendo na Upole.Kwetu kumbukumbu hizi ni hazina zetu.Victoria unakumbukwa sana na mimi mama yako LYDIA,Baba yako mlezi mpendwa Japheth Mbwana,Mumeo mpenzi Emmanuel Kilato, Ndugu zako Godfrey, Mercy, Viollah, na wengine  wengi sana kama  Mama mkubwa, Wajomba zako, Wakwe zako, wanaukoo wote,Majirani wa Lumala,- Mwanza,Geita,Dodoma,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nkwabi aiteka Friends of Simba

MGOMBEA nafasi ya Makamu wa Rais wa Simba, Swedi Nkwabi, amezidi kuiteka klabu hiyo katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Juni 29 jijini Dar es Salaam baada ya kuibua mgawanyiko katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani