Mipango ya Madee 2015 ikoje? Shilole na tattoo nyingine? Harmonize je? #255 (+Audio)
Ni January 2016 tarehe zimeanza kusomeka mdogomdogo mtu wangu na mwaka ndio umeanza kihivyo yani !! Msanii kutoka Tip Top Connection, Madee amesema mbali ya muziki wake mwaka 2016 mpango mkubwa mwingine alionao ni kuanzisha kampuni ya kukodisha magari… Yes yes, mambo yako hivyo na Madee amethibitisha kwamba mzigo unaanza time yoyote soon kuanzia sasahivi […]
The post Mipango ya Madee 2015 ikoje? Shilole na tattoo nyingine? Harmonize je? #255 (+Audio) appeared first on...
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo517 Oct
Shilole kuchora tattoo nyingine ya Nuh Mziwanda kalioni!
9 years ago
MillardAyo30 Dec
Stori za 255 zilizobeba uzito wa mwaka 2015 >> Daz Baba, B Hitz, Stereo na Cyril.. (+Audio)
Leo 255 inasimama na baadhi ya stori ambazo ziligusa vichwa vya habari kwa mwaka 2015… ilikuwepo ishu ya uzushi wa Daz Baba kuonekana ana hali mbaya na anaonekana ni mgonjwa aliyechoka… Daz Baba mwenyewe alisikika January 2015 akaonekana kusikitishwa sana na stori hizo kwa sababu yeye ni mzima na yuko poa kabisa. Director Kelvin Bosco […]
The post Stori za 255 zilizobeba uzito wa mwaka 2015 >> Daz Baba, B Hitz, Stereo na Cyril.. (+Audio) appeared first on...
9 years ago
Bongo505 Jan
Picha: Harmonize achora tattoo ya picha ya boss wake Diamond na kuandika ‘Simba’
![h n d](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/h-n-d-300x194.jpg)
Msanii wa label ya WCB anayekuja juu kwa sasa, Harmonize ameamua kuuthibitishia ulimwengu kuwa anajivunia kuwa mtoto wa kimuziki wa staa wa Tanzania, Diamond Platnumz kwa kuchora tattoo yenye picha yake na kuandika a.k.a ya Boss wake iliyozua utata hivi karibuni ‘Simba’.
Hiki ndicho alichokiandika Harmonize kwenye picha aliyoipost Instagram kuelezea sababu za kuchora tattoo hiyo:
“Katika Maisha Yangu Sikuwahi Kuwaza Kuwa Itatokea Siku Nikajichora Tatoo But Diamond Nimtu Mwenye Mchango...
9 years ago
Mtanzania02 Jan
Shilole achekelea kufuta tattoo ya Nuh
NA CHRISTOPHER MSEKENA
DIVA matata kwenye muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amesema anajisikia fahari kufuta tattoo iliyokuwa na jina la aliyekuwa mpenzi wake, Nuh Mziwanda.
Akibonga na Swaggaz, Shilole alisema kwa muda mrefu alikuwa kwenye uhusiano usio na maana, lakini sasa anafurahi kujiondoa kwa Nuh na kufanikiwa kufuta tattoo yenye jina la zilipendwa wake huyo.
“Ni maamuzi tu, huu ni mwili wangu kwahiyo wakati nilipokuwa naye niliamua kuandika jina lake na sasa nimeondoa...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/poNlDA9JoO33SUwW9Bw1uh74mT2CMgK1Wj54nDH*t14ImwYs3j-pwm967mT2kUwn1ZARmvYZhBiODXkX6M8vXUU4R9uvlsfV/79129__shilole1.jpg)
SHILOLE ATOBOA SIRI TATTOO YA NUH
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3dClu3zYZuun31flgn5hI9aux6gn5IgGmq7ord4lrZe58qbLbskrENftMddJjIa4bQQFv6svPiGkLn2*jsHaoPyOtZ2iGfPe/Shishinamziwanda.jpg?width=650)
NUH MZIWANDA: NITAKWENDA KABURINI NA TATTOO YA SHILOLE
11 years ago
GPL03 Jul
9 years ago
Bongo504 Jan
Sitochora tena tattoo ya jina la mpenzi wangu – Shilole
![shilole-2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/shilole-2-300x194.jpg)
Shilole ameapa kutorudia tena kuchora tattoo yenye jina la mpenzi wake.
Hivi karibuni muimbaji huyo alilazimika kuifuta tattoo ya jina la aliyekuwa mpenzi wake, Nuh Mziwanda.
Shilole amesema kujichora tattoo ya jila Nuh kumemharibia issue kibao.
“Tattoo hapa ni empty,” aliambia 255 katika kipindi cha XXL cha Clouds FM Jumatatu hii.
“SiwezI tena kuchora tattoo kwaajili ya mapenzi. Nimeamua kama tutapendana tutapenda rohoni kwa sababu nishaona hakuna sababu ya kuchora tattoo. Unaweza...