Miraji: Mnaotatizwa na vyama vyenu njooni ADC
“BAADA ya kuona Watanzania wanachanganywa na vyama walivyokuwemo, mimi na wenzangu tumeona ni vyema tukaanzisha chama mbadala ADC ili kuwapa nafasi wanachama na viongozi wasio na mwelekeo katika vyama hivyo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMKUTANO MKUU ADC WAMPITISHA, CHIEF LUTASOLA YEMBA KUWA MGOMBEA URAIS TANZANIA BARA, SAID MIRAJI ABDULLAH MGOMBEA MWENZA
10 years ago
Mwananchi06 Aug
Ilani ya vyama vya ADC, ACT sasa hadharani
Wakati joto la Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu likiendelea kupanda, vyama viwili vya ACT-Wazalendo na ADC ndivyo vilivyokamilisha ilani zake na kutangaza kwa umma, huku viongozi wa vyama vingine wakitangaza kukamilisha kazi hiyo kabla ya kuanza kampeni.
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-cuPqRxjqgic/Vou79admY1I/AAAAAAAIQlo/OnJbrFo5aI0/s72-c/IMG_0053.jpg)
ZINGATIENI VIAPO VYENU – ANGELA KAIRUKI.
![](http://4.bp.blogspot.com/-cuPqRxjqgic/Vou79admY1I/AAAAAAAIQlo/OnJbrFo5aI0/s640/IMG_0053.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-AvAHdP1ApSs/Vou79i3kjAI/AAAAAAAIQls/8lBjQ6sjS6w/s640/IMG_0058.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-_aGa4NEusZY/Vou79E-DraI/AAAAAAAIQlk/wanVm4QnLps/s640/IMG_0069.jpg)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora, Angela Kairuki alipotembelea ofisi hiyo leo jijini Dar es Salaam.
Picha na Avila Kakingo wa Globu ya Jamii.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya...
9 years ago
Mwananchi29 Nov
Lyanga atua Simba, Miraji aondoka
Wakati mshambuliaji Daniel Lyanga akitua rasmi Simba kipindi hiki cha dirisha dogo la usajili mdogo, beki wa pembeni wa klabu hiyo, Miraji Adam ameondoka na atajiunga na Coastal Union ya Tanga.
10 years ago
Mwananchi23 Jan
Polisi Moro: Yanga acheni visingizio vyenu
 Polisi Morogoro kupitia kwa kocha wao msaidizi, John Tamba imeibeza Yanga inayocheza nayo kesho kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara, kuwa waache visingizio kwa kusema Uwanja wa Jamhuri Morogoro ni mbaya.
10 years ago
Vijimambo25 Nov
10 years ago
Mwananchi23 Jun
Mzee Mwinyi, Mkapa, Dk Mengi, Dewji, tunasubiri vitabu vyenu
Vitabu vina uhondo. Wasiosoma wanakosa mengi. Kwa wenzetu wanaojua nafasi ya vitabu na machapisho mengine, sekta ya vitabu ina mafanikio makubwa kijamii na kiuchumi.
9 years ago
Vijimambo28 Aug
Mbowe: Njooni Jangwani kesho
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Mbowe-28August2015.jpg)
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amefuta mzizi wa fitina kuhusiana na tishio la kuzuiwa kufanya mkutano wa uzinduzi wa kampeni za Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kesho kwa kuwataka wajitokeze siyo kwa maelfu bali kwa mamilioni.
Akizungumza katika kongamano la kina mama lililoandaliwa na Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) jijini Dar es Salaam jana, Mbowe alisema mgombea wao, Edward Lowassa na mgombea mwenza, Juma Dunia Haji, watahutubia mkutano...
11 years ago
Mwananchi09 Dec
Sumaye: Njooni muwekeze nyumbani
Uingereza.Waziri mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye amesema Tanzania inazo fursa nyingi za uwekezaji, mazingira yanayovutia, uchumi imara na sera nzuri na kuwataka Watanzania
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania