MISS TZ AFARIKI GHAFLA
![](http://api.ning.com:80/files/Ktsylelmf0noUKa0jDnm8zlWzQNEETqOkc2eGCIaOep1fhOOPGr7lITwGDJ1-XPR6TOQBzGh2vgRlHmoPa4O9TMIXzTvgiLr/miss.jpg)
Stori: Imelda Mtema KWELI kifo hakina huruma jamani! Mshiriki wa Miss Tanzania 2013 akitokea Miss Ilala, Martha Gewe, mkazi wa Tabata Segerea, Dar amefariki dunia baada ya kuugua ghafla, Ijumaa Wikienda linakupa zaidi. Martha amekutwa na mauti katika Hospitali ya Mkoa wa Ilala, Amana jijini Dar es Salaam, Ijumaa iliyopita ambako alikimbizwa baada ya kuugua na madaktari walibaini kwamba, malaria ilipanda kichwani. Marafiki wa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Feb
Mwakilishi afariki ghafla Zanzibar
11 years ago
Mwananchi26 Mar
RC Mara afariki dunia ghafla
11 years ago
GPLYULE MTOTO ALIYETESEKA AFARIKI DUNIA GHAFLA
11 years ago
Tanzania Daima09 Apr
Paroko Kanisa Katoliki afariki dunia ghafla
BAADHI ya waamini wa Kanisa Katoliki la Bikira Maria wa Fatma mjini Geita, wameshitushwa na taarifa za kifo cha Paroko wa Parokia ya Geita, Padri Henry Kimisha aliyefariki dunia ghafla...
11 years ago
BBCSwahili20 Feb
Kasisi afariki ghafla kwa 'rafiki' yake
9 years ago
Mwananchi15 Sep
Mgombea udiwani Kata ya Uyole CCM afariki ghafla
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wxWEJX1q6dYs2A1XXlgz8Qhy9XHSubICpmh3Wxiwb6nXFnsL0wogYVYdBhPJrNf5CxVy26RUSi4i8739AP8yEUkJvrOdxDnw/bloggerimage1866645765.jpg?width=534)
MWIGIZAJI NA SHOGA MAARUFU WA NOLLYWOOD NIGERIA AFARIKI GHAFLA
11 years ago
Dewji Blog17 Apr
Mpiga gitaa Skylight Band Chiri Challa afariki ghafla
Mpiga Gitaa wa Skylight Band maarufu kwa jina la Chiri Challa(pichani) amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia April 17 katika Hospitali ya Muhimbili.
Taarifa za awali zimethibitishwa na uogonzi wa bendi hiyo kuwa mpiga gitaa huyo machachari amefariki baada ya kuugua kwa siku mbili ugonjwa wa kupooza nusu ya mwili wake na kuepelekea kutofanya kazi ipasavyo.
Kwa mujibu wa Meneja wa bendi hiyo Aneth Kushaba AK47 Ugonjwa wa kupooza ulipelekea mishipa ya damu kichwani kupasuka hivyo na...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/10173726_10152036323227864_1413106576404088176_n.jpg)
MPIGA GITAA SKYLIGHT BAND CHIRI CHALLA AFARIKI GHAFLA