Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWIGIZAJI NA SHOGA MAARUFU WA NOLLYWOOD NIGERIA AFARIKI GHAFLA

Mwigizaji maarufu Charles Warren enzi za uhai wake. Mwigizaji maarufu Charles Warren ambaye ni shoga anayeigiza sinema katika tasnia ya sinema ya Nollywood nchini Nigeria amefariki ghafla alhamisi iliyopita majira ya usiku katika Hospitali moja jijini Lagos nchini Nigeria. Charles Warren alifariki ghafla wakati akiifanya mapenzi (akimegwa) na mwenzake aliyetajwa kwa jina la Ajah ambapo ghafla alianza kulalamika maumivu ya kiuno...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MWIGIZAJI MUNA OBIEKWE WA NIGERIA AFARIKI DUNIA

Mwigizaji Muna Obiekwe enzi za uhai wake. HABARI kutoka Nigeria zimesema mwigizaji maarufu wa kiume wa sinema nchini humo, Muna Obiekwe, amefariki jana katika hospitali ya Festac, jijini Lagos, baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa figo. Vyanzo vilivyokuwa karibu na mwigizaji huyo, vinasema Muna alikuwa akipambana na matatizo ya figo ambayo alikuwa ameyafanya siri kwa muda mrefu kabla ya kumwambia rais wa chama cha waigizaji cha...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwigizaji wa filamu ya Godzilla afariki

Hiroshi Koizumi ,msanii wa Japan ambaye aliigiza katika filamu nyingi za Godzilla amefariki akiwa na umri wa miaka 88.

 

11 years ago

GPL

MWIGIZAJI BOB HOSKINS AFARIKI DUNIA

Robert William 'Bob Hoskins' ndani ya filamu ya Who Framed Roger Rabbit (1988). Bob Hoskins enzi za uhai wake.
MWIGIZAJI maarufu wa Uingereza, Robert William maarufu kwa jina la 'Bob Hoskins' amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71 kwa ugonjwa wa Numonia 'pneumonia'.…

 

10 years ago

GPL

MISS TZ AFARIKI GHAFLA

Stori: Imelda Mtema
KWELI kifo hakina huruma jamani! Mshiriki wa Miss Tanzania 2013 akitokea Miss Ilala, Martha Gewe, mkazi wa Tabata Segerea, Dar amefariki dunia baada ya kuugua ghafla, Ijumaa Wikienda linakupa zaidi.
Martha amekutwa na mauti katika Hospitali ya Mkoa wa Ilala, Amana jijini Dar es Salaam, Ijumaa iliyopita ambako alikimbizwa baada ya kuugua na madaktari walibaini kwamba, malaria ilipanda kichwani. Marafiki wa...

 

11 years ago

Mwananchi

RC Mara afariki dunia ghafla

>Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tuppa amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla kutoka kwenye kiti alichoketi wakati akishiriki Kikao cha Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Tarime.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwakilishi afariki ghafla Zanzibar

>Mnadhimu wa Baraza la Wawakilishi na Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni (CCM), Salmin Awadh Salmin (57) amefariki dunia.

 

11 years ago

BBC

AUDIO: Nollywood: Nigeria's film scene

Nigerian film producer Femi Odugbemi discusses the country's growing film industry.

 

9 years ago

TheCitizen

Nigeria's Nollywood: seeking worldwide appeal

The camera rolls from left to right on a dolly as the actors, all African, go through their lines, a sound operator holding a boom steady over their heads under bright studio lights.

 

11 years ago

GPL

YULE MTOTO ALIYETESEKA AFARIKI DUNIA GHAFLA

Mtoto Suleiman Rajab enzi za uhai wake. Na Imelda Mtema
MASKINI! Yule mtoto Suleiman Rajab aliyeteseka muda mrefu akisumbuliwa na uvimbe mkubwa mguuni huku mamia ya Watanzania wakijitolea kuchanga fedha kwa ajili ya matibabu nchini India amefariki dunia ghafla nyumbani kwao Ukonga-Kivule, Dar. Akizungumza kwa masikitiko makubwa baada ya kifo hicho, baba mzazi wa marehemu, Rajab Upinde alisema kwamba mtoto wake huyo hakuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani