Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MISS UGANDA AMEKERWA KWA COMMENT MBAYA KWENYE MITANDAO

Leah Kalanguka (kati kati) ndiye mshindi was Miss Unganda 2014  Leah amesema kuwa, Urembo si namna ya muonekano wa nje bali ni kilicho ndani ya mtu na kile anachoweza kuonesha dunia, huku akikazia kuwa yupo tayari kuiwakilisha nchi yake katika mashindano ya Miss World mwezi Desemba mwaka huu.

Kufuatia mrembo huyu kukosolewa sana mtandaoni, watu maarufu pia kama Bobi Wine na Anne Kansiime wamemtetea mrembo huyu na kutaka watu kuacha kumkosoa mrembo huyu bila kufahamu ni kwa namna gani...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Yale yaleee....: Wakati Tanzania tunalia kwa udanganyifu wa umri wa Miss Tanzania,Wenzetu Uganda wanalia kwa Sura mbaya wa Mrembo wao

Tasnia ya Urembo inazidi kuchukua sura mpya siku hadi siku,kwa masiku kadhaa hapa Nyumbani tumekuwa tukilalamikia udanganyifu wa Umri wa Mrembo wa Tanzania 2014,Sitti Abbas Mtemvu kwamba umri wake wa halali haukustahili kumfanya awe Malkia wa taji hilo na hivyo anapaswa kuvuliwa taji hilo,lakini imekuwa ni tofauti kwa ndugu zetu wa nchi ya Uganda kwani wao kilio chao ni kwamba Mrembo alietwaa taji la Miss Uganda 2014,Leah Kalanguka ni mbaya na hana mvuto na hivyo hawezi kuiwakilisha vyema...

 

10 years ago

Bongo5

Chris Brown achukizwa na comment ya Marques Houston kwenye picha ya Karruache

Chris Brown anatamani Karrueche Tran aishi bila mwanaume mwingine katika maisha yake yote! Muimbaji huyo alitupia comment kwenye picha ya ex wake huyo kwenye Instagram baada ya msanii mwenzake, Marques Houston kusifia umbo la mrembo huyo. Tran aliweka picha hiyo akiwa na bikini tu pembeni ya bwawa la kuogelea ambayo ilimdatisha Houston aliyeigiza kwenye kipindi […]

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania ipo kwenye mikakati kukabili wizi wa fedha kwa kutumia mitandao

Jitihada za Serikali katika kupambana na uhalifu wa mitandao imeungwa mkono kutokana na baadhi ya vyuo kuanzisha mitalaa yenye somo la ulinzi wa  mitandao.

 

11 years ago

Bongo Movies

Matusi ya kwenye mitandao ya kijamii yamuumiza Wema Sepetu kwa kumgusa mama yake Mzazi

Mtandao maarufu wa kijamii wa Instagram umekuwa sehemu ambayo mambo mengi yanafanyika siku hizi na kuwaacha watu wengine wakifurahi, kukasirika na wengine wakitoa machozi kutokana na vita isiyo rasmi inayoendeshwa na team zinazoundwa na mashabiki wanaodai kumlinda mtu fulani maarufu.

Vita ya "team" hizi imekuwa serious zaidi kwa wasanii wa kike na mara nyingi hushambuliana kwa maneno na hata matusi ya nguoni pale mmoja anapotaka kuvuka msitari wa mwingine.

Vita hiyo imemgusa Wema Sepetu...

 

11 years ago

Bongo5

AY asema mama yake na Sean Kingston humchukulia kama mwanae,’ hata kwenye Instagram yangu ana comment’

AY amesema kuwa ukaribu alionao na msanii Mjamaica-Mmarekani, Sean Kingston ni zaidi ya urafiki wa kikazi kiasi ambacho wanachkuliana kama kama familia. AY ameiambia Bongo5 kuwa mama yake Sean humchukulia kama mtoto wake na wanawasiliana mara kwa mara. “Yaani huyu jamaa ananipa support asilimia 100 huwezi kuamini ni mtu ambaye si yeye tu hadi mama […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Mitandao ya kulipizia kisasi Uganda

Inaitwa kulipiza kisasi kwa kutumia picha za utupu, kuchapisha picha za mtu binafsi za utupu bila yeye kujua, limekuwa jambo la kawaida nchini Uganda

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KATIKA JESHI LA MAGEREZA KWENYE BAADHI YA MITANDAO YA KIJAMII


Katika siku za hivi karibuni, kumekuwepo na tangazo kuhusu nafasi za ajira katika Jeshi la Magereza linalodaiwa kuwa limetolewa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza na kusambazwa kwenye baadhi ya Mitandao ya kijamii. Umma unajulishwa kuwa taarifa hizo siyo za kweli.
Jeshi la Magereza linapenda kuufahamisha umma kuwa ajira hutolewa na kutangazwa kupitia Vyombo vya Habari pamoja na tovuti ya Jeshi la Magereza ya www.magereza.go.tz 
Hivyo, Jeshi la Magereza linawatahadharisha Wananchi wote...

 

10 years ago

Dewji Blog

Shamim Mwasha atoa mada namna kutumia mitandao ya kijamii kwa manufaa kwenye semina ya taasisi ya Manjano

Mkurugenzi Mtendaji 8020 Fashion na  Mentor wa Taasisi ya Manjano Foundation Shamim Mwasha akitoa mada kwenye Semina ya kuwawezesha  wanawake kuwa wajasiriamali kupitia vipodozi vya Luv Touch Manjano iliyoandaliwa na Manjano Foundation kwa lengo la kuwajengea udhubutu wanawake  kufanya biashara pia namna ya kujiwekea akiba na kutumiza malengo yao. Anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear Illusions Ltd. Mkurugenzi wa Manjano Foundation, Mama Shekhar Nasser.

Washiriki wakimsikiliza...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wateja wa Tigo na ZANTEL sasa kufurahia huduma salama na uhakika ya kutumiana fedha kwenye Mitandao yao kwa 100%

2

Meneja Chapa wa Tigo William Mpinga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mjini Zanzibar mapema leo kuhusu ushirikiano kati ya TigoPesa na EzyPesa ambapo sasa wateja kutoka mitandao hiyo miwili wataweza kutuma na kupokea pesa kutoka mtandao hiyo moja kwa moja kutoka kwa wakala wa mtandao wao bila kuwa na ulazima tena wa mteja kutafuta wakala wa mtandao wa mtu aliyemtumia pesa.

3

Mkurugenzi wa Huduma za Kutuma na Kupokea Fedha wa Tigo Andrew Hodgson akitoa maelezo kwa waandishi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani