Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Missouri hali ilivyo kwa sasa

"Usiku wa jana ulikuwa ni wa maafa. Tunajiandaa kuungana tena na kikosi maalam cha Taifa, kukabiliana na hali hii.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

HALI ILIVYO MPAKA SASA NYUMBANI KWA ALLY CHOKI

Ndugu na majirani wa karibu wakiwa katika msiba wa mke wa Ali Choki, Shuwea Hamis ‘Mama Shuu’ baada ya kuugua kwa muda mrefu na kuaga dunia usiku wa kuamkia leo. Mkurugenzi wa Extra Bongo akiwa na majonzi nyumbani kwake Toangoma, Kigamboni.…

 

10 years ago

GPL

KWA HALI ILIVYO SASA HIVI, HATA MPENZI WAKO HUENDA ANAJIUZA!

Mpenzi msomaji wangu, kichwa cha habari hapo juu huenda kimekushtua lakini huo ndiyo ukweli wa mambo! Nasema hivyo kutokana na kile ninachokishuhudia sasa hivi kwenye ulimwengu wa mapenzi. Kwa wale ambao wanapitapita maeneo yanayosifika kwa biashara ya ukahaba watakubaliana na mimi kwamba hali ni mbaya sana. Mabinti wazuri sana wanaonekana mida ya usiku wakiwa mawindoni.Wanajinadi kwa wanaume wanaopita huku wakiwa wamevalia nusu...

 

10 years ago

BBCSwahili

UN yailaumu Tanzania kwa hali ilivyo DRC

Umoja wa mataifa imezituhumu serikali za Tanzania na Burundi kuhusiana na hali katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Hali ya usalama Missouri yaimarishwa

Gavana wa jimbo la Missouri nchini marekani ameomba nguvu za kijeshi huko Ferguson kufuatia vurugu zilizotokea mapema wiki hii.

 

10 years ago

BBCSwahili

Gavana atangaza hali ya hatari, Missouri

Gavana wa jimbo la Missouri nchini Marekani ametangaza hali ya hatari kabla ya kutolewa uamuzi muhimu kuhusu kumfungulia mashitaka

 

11 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO HALI ILIVYO KATIKA SOKO LA ILALA MCHIKICHINI JIJINI DAR BAADA YA KUTEKETEA KWA MOTO

 Sehemu ya wafanyakazi wa Kikosi zimamoto wakiendelea na zoezi la kuzima moto ulioteketeza kabisa Soko la Ilala Mchikichini Jijini Dar es salaam leo.Moto huo ulianza majira ya saa sita usiku wa kuamkia leo na kuteketeza kila kilichokuwepo katika eneo la soko hilo. Chanzo cha kutokea kwa moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa.Picha zote na Othman Michuzi.  Kazi ya kuzima moto ikiendelea.  Jitihada za kuuzima moto huo bado zinaendelea.  Moto bado unaendelea kuwaka mpaka wakati huu,huku...

 

5 years ago

Michuzi

...KWA HALI ILIVYO CCM MNAPASWA KUWA NA FOMU MOJA TU YA MGOMBEA URAIS,TENA IWE YA DK.JOHN MAGUFULI

Na Said Mwishehe,Michuzi TV
LAZIMA tukubaliane kabisa na wewe ambaye umeamua kwa hiyari yako kusoma hiki ambacho nakiandika.Tukubaliane tu utasoma kuanzia mwanzo hadi mwisho.Ndio lazima iwe hivyo.

Ujue katika maisha haya kuna watu vichwa ngumu kidogo, yaani hata wewe fikiria unatumia muda mwingi kuandika kitu, alafu anatokea msomaji anasoma hapo juu na kisha anaacha.Sio vizuri  jamani...tukubaliane tu leo tenga muda wako angalau usome hadi mwisho.

Kwa kuwa tumekubaliana sasa naomba nianze kwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Hali ya upashaji habari ilivyo baada ya kufungwa kwa baadhi ya vyombo vya habari Burundi

Baadhi ya vyombo vya habari vilivyopigwa marufuku kwa sasa hivi vimeanza kupeperusha matangazo yake mtandaoni.

 

10 years ago

Michuzi

HALI ILIVYO DARAJA LA RANDO, KAWE

Daraja la Rando lililopo Kawe jijini Dar lionekanavyo baada ya kukumbwa na mafuriko kutokana na mvua zilizokuwa zikinyesha maeneo mbalimbali hapa nchini na  kupelekea usumbufu wa kutokufikika kwa baadhi maeneo ya ng'ambo ya daraja hilo, tunafahamu kwamba magari mara nyingi ndio yanasubiana kupishana lakini hapa imekuwa ni tofauti, kwani hapa Pikipiki (Bodaboda) ndio zinapishana kwa mtindo huo kwa kupita moja baada ya nyingine.   Hali ni tete katika daraja hilo ambalo lilitengenezwa kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani