Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gavana atangaza hali ya hatari, Missouri

Gavana wa jimbo la Missouri nchini Marekani ametangaza hali ya hatari kabla ya kutolewa uamuzi muhimu kuhusu kumfungulia mashitaka

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Rais wa Mali atangaza hali ya hatari

Rais wa Mali Ibrahim Boubacar Keita ametangaza hali ya hatari nchini humo baada ya shambulio kwenye hoteli moja mjini Bamako kuua watu zaidi ya 20.

 

10 years ago

BBCSwahili

Hali ya usalama Missouri yaimarishwa

Gavana wa jimbo la Missouri nchini marekani ameomba nguvu za kijeshi huko Ferguson kufuatia vurugu zilizotokea mapema wiki hii.

 

10 years ago

BBCSwahili

Missouri hali ilivyo kwa sasa

"Usiku wa jana ulikuwa ni wa maafa. Tunajiandaa kuungana tena na kikosi maalam cha Taifa, kukabiliana na hali hii.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tunisia yatangaza hali ya hatari

Tishio la mashambulio katika mji mkuu, yafanya wakuu wa Tunisia kutangaza hali ya dharura

 

10 years ago

BBCSwahili

Hali ya hatari yatangazwa Vanuatu

Rais wa Vanuatu ameiambia BBC kuwa watu wengi wameachwa bila makao kutokana na kimbunga kikali kilichokumba kisiwa hicho

 

11 years ago

BBCSwahili

Misri yatangaza hali ya hatari

Misri imetangaza hali ya hatari katika eneo la Sinai kufuatia kuuawa kwa takriban wanajeshi 31

 

9 years ago

BBCSwahili

Maombolezo na hali ya hatari Ufaransa

Baada ya mashambulio ya kigaidi mjini Paris Ijumaa, Ufaransa yatangaza maombolezo na hali ya hatari

 

9 years ago

BBCSwahili

Hali ya hatari Chad kukabili Boko Haram

Chad imetangaza hali ya hatari eneo la Ziwa Chad baada ya kuongezeka kwa mashambulio kutoka kwa wapiganaji wa Boko Haram

 

5 years ago

Michuzi

Marekani yatangaza hali ya hatari mjini Washington kutokana na wimbi la virusi vya corona

Meya wa Washington DC, Muriel Bowser huko Marekani usiku wa kuamkia leo ametangaza hali ya hatari katika mji huo baada ya kuenea wimbi la maambukizi ya virusi hatari vya corona.

Kwa mujibu wa shirika la habari la IRNA, wakuu wa jiji la Washington DC wametangaza hali ya hatari katika jiji hilo na kupiga marufuku mikusanyiko ya watu wanaozidi elfu moja.

Kwa mujibu wa taarifa rasmi za maafisa wa afya wa Marekani, hadi hivi sasa zaidi ya watu elfu moja na mia moja wameambukizwa virusi vya corona...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani