Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mitandao yaua shamrashamra za Valentine

WAPENDAONA MWANDISHI WETU
IMEDAIWA kuwa kukua kwa sayansi na teknolojia na hasa matumizi ya mitandao ya kijamii, kumeua soko la kadi pamoja na maua yaliyozoeleka kununuliwa msimu huu wa Valentine.
Hayo yamebainishwa na baadhi ya wauza maduka ya kadi na maua katika maeneo mbalimbali ambao wanalalamikia kuporomoka kwa bidhaa hizo ambazo katika siku za nyuma zilikuwa zikiuzika kwa kiwango kikubwa.
Mmoja wa wauza duka hilo aliyejitambulisha kwa jina la Fadhili Muzo, alisema kwa mwaka huu hali ni mbaya...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

JK asitisha shamrashamra za ngoma

Rais Jakaya Kikwete jana aliongoza maelfu ya Watanzania katika maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru wa Tanganyika (sasa Tanzania), kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam na kulihutubia taifa, akiwataka wananchi kuwa na moyo wa kusamehe kama aliokuwa nao Rais wa Kwanza mzalendo wa Afrika Kusini, Nelson Mandela.

 

9 years ago

Mwananchi

Mawaziri waapa bila shamrashamra

Halikuwa jambo la kawaida wakati hafla ya kuapishwa kwa mawaziri 30 Ikulu Dar es Salaam jana ilipofanyika kwa dakika 60, bila ya kuwapo kwa shamrashamra za aina yoyote.

 

10 years ago

GPL

SHAMRASHAMRA ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MBURAHATI

Shamra shamra za kampeni za uchaguzi wa serikali  za  mitaa maeneo ya Mburahati. KAMERA ya GPL imeinesa picha ya shamra shamra za kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa eneo la Mburahati, jijini Dar es Salaam. (Habari/Picha: Gabriel Ng’osha/GPL)

 

10 years ago

Vijimambo

ShamraShamra za Ushindi wa NSSF Maonesho ya 39 ya Biashara

Baadhi ya wafanyakazi na maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii(NSSF) wakishangilia ushindi wa ngao tatu kwa pamoja katika vipengele tofauti kwenye Maonesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama Sabasaba jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyakazi na maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii(NSSF) wakishangilia ushindi wa ngao tatu kwa pamoja katika vipengele tofauti kwenye Maonesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama Sabasaba jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wafanyakazi na maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii(NSSF) wakishangilia ushindi wa ngao tatu kwa pamoja katika vipengele tofauti kwenye Maonesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama Sabasaba jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyakazi na maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii(NSSF) wakishangilia ushindi wa ngao tatu kwa pamoja katika vipengele tofauti kwenye Maonesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi na maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii(NSSF) wakishangilia ushindi wa ngao tatu kwa pamoja katika vipengele tofauti kwenye Maonesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama Sabasaba jijini Dar es Salaam. Baadhi ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Shamrashamra za kumuaga Jakaya Mlimani City

Jose Mara, Fid Q, Bushoke na Ruby ni kati ya wasanii ambao walifanikiwa kumuwezesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete kuianza wikiendi yake vizuri baada ya kumrudisha enzi zake kiburudani kwa kumpigia nyimbo alizozipenda enzi za ujana wake, katika hafla ya kumuaga iliyofanyika usiku wa kuamkia jana katika Ukumbi wa Mlimani City.

 

9 years ago

MillardAyo

Tajikistan nako shamrashamra za Christmas ni marufuku vyuoni..!!

Tajikistan ni moja ya nchi ambazo ziko bara la Asia, kilichoteka vichwa vya habari sasahivi ni ishu ya ‘MARUFUKU’ iliyopigwa kuhusiana na shamrashamra za sikukuu za Christmas siku chache zijazo. Tangazo limetolewa kwamba ni marufuku kabisa kwenye maeneo ya shule na vyuoni kupiga fataki, marufuku kuweka mapambo ya miti pamoja na shamrashamra za zawadi na […]

The post Tajikistan nako shamrashamra za Christmas ni marufuku vyuoni..!! appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

GPL

SHAMRASHAMRA ZA EID EL FITR ZILIVYOPAMBA MOTO KARIAKOO, DAR

Taswira ya baadhi ya mitaa ya katikati ya Kariakoo, Dar, ilivyofurika watu wakifanya manunuzi. Hekaheka zikiendelea katika mitaa ya Kariakoo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani