JK asitisha shamrashamra za ngoma
Rais Jakaya Kikwete jana aliongoza maelfu ya Watanzania katika maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru wa Tanganyika (sasa Tanzania), kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam na kulihutubia taifa, akiwataka wananchi kuwa na moyo wa kusamehe kama aliokuwa nao Rais wa Kwanza mzalendo wa Afrika Kusini, Nelson Mandela.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima03 Jul
RC asitisha likizo za wakuu wa wilaya
MKUU wa Mkoa wa Kagera, Kanali Mstaafu Fabian Massawe, amesitisha likizo zote kwa Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri hadi ujenzi wa majengo ya maabara utakapokamilika. Mbali na kusitisha...
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
Tibaijuka asitisha ujenzi wa kanisa
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka, amesitisha ujenzi wa Kanisa la ‘Hemba Ministries’ linalojengwa katika Kitongoji cha Busimba, Kijiji cha Ihangiro, Wilaya ya Muleba, mkoani...
9 years ago
Mwananchi10 Nov
Pluijm asitisha usajili mpya Yanga
9 years ago
Mwananchi08 Oct
Mahiza asitisha uhamisho wa waganga wakuu Tanga
10 years ago
BBCSwahili05 Sep
Dalai Lama asitisha ziara Afrika Kusini
9 years ago
Mwananchi13 Dec
Mawaziri waapa bila shamrashamra
10 years ago
Mtanzania14 Feb
Mitandao yaua shamrashamra za Valentine
NA MWANDISHI WETU
IMEDAIWA kuwa kukua kwa sayansi na teknolojia na hasa matumizi ya mitandao ya kijamii, kumeua soko la kadi pamoja na maua yaliyozoeleka kununuliwa msimu huu wa Valentine.
Hayo yamebainishwa na baadhi ya wauza maduka ya kadi na maua katika maeneo mbalimbali ambao wanalalamikia kuporomoka kwa bidhaa hizo ambazo katika siku za nyuma zilikuwa zikiuzika kwa kiwango kikubwa.
Mmoja wa wauza duka hilo aliyejitambulisha kwa jina la Fadhili Muzo, alisema kwa mwaka huu hali ni mbaya...
10 years ago
Bongo522 Jun
Diamond asitisha kupokea maombi ya collabo za wasanii wa Nigeria
10 years ago
Mwananchi08 Aug
Shamrashamra za kumuaga Jakaya Mlimani City