Pluijm asitisha usajili mpya Yanga
Kocha wa Yanga, Hans Pluijm amesitisha mchakato wa usajili mpya kwenye kikosi chake kwa kile kilichoelezwa hadi atakapofikia muafaka na Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo11 Dec
Pluijm amchambua streka mpya Yanga
KOCHA Hans van der Pluijm wa Yanga, amesema atahakikisha anazingatia vitu vya msingi kupima uwezo wa mshambuliaji Mniger, Issoufou Boubacar Garba, kabla ya kumpa mkataba wa kukichezea kikosi chake katika michuano mbalimbali watakayoshiriki.
9 years ago
Habarileo24 Dec
Pluijm afichua siri ya usajili
KOCHA wa Yanga Mholanzi Hans van der Pluijm, ameweka wazi sababu ya kuendelea kusajili kwenye dirisha dogo ni kuifanya timu hiyo iwe bora Afrika. Alisema lengo ni kuepuka kikosi chake kutegemea baadhi ya wachezaji pindi wanapokuwa katika ushindani mkubwa kama ilivyo sasa.
10 years ago
Mtanzania08 May
Pluijm: Sitofanya makosa katika usajili
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Hans Van Der Pluijm amesema hatofanya makosa katika usajili wa wachezaji kuelekea katika msimu mpya wa Ligi `Kuu Tanzania Bara na michuano ya kimataifa, kwani malengo yake ni kuona timu yake inaendelea kuwa tishio.
Yanga ilikubali kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya Azam katika mchezo uliyofanyika juzi Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Pluijm alisema anapenda kuwa makini sana unapofika wakati wa...
10 years ago
Bongo517 Dec
Ray C asitisha kuachia wimbo mpya kufuatia msiba wa Aisha Madinda
10 years ago
Mtanzania28 May
Pluijm ashtuka Yanga
JENNIFER ULLEMBO NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
WAKATI klabu ya Yanga ikiendelea kusajili nyota wake kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, kocha mkuu wa timu hiyo Mholanzi, Hans Van der Pluijm, amewashtukia viongozi wa timu hiyo akieleza anahisi baadhi ya wachezaji waliosajiliwa hadi sasa hakuwapendekeza katika ripoti yake.
Klabu hiyo hadi sasa imefanikiwa kupata saini za wachezaji watatu ambao ni Deus Kaseke aliyetoka Mbeya City, Haji Mwinyi wa Zanzibar na Benedicto Tinoco kutoka Kagera...
9 years ago
Habarileo05 Nov
Pluijm: Yanga bingwa
KOCHA wa Yanga, Hans van der Pluijm, amesema timu yake bado ina nafasi kubwa ya kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu na kwamba haoni sababu ya mashabiki wa timu hiyo kuwa na hofu. Kwa sasa, Yanga iko katika nafasi ya pili ya msimamo wa ligi ikiwa na pointi 23, kileleni ikiwemo Azam yenye pointi 25.
11 years ago
Mwananchi27 May
Pluijm adai mshahara Yanga
11 years ago
Mwananchi02 Apr
Pluijm: Wachezaji Yanga wazembe
11 years ago
Mwananchi17 May
Pluijm mwanachama hai Yanga