Pluijm amchambua streka mpya Yanga
KOCHA Hans van der Pluijm wa Yanga, amesema atahakikisha anazingatia vitu vya msingi kupima uwezo wa mshambuliaji Mniger, Issoufou Boubacar Garba, kabla ya kumpa mkataba wa kukichezea kikosi chake katika michuano mbalimbali watakayoshiriki.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi10 Nov
Pluijm asitisha usajili mpya Yanga
9 years ago
Habarileo27 Nov
Streka mpya Simba amkuna Kerr
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, amesema mshambuliaji mpya wa timu hiyo Haji Ungando anaweza kuibeba Simba. Kutokana na hali hiyo amemtaka mchezaji huyo pamoja na Issa Said, Danny Lyanga na Abdi Banda watambue wana majukumu makubwa ndani ya kikosi hicho.
10 years ago
Mtanzania28 May
Pluijm ashtuka Yanga
JENNIFER ULLEMBO NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
WAKATI klabu ya Yanga ikiendelea kusajili nyota wake kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, kocha mkuu wa timu hiyo Mholanzi, Hans Van der Pluijm, amewashtukia viongozi wa timu hiyo akieleza anahisi baadhi ya wachezaji waliosajiliwa hadi sasa hakuwapendekeza katika ripoti yake.
Klabu hiyo hadi sasa imefanikiwa kupata saini za wachezaji watatu ambao ni Deus Kaseke aliyetoka Mbeya City, Haji Mwinyi wa Zanzibar na Benedicto Tinoco kutoka Kagera...
9 years ago
Habarileo05 Nov
Pluijm: Yanga bingwa
KOCHA wa Yanga, Hans van der Pluijm, amesema timu yake bado ina nafasi kubwa ya kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu na kwamba haoni sababu ya mashabiki wa timu hiyo kuwa na hofu. Kwa sasa, Yanga iko katika nafasi ya pili ya msimamo wa ligi ikiwa na pointi 23, kileleni ikiwemo Azam yenye pointi 25.
11 years ago
Mwananchi17 May
Pluijm mwanachama hai Yanga
11 years ago
GPLPluijm aacha kazi Yanga
10 years ago
Mtanzania10 Mar
Pluijm achoka na uteja Yanga
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Van Der Pluijm, amesema kama ataendelea kukinoa kikosi hicho, anaamini atafuta uteja wa kufungwa na watani wao wa jadi, Simba, ambao mara yao ya mwisho kuwafunga katika ligi ilikuwa msimu wa 2012/ 2013.
Yanga, ikiwa inanolewa na kocha Mholanzi, Ernest Brandts, iliibuka na ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Simba Mei 19, 2013, huku Wanajangwani hao wakiweza kuibuka mabingwa wa msimu huo.
Akizungumza na MTANZANIA jana, baada ya kufungwa bao...
9 years ago
Mwananchi20 Oct
Kocha Pluijm kustaafia Yanga
10 years ago
Mtanzania14 May
Pluijm atoa onyo Yanga
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa mabingwa wapya wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga, Hans Van Der Pluijm, amewaonya viongozi wa klabu hiyo na kuwataka wahakikishe wanafanya usajili utakaoiletea timu mafanikio na siyo ubabaishaji.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Pluijm alisema kipindi cha usajili kimekuwa na matukio ya ajabu ambayo hupelekea mipango ya mwalimu kuvurugika kutokana na viongozi kufanya maamuzi yao binafsi.
Pluijm ambaye anatarajia kuondoka nchini Jumamosi kuelekea...