Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mitihani la 7 yamalizika kwa utulivu

WATAHINIWA wa mtihani wa darasa la saba 2015, wamefanya mitihani yao kwa amani na utulivu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Mitihani yaanza kwa amani na utulivu

MTIHANI wa kidato cha nne ulioanza jana nchini kote umeanza kwa hali ya utulivu na amani katika shule mbalimbali za jiji la Dar es Salaam.

 

11 years ago

BBCSwahili

Madola yamalizika kwa kishindo

Mashindano ya Jumuiya ya Madola yamemaliza katika mji wa Glasgow nchini Scotland.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo Welcome Pack yamalizika kwa kishindo mjini Mtwara

_81A0207

Mkuu wa wilaya ya Mtwara, Wilman Ndile mwenye kofia akikagua basi la kampuni ya Tigo linalotumika kutoa huduma zake kwa wananchi walio vijijini kwenye kampeni ya welcome pack, kushoto kwake ni Meneja wa Tigo kanda ya kusini, Daniel Mainoya.wengine ni baadhi ya wateja wa kampuni hiyo waliyoenda kufahamu zaidi huduma zitolewazo na kampuni hiyo kwenye tamasha lililofanyika uwanja wa Nangwanda Mkoani Mtwara.

_81A0234

Wasanii wa kundi la Origino Komedi wakionesha shoo wakati wa tamasha la Tigo welcome...

 

10 years ago

Michuzi

Kambi ya mafunzo kwa Vijana yamalizika jijini Dar

Kwaya ya Gracias kutoka Korea ikitumbuiza katika kambi ya Vijana iliyomalizika jana katika viwanja vya mikutano vya Mlimani City.Kambi iyo mwaka huu imefanyika nchini ikijumuisha vijana elfu tatu duniani kote. Mkurugenzi msaidizi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na michezo Bi. Esther Riwa akiongea na Vijana mbalimbali baada ya Kuwapa somo kuhusu kuwa na Fikra Chanya ili kujiletea maendeleo na Stadi za Maisha.Vijana hao wameweka kambi katika Viwanja vya...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Harusi ya mdogo wake Beyonce yamalizika kwa majanga!

Kama ingekuwa Bongo basi watu wangeamini kuwa bibi harusi karogwa! Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mdogo wake Beyonce, Solange alifunga ndoa na kusherehekea kwa furaha lakini ilipomalizika mwili wake hususan usoni uliibuka na vipele (hives) kama tetekuwanga! Solange akionekana kuwa kwenye maumivu baada ya kuibuka vipele hivyo vinavyodaiwa kutokana na allergy Beyonce alikuwa karibu kumsaidia […]

 

11 years ago

Michuzi

Castle Lager Perfect Six ngazi ya kanda yamalizika kwa kishindo

Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Mkoa wa Mbeya Vivianus Rwezaura akikabidhi kombe kwa nahodha wa timu ya Green City, Issa Nelson baada ya timu hiyo kuibuka mabingwa wa Castle Lager Perfect Six Kanda ya Kusini.
Mashindano ya Castle Lager Perfect Six ngazi ya fainali za Kanda yamefikia tamati kwa kishindo baada ya timu ya Green City ya Jijini Mbeya kufanikiwa kutwaa ubingwa wa Castle Lager Perfect Six baada ya kuichabanga Timu ya Savannah kutoka Mkoani Iringa kwa mabao 8-3. ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maonesho ya filamu yaliyodhaminiwa na Tigo yamalizika kwa kishindo Jijini Arusha

1

Mtalaam wa Mawasiliano wa Tigo Amani Nkurlu (kulia) akikabidhi tuzo ya ‘Tigo Best Short Film’ kwa Mtayarishaji wa Filamu kutoka Kenya Mark Maina katika Maonesho ya Filamu ya Kiafrika Arusha (AAFF) aliyeshinda kupitia filamu yake mpya iitwayo “Consigned to Oblivion.” Maonesho hayo yaliyodhaminiwa na Tigo yalifikia tamati juzi.

2

Mratibu wa maonesho ya AAFF Nassir Mohamed akionyesha tuzo aliyoipokea kwa niaba ya Muongozaji filamu kutoka Tanzania Amil Shivji aliyeshinda tuzo ya ‘Best Short...

 

10 years ago

Michuzi

Programu ya kujitolea kwa Vijana Wahitimu wa Vyuo Vikuu yamalizika leo

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante OleGabriel akiongea na wahitimu wa programu ya kujitolea wa Vyuo Vikuu katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa VSO International Tanzania Bw. Jean Van Wetter. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habar i Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante OleGabriel katikati akimpa Cheti Dada Ndidi Tumpe wakati wa kuhitimisha Programu ya kujitolea kwa Vijana Wahitimu wa Vyuo Vikuu...

 

11 years ago

Michuzi

MAFUNZO YA AWALI KWA WATUMISHI WA HUDUMA ZA MKOBA WA UZAZI YAMALIZIKA JIJINI DAR

Mkurugenzi Mkazi wa Marie Stopes Tanzania, Ulla Muller (kushoto) akielezea jambo wakati akifunga mafunzo ya awali ya IT kwa watumishi wa huduma za MKOBA wa uzazi wa mpango kutoka Mikoa mbalimbali nchini Tanzania.hafla hiyo ya ufungaji mafunzo ilifanyika 2 Agositi 2014 katika chuo cha CBE jijini Dar es Salaam, wakwanza kulia Mhadhiri Msaidizi (ICT), Godfrey Mwandosya, Mkuu wa Idara ya Tekenolojia ya Habari na Mawasiliano.Alex Mwijika, Kaimu Mkuu wa Idara Mathematics (ICT), Nzomwe Mazana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani