Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MJAMZITO FEKI AIBA KICHANGA

Na Deogratius Mongela na Nyemo Chilongani
INAWEZA kukushtua lakini ndivyo ilivyotokea. Kichanga cha siku thelathini, Veis Venus kiliibwa hivi karibuni, mtuhumiwa akiwa ni mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Grace akidaiwa ni mjamzito feki. Mtoto Veis Venus aliyekuwa ameibiwa. Tukio hilo la kushangaza lilijiri Januari 27, 2013 maeneo ya Posta jijini Dar na mtoto huyo kupatikana Januari mwaka huu, mkoani Mbeya. Akizungumza na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

'Hausigeli' aiba milioni 2.6/-

MSICHANA anayefanya kazi za ndani katika mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, anadaiwa kuiba Sh milioni 2.6 mali ya mwajiri wake.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Imamu aiba nguruwe

KATIKA hali isiyo ya kawaida, aliyekuwa Imamu wa Msikiti wa Kisesa uliopo Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza, Salum Yusuph, amenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira baada ya kukamatwa akiwa ameiba...

 

11 years ago

Habarileo

Askari Magereza ‘aiba’ dukani

JESHI la Polisi mjini hapa linamshikilia askari wa Chuo cha Mafunzo (Magereza) kwa tuhuma za wizi wa Sh 1,635,000 katika duka lililopo eneo la Makadara. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Mkadam Khamis Mkadam, jana alimtaja askari huyo kuwa ni Sajini Meja Hassan Iddi Hassan (45) wa Chuo cha Mafunzo Makao Makuu.

 

5 years ago

Michuzi

MUUMINI AIBA SADAKA ZA KANISA

Na Leandra Gabriel, Michuzi TVPETER Muiya muumini wa kanisa katoliki la Mtakatifu James lililopo Muranga nchini Kenya amewekwa chini ya ulinzi kwa tuhuma za wizi wa sadaka katika kanisa hilo, vyombo vya habari nchini humo vimeripoti.
Imeelezwa kuwa kanisa hilo lilitazama video zilizofichwa (CCTV) baada ya kugundua kuwa fedha zimepotea kutoka kasha maalumu zilipohifadhiwa na kugundua kuwa Peter alitengeneza njia kanisani humo na kutumia waya mwembamba kutoa fedha hizo kutoka katika kasha.
Kwa...

 

11 years ago

Habarileo

Mke aiba mtoto asiachike

MKAZI wa kijiji cha Kisumba, Manispaa ya Sumbawanga, Halima Nambeya (18) ametupwa jela mwaka mmoja na Mahakama ya wilaya ya Sumbawanga baada ya kukiri kosa la kuiba mtoto mchanga wa kiume kwa lengo la kulinda ndoa yake ili asiachike kwa kukosa mtoto.

 

11 years ago

Habarileo

Polisi mwanamke aiba mtoto, anaswa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, Ahmed MsangiOFISA wa Jeshi la Polisi nchini, anashikiliwa na jeshi hilo mkoani Mbeya akituhumiwa kuiba mtoto mchanga mwenye umri wa siku saba.

 

11 years ago

Mwananchi

MICHUANO YA MADOLA: AIBA wamkataa kocha wa Tanzania

Shirikisho la Ngumi za Ridhaa la Dunia (AIBA) limegomea ombi la Shirikisho la Ngumi Tanzania (BFT) la kumtumia kocha mkuu wa timu ya taifa ya ngumi za ridhaa, Jonas Mwakipesile, kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola.

 

9 years ago

GPL

HAUSIGELI AIBA MTOTO DAR, AKAMATWA MWANZA

Na Makongoro Oging’ KAA chonjo! Mfanyakazi wa ndani ‘hausigeli’, Sheila Chacha (pichani) aliyekuwa akifanya kazi kwa Abraham Jullu maeneo ya Tegeta-Wazo, Dar anashikiliwa katika Kituo cha Polisi Mkoa wa Mwanza akidaiwa kuiba mtoto wa tajiri yake aitwaye Coletha (1/8) jijini Dar. Mfanyakazi wa ndani ‘hausigeli’, Sheila Chacha anayetuhumiwa kwa kuiba mtoto. Akizungumza na gazeti hili juzi, baba mzazi wa mtoto huyo,...

 

10 years ago

GPL

MWANAMKE ARUKA UKUTA, AIBA MASHUKA NA DEKI

Dunstan Shekidele
Mwanamke aliyefahamika kwa jina la Asha Saidi, hivi karibuni alikiona cha moto baada ya kufumwa akiiba mashuka na deki kwenye nyumba ya jirani yake.Tukio hilo lilitokea mtaa wa Mawenzi ambao mama huyu anaishi, inadawa aliruka ukuta na kukutwa na mama mwenye nyumba anayeitwa Zainabu akifanya uhalifu huo. Asha Saidi akiwa na Deki aliyodaiwa kuiiba. Ilidaiwa kuwa baada ya Zainabu kushuhudia tukio hili alipiga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani