Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mjane anayelalama kuvunjiwa nyumba

KUKITHIRI kwa vilio vya wajane na watoto yatima kumekuwa gumzo kila kona hapa nchini. Zainabu Sigu (51) ni miongoni mwa wajane ambao wamekuwa wakipambana ili kupata mali zao zilizoingia kwenye...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Familia Arumeru yatolewa vitu nje na kuvunjiwa nyumba!

patandi 2

Mkazi wa eneo la Duluti wilayani Arumeru mkoani Arusha,Janet Tinai akilalamika mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) akiwa na baadhi ya vyombo vyake  mara baada ya kuhamishwa kwa amri ya mahakama na kampuni ya Majembe Auction Mart juzi. (picha zote na Moses Mashalla). Na Mahmoud Ahmad [ARUMERU] Serikali imeombwa kuingilia kati sakata la familia ya Juma Isangu mkazi wa eneo la Duluti wilayani Arumeru mkoani Arusha kuondolewa na kisha kuvunjiwa nyumba waliyokuwa wakiishi kwa amri ya...

 

11 years ago

Habarileo

TAWREF yakabidhi nyumba kwa mjane, yatima

SHIRIKA la Utafiti na Huduma za Jamii (TAWREF) limekabidhi nyumba kwa mjane mwenye ulemavu, Feliciana Massawe anayekabiliwa na jukumu la kulea watoto wawili wilayani hapa.

 

10 years ago

GPL

MJANE ALIPULIWA KWA PETROLI

Stori: Haruni Sanchawa  na Makongoro Oging’ MAMA mmoja mjane, Mwajuma Hamisi Lissu (42) ameteketea kwa moto baada ya nyumba aliyokuwa amelala eneo la Kibamba Hondogo A maarufu Miti Mirefu jijini Dar es Salaam, kulipuliwa kwa petroli usiku wa  Agosti 24, mwaka  huu. Marehemu Mwajuma Hamisi Lissu Enzi za uhai wake. Tukio hilo la kusikitisha inadaiwa linahusishwa  na ugomvi baada ya mama  huyo kuachana na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

WOLAT yajitokeza kumsaidia mjane

KITUO cha Msaada wa Kisheria kwa Wajane, Wagane na Yatima (WOLAT), kimeazimia kumpatia msaada wa kisheria Latifa Rwayemamu. Hatua hiyo inakuja kufuatia makala iliyoandikwa na mwandishi mkongwe Ndimara Tegambwage kupitia...

 

10 years ago

GPL

MJANE WA GURUMO AWASHUKURU NSSF

Shani Ramadhani SIKU chache baada ya mjane wa marehemu, Muhidin Gurumo, Pili Nassoro, kukabidhiwa shilingi milioni mbili na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa ajili ya kununua bajaj, amelishukuru kwa kujitoa kwao. Mjane wa marehemu, Muhidin Gurumo, Pili Nassoro. Akizungumza na Amani, Pili alilisifu shirika hilo kwa kuthamini michango ya wanamuziki. “Nawashukuru NSSF kwa kunitoa kwenye mawazo kwani mchango wao...

 

11 years ago

Habarileo

TSN yatoa msaada kwa mjane

Bibi Amina Mayove mkazi wa Mbagala Kipati, Dar es Salaam akipokea msaada wa fedha Sh 550,500 za mtaji wa biashara kutoka kwa Ofisa Rasilimaliwatu wa Kampuni ya magazeti ya serikali (TSN), Joseph Kilima jana. Katikati ni Kaimu Mhariri wa gazeti hili, Nicodemus Ikonko. (Picha na Mroki Mroki).KAMPUNI ya Tanzania Standard Newspapers (TSN) ambayo ni mchapishaji wa magazeti ya Daily News na HabariLeo imempatia Sh 550,500 kwa mjane, Amina Mayove kumwezesha kufungua biashara ndogo ajikimu kimaisha.

 

11 years ago

GPL

MJANE ASIMIKWA MTI SEHEMU ZA SIRI

MJANE mmoja (jina linahifadhiwa kwa sababu za maadili) (24) mkazi wa Kijiji cha Omuga, Wilaya ya Rorya, Mkoa wa Mara amefanyiwa ukatili wa kutisha wa kusimikwa kijiti sehemu zake za siri na shemeji zake ili kulazimishwa kuhama baada ya mumewe kufariki dunia. Msichana anayedaiwa kufanyiwa ukatili wa kutisha wa kusimikwa mti sehemu zake za siri na shemeji zake ili kulazimishwa kuhama baada ya mumewe kufariki dunia akionyesha mti...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mjane Rorya atimuliwa kwa kumshitaki shemejie

MJANE Pili Samweli (24) mkazi wa Kijiji cha Omuga, Wilaya ya Rorya, Mkoa wa Mara, ametimuliwa nyumbani kwake na ndugu wa mume kutokana na hatua ya kumfikisha polisi mmoja wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani