Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MJANE ALIPULIWA KWA PETROLI

Stori: Haruni Sanchawa  na Makongoro Oging’ MAMA mmoja mjane, Mwajuma Hamisi Lissu (42) ameteketea kwa moto baada ya nyumba aliyokuwa amelala eneo la Kibamba Hondogo A maarufu Miti Mirefu jijini Dar es Salaam, kulipuliwa kwa petroli usiku wa  Agosti 24, mwaka  huu. Marehemu Mwajuma Hamisi Lissu Enzi za uhai wake. Tukio hilo la kusikitisha inadaiwa linahusishwa  na ugomvi baada ya mama  huyo kuachana na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SHEIKH ALIPULIWA KWA BOMU ARUSHA

Sheikh wa Msikiti wa Qiblatan, Sood Ally Sood (37), uliopo Kilombero jijini Arusha amelipuliwa na bomu la kurusha kwa mkono akiwa nyumbani kwake wakati wakila daku hapa akiwa amelazwa katika Hospitali ya Mt. Meru, alijeruhiwa miguuni na mapajani. Shekhe Muhaji Hussein Kifea…

 

11 years ago

Habarileo

TSN yatoa msaada kwa mjane

Bibi Amina Mayove mkazi wa Mbagala Kipati, Dar es Salaam akipokea msaada wa fedha Sh 550,500 za mtaji wa biashara kutoka kwa Ofisa Rasilimaliwatu wa Kampuni ya magazeti ya serikali (TSN), Joseph Kilima jana. Katikati ni Kaimu Mhariri wa gazeti hili, Nicodemus Ikonko. (Picha na Mroki Mroki).KAMPUNI ya Tanzania Standard Newspapers (TSN) ambayo ni mchapishaji wa magazeti ya Daily News na HabariLeo imempatia Sh 550,500 kwa mjane, Amina Mayove kumwezesha kufungua biashara ndogo ajikimu kimaisha.

 

11 years ago

Habarileo

TAWREF yakabidhi nyumba kwa mjane, yatima

SHIRIKA la Utafiti na Huduma za Jamii (TAWREF) limekabidhi nyumba kwa mjane mwenye ulemavu, Feliciana Massawe anayekabiliwa na jukumu la kulea watoto wawili wilayani hapa.

 

10 years ago

Mwananchi

Theresia , mjane aliyetengwa kwa imani za kishirikina

“Igogoo, Igogoo, Igogoo, Igogoo.” Ni kelele za sauti nzito, zilizonishitua baada ya kufika Ofisi ya Serikali, Kata Lwamgasa, Kijiji cha Lwamgasa mkoani Geita nilipofika kikazi na baada ya kuuliza wenyeji kulikoni nikajibiwa kuna mama  anayedaiwa mshirikina aliyetengwa na familia yake sasa anaishi jirani na ofisi hiyo na ndipo zinatoka kelele hizo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mjane Rorya atimuliwa kwa kumshitaki shemejie

MJANE Pili Samweli (24) mkazi wa Kijiji cha Omuga, Wilaya ya Rorya, Mkoa wa Mara, ametimuliwa nyumbani kwake na ndugu wa mume kutokana na hatua ya kumfikisha polisi mmoja wa...

 

10 years ago

GPL

NSSF YATOA MILIONI MBILI KWA MJANE WA GURUMO

Viongozi wa NSSF na Shirikisho la Muziki Tanzania wakimkabidhi Pili Gurumo hundi hiyo.…

 

11 years ago

Mwananchi

Mjane aliyeinuka kimaisha kwa kuuza ng’ombe wa urithi

Ni katika Viwanja vya Maonyesho ya Nanenane vya John Mwakangale jijini Mbeya ndipo mjane Doroth Myunga anaeleza machungu ya maisha aliyokumbana baada ya kufiwa na mume wake mwaka 2005.

 

11 years ago

GPL

WATOTO WAWILI WALIPULIWA KWA PETROLI

Haruni Sanchawa na Roda Josiah, Bagamoyo WATOTO wawili wa familia moja, Nuru (3) na Dora  Kaitaba (2), wamefariki dunia kwa kuungua moto hadi kubaki majivu baada ya moto mkubwa uliotokana na petroli kulipuka nyumbani kwao, Mapinga, Bagamoyo mkoani Pwani. Mtoto Dora Kaitaba (2) wakati wa uhai wake. Tukio hilo lililowaliza wengi, lilijiri saa tatu usiku, Jumapili iliyopita watoto hao wakiwa ndani na baba yao.
Kwa mujibu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani