Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAWREF yakabidhi nyumba kwa mjane, yatima

SHIRIKA la Utafiti na Huduma za Jamii (TAWREF) limekabidhi nyumba kwa mjane mwenye ulemavu, Feliciana Massawe anayekabiliwa na jukumu la kulea watoto wawili wilayani hapa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

HALMSHAURI YA WILAYA IRINGA YAKABIDHI MSAADA KWA WATOTO YATIMA

 Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa Pudenciana Kisaka akiwa katika picha ya pamoja na watoto yatima wa kituo Nyumbani kilichoko Ismani.  Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa Pudenciana Kisaka akipanda mti katika shule ya msingi Igula katika Tarafa ya ismani  Wafanyakazi wa shirika la Restless Tanzania, Mwadawa na Amne wakitoa maelekezo kwa Mkurugenzi bg wa  Halmashauri ya wilaya ya Iringa Pudenciana Kisaka juu ya shughuli za shirika hilo.

 

10 years ago

Michuzi

AIRTEL YAKABIDHI FUTARI KWA WATOTO YATIMA KATIKA VITUO VITATU MKOANI DAR ES SALAAM.

 Meneja wa huduma kwa jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (kulia) akiongea na wawakilishi wa vituo vitatu vya watoto yatima baada ya kukakabidhi msaada wa vyakula mbalimbali vya mfungo wa Ramadhani kwa wawakilishi wa vituo vya kulelea watoto waliokatika mazingira magumu. Vituo vilivyopata msaada huo ni pamoja na  Almadina cha Tandale, Dogodogo cha Kigogo na Hisani cha Mbaga .wakishuhudiwa na baadhi ya watoto waishio katika vituo hivyo, katika hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana....

 

10 years ago

Michuzi

NSSF YAKABIDHI NYUMBA KWA WASANII WA ORIJINO KOMEDI

Meneja Mipango na Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Abdallah Mselly (kulia) akimkabidhi msanii wa Orijino Komedi, Mjuni Silvery 'Mpoki funguo ya moja ya nyumba za gharama nafuu walizokopeshwa wasanii  wa kikundi hicho na NSSF wakati wa hafla fupi ya kukabidhi wasanii hao zilizopo Mtoni Kijichi jijini Dar es Salaam hivi karibuni, mkopo huo utalipwa kwa kipindi cha miaka 15. (Na Mpiga Picha Wetu)Baadhi ya nyumba za gharama nafuu zilizojengwa na Shirika la Taifa la...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mjane anayelalama kuvunjiwa nyumba

KUKITHIRI kwa vilio vya wajane na watoto yatima kumekuwa gumzo kila kona hapa nchini. Zainabu Sigu (51) ni miongoni mwa wajane ambao wamekuwa wakipambana ili kupata mali zao zilizoingia kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

WLF YAKABIDHI NYUMBA ZENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 156 KWA AJILI YA WATUMISHI WA AFYA KATIKA KITUO CHA AFYA NGURUKA WILAYANI UVINZA

 .Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya kushoto Akishirikiana na Mkurugenzi Mkuu wa World Lung Foundation(wa pili kushoto)Dr Nguke Mwakatundu kukata utepe wakati wa Uzinduzi wa Nyumba za Watumishi wa Afya katika kituo cha Afya Nguruka Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma. Mkuu wa mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya  akikata utepe Ikiwa ni Ishara ya ufunguzi wa Nyumba zilizo jengwa kwa hisani ya WLF kwa ajili ya watumishi wa Afya katika kituo cha Nguruka Wilayani Uvinza Mkoani...

 

11 years ago

Habarileo

NHC yakabidhi nyumba 40 BoT

KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Felix Maagi leo amekabidhi nyumba 40 ambazo zimenunuliwa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) huku akizitaka taasisi nyingine kujitokeza kujengewa nyumba na shirika hilo.

 

10 years ago

Michuzi

SHIWATA yakabidhi nyumba 16 Mkuranga

 Wasanii wakipata maelekezo kutoka kwa Mwenyekiti wa SHIWATA, Cassim Taalib (hayupo pichani) utaratibu wa kutunza nyumba walizogaiwa kwenye kijiji cha Wasanii Mwanzega, Mkuranga juzi . Mwenyekiti wa SHIWATA, Cassim Taalib akitoa ufafanuzi wa makazi mapya ya kijiji cha M\Wasanii Mwanzega, Mkuranga baada ya kugawa nyumba 16 kwa wasanii hao.Picha ya pamoja.
 
Na Peter Mwenda

MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) imegawa nyumba nyingine 16 kwa wanachama wake waliokamilisha ujenzi ambako mpaka ...

 

10 years ago

GPL

MJANE ALIPULIWA KWA PETROLI

Stori: Haruni Sanchawa  na Makongoro Oging’ MAMA mmoja mjane, Mwajuma Hamisi Lissu (42) ameteketea kwa moto baada ya nyumba aliyokuwa amelala eneo la Kibamba Hondogo A maarufu Miti Mirefu jijini Dar es Salaam, kulipuliwa kwa petroli usiku wa  Agosti 24, mwaka  huu. Marehemu Mwajuma Hamisi Lissu Enzi za uhai wake. Tukio hilo la kusikitisha inadaiwa linahusishwa  na ugomvi baada ya mama  huyo kuachana na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani