Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mji wa Tikrit wadhibitiwa

Majeshi ya Iraq na yale Shia yamezidi kupata ushindi na kuurudisha tena mji wa Tikrit.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Jeshi la Iraq lajongelea mji wa Tikrit

Serikali ya Iraq yasema jeshi lake lafanya operesheni kubwa kuukomboa mji wa Tikrit kutoka kwa wapiganaji

 

9 years ago

BBCSwahili

IS wadhibitiwa Ramadi, Iraq

Jeshi la Iraq limesema linadhibiti jengo kubwa la serikali ambalo lilikuwa ndio kitovu cha mapigano katika mji wa Ramadi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Usalama wadhibitiwa Afrika Mashariki

Usalama umedhibitiwa vikali kanda ya Afrika Mashariki kufuatia tisho kutoka kwa kundi la wanamgambo wa kiisilamu wa Al Shabaab kushambulia nchi zenye wanajeshi wao Somalia

 

9 years ago

BBCSwahili

Ugonjwa wa Malale wadhibitiwa, Uganda

Maelfu ya watu nchini Uganda wameokolewa maisha, kutokana na mradi wa kusaidia kuutokomeza ugonjwa wa Malale

 

11 years ago

BBCSwahili

Usalama wadhibitiwa Boston Marathon

Maelfu ya wanariadha wanatarajiwa kushiriki mbio za Boston Marathon baadaye hii leo huku kukiwa na usalama wa hali ya juu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Makaburi yafukuliwa Tikrit

Wataalamu wa kuchunguza maiti, wameanza kuyafukua zaidi ya makaburi 12 ya halaiki, katika mji wa Tikrit nchini Iraq

 

10 years ago

BBCSwahili

Iraq yataka kuikomboa Tikrit

Majeshi ya serikari ya Iraq yameingia siku ya nne mfululizo ya harakati za kutaka kuukomboa mji wa Tikrit

 

10 years ago

BBCSwahili

Mapambano yaendelea mjini Tikrit

Askari nchini Iraq wasema kuwa wamefanikiwa kudhibiti maeneo kadhaa ya mji wa Tikrit

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani kushambulia IS mjini Tikrit

Rais wa Iraq Fouad Massoum ametoa ishara kwamba jeshi linaloongozwa na Marekani huenda likawashambulia wapiganaji wa IS Tikrit.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani