Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MJUE MWANASIASA WAKO JOSEPH MBILINYI ‘SUGU’

Mbunge wa Mbeya mjini mheshimiwa Joseph Mbilinyi Alizaliwa Mei Mosi, 1972 katika Hospitali ya Ligula, Mtwara, akiwa ni mtoto wa kwanza kuzaliwa kati ya watoto wanne upande wa mama yake,  Desderia Lungu.
Alianza elimu ya msingi mwaka 1981 katika Shule ya Msingi Sanawari, Arusha kabla ya baadaye, mwaka 1982 kuhamia Shule ya Msingi Ligula, Mtwara. Mwaka 1984 akiwa darasa la nne, alihama tena kutoka Mtwara hadi jijini Dar es...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Faiza akiri kuwa bado anampenda baba wa mtoto wake Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi

Mama wa mtoto wa Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph “Sugu” Mbilinyi , Faiza Ally amekiri kuwa bado anampenda baba wa mwanaye licha ya kuwa hawana uhusiano tena. Kupitia akaunti yake ya Instagram, Faiza amepost picha ya Sugu akiwa amebeba mtoto na kushare hisia zake juu ya mzazi mwenzake, post ambayo aliifuta muda mfupi baadaye. Hiki […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Maamuzi ya Mahakama kuhusu kesi aliyoifungua Mbunge Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ dhidi ya mkewe wa zamani

Ni habari ambayo imeandikwa na gazeti ya Mwananchi June 23 2015 ikitokea Mahakamani Manzese Dar es salaam kuhusu kesi iliyokua imefunguliwa na Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi kuhusu mke wake wa zamani.

Taarifa inasema Mahakama ya Manzese imeamuru Mbunge Joseph Mbilinyi akabidhiwe mtoto wao kutokana na kesi aliyoifungua dhidi ya mke wake huyu akidai anamuharibu mtoto.

Hii habari imekuja siku kadhaa tu baada ya TUZO ZA KILI 2015 ambapo mke huyu wa zamani aliingia kwenye headlines...

 

10 years ago

Vijimambo

MBEYA KULINDIMA: Mh. Joseph Mbilinyi "Sugu" kupata "Home coming" ya kifalme Mbeya


Mh. Joseph Mbilinyi ameandaliwa mapokezi ya kifalme jijini Mbeya pindi atakapo kuwa anarudi kutoka Bungeni. Baada ya kuwatumikia wakazi wa Mbeya na Tanzania kwa miaka mitano, Mh. Sugu na wanaMbeya wanasema "DAIMA MBELE, MBEYA TUNASONGA.
Mapokezi haya ya kihistoria kuwahi kutokea Tanzania yatakuwa July 12, 2015 saa Saba mchana. Msafara wa mapokezi utaanzia Itewe hadi kuishia viwanja vya Ruanda Nzovwe. Mh. Mbilinyi anatarajiwa kuongozana na viongozi mbalimbali wa kiaifa.
Kwenye mkutano wa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mbunge Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ Atoa Maelezo Yake binafsi Bungeni Baada ya Ishu ya Faiza Ally na Mtoto Wao kuzungumzwa Hapo Jana

Kwenye kilichosikika jana June 25 2015 toka ndani ya Kikao cha Bunge Dodoma ilikuwepo pia ishu ya Mbunge Martha Mlata kuanzisha mjadala kuhusu amri ya Mahakama kwamba Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi Sugu akabidhiwe mtoto wake ambae amezaa na Faiza Ally kutokana na Mbunge huyo kuonekana kutoridhwishwa na malezi ya mtoto akiwa kwenye mikono ya mama yake.

Ombi likapokelewa kwenye meza ya Naibu Spika leo June 26 2015 >>>”Nimepokea ombi maalum la kuwasilisha maombi binafsi kutoka kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Maswali kumi kwa mbunge wangu:Joseph Mbilinyi

Lini Jiji la Mbeya litapata barabara za njia mbili kupunguza msongamano?

 

10 years ago

Vijimambo

BONDIA VICENT MBILINYI 'SUGU' AJIFUA KUMKABILI KEIS AMAL MEI 30

Na Mwandishi Wetu

BONDIA Vicent Mbilinyi 'Sugu'  ameingia kambini kwa ajili ya mpambano wake mwingine utakaofanyika mei 30 katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba ambapo atakabiliana na Keis Amal kutoka Mzazi GYM 

bondia huyo anaenolewa na Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' ameingia kambini jana kwa ajili ya mpambano uho wa raundi sita ambapo siku hiyo mpambano mkubwa utakuwa ni kati ya bondia Fransic Cheka na Kiatchai Singwancha . kutoka
Thailand

mpambano...

 

10 years ago

Mwananchi

Kigwangalla, mwanasiasa aliyepikwa na mwanasiasa

Kwa kipindi cha miaka mitano, jina la Dk Hamis Kigwangalla limekuwa likivuma katika medani za siasa nchini, hasa baada ya mwaka 2010 kuteuliwa kugombea nafasi ya Ubunge katika jimbo la Nzega.

 

10 years ago

Vijimambo

ALIEKUWA MCHUMBA WA MH SUGU AFUNGUKA NA KUSEMA KUWA MHESHIMIWA SUGU HAMJALI MTOTO WALIOZAA

Aliyekuwa mpenzi wake na mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu, Faiza Ally amemtupia mzazi mwenzake kuwa hamjali mwanae baada ya kuachana.Faiza alikuwa akiongea kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV ambapo alikiri kuwa kuachana na Sugu kunaendelea kumuumiza.
“Imeniathiri sana hata hailezeki,” alisema. “Naona hata nikieleza siwezi kumaliza. Imeniathiri kiasi kikubwa sana, kwa sababu na mwaka mzima kama nikipumzika kulia ni siku moja.”“Yaani inauma sana mtu ambaye ulikuwa unamuona...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani