Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mjumbe ataka TBC ionyeshe picha za Karume

>Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Mussa Haji Kombo amelalamikia kitendo cha makala mbalimbali za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, kutokuonyesha picha za mmoja wa waasisi wa Muungano huo, Hayati Abeid Aman Karume.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Zitto ataka TBC kuchunguzwa

>Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge la Jamhuri ya Hesabu za Serikali (PAC), Kabwe Zitto amependekeza kufanyika uchunguzi wa kiufundi ili kubaini sababu za kukatika kwa matangazo ya moja kwa moja ya kituo cha televisheni cha Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wakati Bunge la Katiba likiendelea juzi.

 

10 years ago

Habarileo

Mjumbe ataka marekebisho Bunge la Katiba

SIKU chache baada ya Bunge Maalumu la Katiba (BMK) kupokea rasimu ya Katiba mpya iliyopendekezwa, mmoja wa wajumbe wa bunge hilo anayetoka kundi la 201, John Ndumbaro ameibukia mjini hapa na kutaka vipengele kadhaa vifanyiwe marekebisho.

 

11 years ago

Mwananchi

Mjumbe ataka JK apewe Tuzo ya Katiba

>Mjumbe wa Bunge la Katiba, Yusuph Manyanga amependekeza Bunge hilo na Serikali kuandaa tuzo maalumu ya kumpatia aliyekuwa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge hilo, Pandu Ameir Kificho.

 

10 years ago

Habarileo

Mjumbe Bunge Maalum ataka Ukawa wapuuzwe

WATANZANIA wametakiwa kuwapuuza Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwa maelezo kuwa Bunge Maalumu la Katiba likivunjwa na kurejea tena siku zijazo kundi hilo litatoka tena bungeni.

 

11 years ago

Habarileo

Balozi Karume ataka muungano udumishwe

BALOZI mstaafu Ali Abeid Karume ametaka watanzania kuhakikisha wanatunza na kuudumisha muungano. Alisema Tanzania ni nchi pekee Afrika inayojivunia kuwa na muungano huo unaotimiza miaka 50 sasa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mjumbe UVCCM ataka tume huru kashfa Escrow

MJUMBE wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mkoa wa Ruvuma, Khalfan Kigwenembe, amemuomba Rais Jakaya Kikwete kuunda Tume Huru ya kuchunguza tuhuma zilizotolewa na...

 

11 years ago

Mwananchi

Mjumbe ataka mijadala ya Katiba ‘izingatie hoja, si watu’ [VIDEO]

Wajumbe wa Bunge Maalum wameaswa wajadili hoja zilizomo kwenye rasimu iliyowasilishwa Bungeni hapa, badala ya kujadili watu.

 

11 years ago

Mtanzania

Bunge la Katiba: Mjumbe ataka atumiwe tiketi ya ndege Marekani

Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania Bw, Deus Kibamba

Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania Bw, Deus Kibamba

Na Fredy Azzah, Dodoma

MWENYEKITI wa Jukwaa la Katiba Tanzania, Deus Kibamba, amesema mmoja wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba hadi sasa hajahudhuria vikao vya Bunge hilo kwa vile aliteuliwa akiwa Marekani.

Amesema mjumbe huyo pia amekuwa akiitaka Ofisi ya Bunge la Katiba imtumie tiketi ya ndege aweze kuhudhuria vikao hivyo vinavyoendelea mjini Dodoma.

Kibamba akizungumza na waandishi wa habari Dodoma jana, alisema tathmini ya wiki...

 

9 years ago

Bongo Movies

Picha: Jionee Mafuriko, Diamond Akiwa Soko la Karume Mapema Leo

Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platimumz mapema leo alikuwa viwanja vya soko la karume jiji Dar  akitambulisha show yake ya Darlive siku ya tarehe 25,ambapo pia aliimba kidogo na kugawa CD za wimbo wake mpya wa UTANIPENDA.

Hizi ni baadhi ya picha za tukio hilo.

diamond231

Diamond Akiwa Karume

DIAMOND23412

Diamond Akiwa Karume

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani