Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balozi Karume ataka muungano udumishwe

BALOZI mstaafu Ali Abeid Karume ametaka watanzania kuhakikisha wanatunza na kuudumisha muungano. Alisema Tanzania ni nchi pekee Afrika inayojivunia kuwa na muungano huo unaotimiza miaka 50 sasa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BALOZI KARUME ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO

Balozi Ali Karume akizungumza katika mkutano wake na waandishi wa habari kwa ajili ya kutangaza nia ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM. Nia hiyo aliitangaza katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya kati uliopo Dunga Zanzibar.Picha na Haroub Hussein

 

11 years ago

Habarileo

‘Muungano haukuwa uamuzi wa Nyerere,Karume’

BUNGE Maalumu la Katiba limeelezwa kuwa si kweli kwamba muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar uliozaa Tanzania, haukuwa na ridhaa ya wananchi kama inavyodaiwa na baadhi ya watu. Badala yake, Bunge hilo limeelezwa kwamba ukweli ni kwamba viongozi wa kitaifa wa wakati huo, Mwalimu Julius Nyerere na Abeid Amaan Karume, walipata ridhaa ya wananchi kwa utaratibu uliofaa kwa wakati ule, kabla ya kufikia maridhiano wao wawili.

 

11 years ago

Mwananchi

Rashid: Muungano ulikuwa siri ya Nyerere na Karume

Bunge la Katiba, linaendelea na vikao vyake mjini Dodoma na miongoni mwa hoja kuu katika mijadala yake ni suala la Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

 

11 years ago

Mwananchi

Mjumbe ataka TBC ionyeshe picha za Karume

>Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Mussa Haji Kombo amelalamikia kitendo cha makala mbalimbali za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, kutokuonyesha picha za mmoja wa waasisi wa Muungano huo, Hayati Abeid Aman Karume.

 

10 years ago

Michuzi

ALI KARUME AJITOKEZA KUGOMBANI NAFASI YA URASI WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

 Balozi Ali Karume akisalimiana na makada wa chamacha Mapinduzi mara baada ya kuwasili katika Ofisi ya  Halmashauri  Wilaya ya  kati Dunga Zanzibar kwa ajili ya kutangaza nia ya kutaka kugombania nafasi ya Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.  Baadhi ya makada walio shirika katika kumuunga mkoko mgombea   Uraisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzaniakatika Ofisi ya  Halmashauri  Wilaya ya  kati Dunga  Zanzibar.Balozi Ali Karume akiwahutubia wananchi waliofika hapo ili kujuwa lengo...

 

10 years ago

Habarileo

Balozi Karume kutangaza nia leo

Balozi Ali Karume.JOTO la urais wa awamu ya tano linazidi kupanda miongoni mwa makada wa CCM, baada ya baadhi yao kuanza kutangaza nia, na leo Balozi mstaafu Ali Karume anatarajiwa kufanya hivyo, akilenga kutaka kumrithi Rais Jakaya Kikwete anayemaliza muda wake Oktoba mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Balozi Karume: Hatutaki Rais ‘ndiyo mzee’

>Mwanadiplomasia mashuhuri visiwani Zanzibar,  Balozi Ali Karume ametangaza nia ya kuchukua fomu ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu ujao.

 

5 years ago

CCM Blog

BALOZI KARUME ACHUKUA FOMU KUOMBA KUWANIA URAIS ZANZIBAR

Waziri wa Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Ali Abeid Karume amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea urais wa visiwa hivyo kupitia CCM. Amesema akiteuliwa ataendeleza mazuri yaliyofanywa na watangulizi, ikiwemo kuimarisha muungano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani