Mkahawa wa Kichina hauruhusu raiya weusi
Mkahawa wa kichina umezua mjadala mkali nchini Kenya baada ya kuweka sheria zinazowazuia wakenya weusi kungia baada ya saa 11 jioni.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili25 Mar
Mgahawa wa Kichina wakiri kuwazuia weusi
Wamiliki wa mgahawa wa kichina uliopo jijini Nairobi nchini Kenya uliofungwa na mamlaka ya eneo hilo amekiri kuwazuia watu weusi
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-d4y81680bE8/VMAS2Px0D_I/AAAAAAABipY/WPMVzR1ri4g/s72-c/848.jpg)
Madaktari wa kichina waenda Mapumziko kusherehekea mwaka mpya wa kichina
![](http://1.bp.blogspot.com/-d4y81680bE8/VMAS2Px0D_I/AAAAAAABipY/WPMVzR1ri4g/s640/848.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-J7ahw61tuhY/VMAS1l5xwaI/AAAAAAABipU/ORhCEQGGW-g/s640/864.jpg)
10 years ago
Bongo526 Nov
Weusi kuzindua video zao 5 mpya kwenye show ya ‘Funga mwaka la Weusi’ Jumamosi hii Dar
Familia ya Weusi inaendelea kuonesha matunda ya muungano wao, wakiwa wanaendelea na ziara ya show zao za Funga mwaka, wiki hii Weusi wanatarajia kuzindua video zao tano kwa mpigo pale Escape One, jijini Dar es salaam. Msemaji wa kundi hilo Nikki Wa Pili amezitaja video watakazozindua Jumamosi hii November 29, kuwa ni video yake ya […]
10 years ago
BBCSwahili26 Jul
Mlipuko mkubwa katika mkahawa Somalia
Takriban watu 10 wameuawa kufuatia mlipuko mkubwa uliotokea katika hoteli moja katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu.
11 years ago
BBCSwahili18 Jan
Bomu kwenye mkahawa wa Kabul lauwa wengi
Shambulio la kujitolea mhanga katika mji mkuu wa Afghhanistan, Kabul, umeuwa wageni wengi wa mashirika ya kimataifa
10 years ago
BBCSwahili06 Nov
Liamba:Chombo kinachohudumia raiya Tz
Chombo cha The Goetzen,kingali kinahudumu Tanzania kuwasafirisha abiria licha ya kuhudumu kama manuari ya jeshi katika vita vya pili vya dunia
11 years ago
BBCSwahili04 Apr
Urusi yawanasa raiya 25 wa Ukraine
Kitengo cha usalama wa ndani cha Urusi Kimewatia mbaroni raiya 25 kutoka Ukraine kwa uchochezi.
10 years ago
BBCSwahili26 Sep
Raiya 3000 wa Ulaya ni wafuasi wa I.S
Idadi ya raiya kutoka Uropa wanaojiunga na kundi la wapiganaji wa Kiislamu IS nchini Syria na Iraqi ni zadi ya 3000
10 years ago
BBCSwahili29 Sep
UK yaondoa tahadhari dhidi ya raiya wake
Serikali imeondoa tahadhari iliyowekea raiya wake kuingia Kenya
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania