Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKAPA NDIYE ALIYENUSURU VURUGU ISITOKEE NEC, JITIRIRIKIE MWENYEWE

By Mwandishi Wetu, Mwananchi
Dar es Salaam. Kauli ya Rais wa Awamu ya tatu, Benjamin Mkapa ya kutaka wajumbe wa Halmashauri Kuu kupiga kura na wale wasioafiki watoke, ndiyo inaelezwa kuwa ilimaliza mzozo ulioibuka baada ya jina la Edward Lowassa kuenguliwa mapema.

Kikao hicho kilichofanyika Julai 10 kilionekana kuelekea kukumbwa na mtafaruku baada ya wajumbe kumpokea Rais Jakaya Kikwete kwa wimbo wa kuonyesha kuwa wana imani na waziri huyo mkuu wa zamani ambaye jina lake halikuwamo miongoni...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Amri ya Mkapa ilivyozima vurugu NEC

>Kauli ya Rais wa Awamu ya tatu, Benjamin Mkapa ya kutaka wajumbe wa Halmashauri Kuu kupiga kura na wale wasioafiki watoke, ndiyo inaelezwa kuwa ilimaliza mzozo ulioibuka baada ya jina la Edward Lowassa kuenguliwa mapema.

 

10 years ago

Vijimambo

ATHARI ZA UREMBO BANDIA HIZI HAPA HEBU JITIRIRIKIE MWENYEWE



Huwezi kuepuka matangazo ya mauzo kila utembeapo katika Mji wa Seoul,utapata wito wa kukutaka ubadilishe umbo kwa njia ya upasuaji wa kuongeza urembo bandia.

Katika mtaa wa ukwasi wa Gangnam,kila ukuta una ishara ya kukuelekeza sehemu ya upasuaji wa aina hii

Kwenye treni na mitaani,unaelezewa kuwa ''unaweza kurudisha uchanga usoni mwako.''kuweka ama kuondoa mikunjo usoni'' inapendekezwa kufanyiwa-''upasuaji wa matiti'',''kuzuia kuzeeka'' ''kubadili kope za macho''''kupunguza nyama na ngozi...

 

10 years ago

Vijimambo

SABABU ZA KWANINI TIBAIJUKA ALIKATAA KUJIUZULU HIZI HAPA JITIRIRIKIE MWENYEWE

WIKI moja Kupita Baada ya aliyekuwa Waziri wa Kazi,Nyumba na Mandeleo na Makazi Profesa Anna Tibaijuka kufukuzwa kazi kwenye nafasi hiyo,sasa Mengine mapya yaanza kufichuka kuhusu kufukuzwa kazi kwake,paparazi huru umeelezwa.

Taarifa Zinasema Prof Tibaijuka alifukuzwa kazi kutokana na ukosefu wa Maadili kama ambavyo Rais Jakaya Kikwete alivyodai,
Rais Kikwete alitangaza kumfukuza kazi Mbunge huyo wa Muleba Kusini (CCM)katika Mkutano wake wa Wazee wanaokaa mkoa wa Dar es Salaam uliofanyika...

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AZUA SINTOFAHAMU BAADA YA KUSEMA CCM OYEE KWENYE MKUTANO WA UKAWA MSINDAI NAE NI KAMA LOWASSA JITIRIRIKIE MWENYEWE

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (kulia) akimkabidhi kadi ya uanachama wa chama hicho aliyekuwa Mwenyekiti wa wenyeviti wa CCM, Mgana Msindai baada ya kujiunga na Chadema hivi karibuni. Kushoto ni Mbunge wa zamani wa Jimbo la Segerea, Makongoro Mahanga. Picha ya Maktaba
Tabora/Manyoni/Dar. Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa jana alizua sintofahamu baada ya kusema; “CCM oyee”, kauli iliyowafanya wananchi hao kukaa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mkapa, Mwinyi na Karume wainusuru NEC

Marais wastaafu watatu na makamu wa zamani wa CCM jana walifanya kazi kubwa ya kukinusuru chama hicho kuingia kwenye mgogoro uliokuwa unanukia baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kuenguliwa kwenye mbio za urais.

 

10 years ago

Vijimambo

BVR zaiweka Nec mtegoni. Yaandikiwa barua isitishe uandikishaji kuepusha vurugu.

Mwenyekiti wa Nec, Jaji Damian Lubuva.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imetakiwa kumshauri Rais Jakaya Kikwete, kusitisha upigaji kura ya maoni ya Katiba inayopendekezwa Aprili 30, mwaka huu, kwa maelezo kuwa kulazimisha suala hilo kutasababisha mpasuko na hatimaye kuzua vurugu na kuvunja amani ya nchi.

Pia imetakiwa kutokubali kuingiliwa katika utendaji wake wa kazi ikiwamo kulazimishwa kuendesha mchakato wa kura ya maoni katika tarehe hiyo.

Matamko hayo yalitolewa kwa nyakati tofauti na...

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AKUTANA NA MZEE MKAPA NA MAMA ANNA MKAPA JIJINI MWANZA

PG4A2748Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na  Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa kwenye Ikulu ya Mwanza  ambako atakuwa  mgeni rasmi katiaka harambee ya Mkapa Foundation inayotarajiwa kufanyika  jijini Mwanza.
PG4A2753Waziri Mkuu Mizengo  Pinda akizungumza na  Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa kwenye Ikulu ya Mwanza  ambako  atakuwa   mgeni rasmi katiaka harambee ya Mkapa Foundation inayotarajiwa kufanyika  jijini Mwanza. (Picha na Ofisi ya Waziri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani