Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkapa: Vita ya tatu ya Dunia inaweza kutokea.

Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, amezipa angalizo nchi za Kiafrika kukuza uongozi bora na kuachana na mikataba mibovu isiyojali ustawi wa wananchi kwa kuwa inaweza kuzipeleka katika vita.

Miongoni mwa mikataba ambayo amesema kuwa ni mibovu na isiyofaa, hivyo iepukwe ni wa Kiuchumi baina ya Mataifa ya Afrika, Caribbean na Pacific (EPA), ili kuepusha vita, ambayo kwa sasa itakuwa ni ya kiuchumi.

Aidha, ametaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) lifumuliwe ili kuongeza nchi nyingine ambazo...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Albert Pike alitabiri vita kuu tatu za dunia

Watu wachache sana duniani wanafahamu mipango na malengo aliyoyaweka Albert Pike na waasisi wenzake wa mfumo mpya wa kutawala ulimwengu (New World Order), ambao wafuasi wa itikadi ya uashi huru (freemason) wanapigania usiku na mchana kuuanzisha na kuuenzi.

 

10 years ago

Mwananchi

Albert Pike alitabiri vita kuu tatu za dunia-2

Albert Pike alifanya kazi zake kwa ukaribu na Giusseppe Mazzini wa Italia (1805-1872) ambaye alikuwa ni mwashi huru mwenye digrii 33, ambaye alikuwa ni mkuu wa Illuminati mnamo mwaka 1834, na ndiye mwanzilishi wa kundi la Mafia mnamo mwaka 1860.

 

9 years ago

Mtanzania

Mkapa: CCM ikishindwa dunia itashitushwa

g1Amina Omari na Oscar Assenga, TANGA

RAIS mstaafu, Benjamin Mkapa amesema iwapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitashindwa kushika dola katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika siku nane kuanzia leo, dunia nzima itashitushwa kutoka na chama hicho kuwa na misingi imara ya uongozi.

Kauli hiyo aliitoa mjini hapa jana, katika Viwanja vya Tangamano wakati wa mkutano wa hadhara wa kumnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Tanga Mjini kupitia chama hicho, Omari Nundu na madiwani wa kata 27.

Alisema itakuwa ni maajabu...

 

9 years ago

BBCSwahili

Japan yajutia vita vya dunia

Emperor Akihito wa Japan amejutia vita vya pili vya dunia kwenye sherehe za kuadhimisha miaka 70 tangu kumalizika vita hivyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Armenia wakumbuka vita kuu ya dunia

Raia wa Armenia kutoka pande zote Duniani wanakusanyika mji mkuu ,Yerevan kufanya kumbukumbu ya mauaji vita kuu ya dunia.

 

11 years ago

GPL

Wambura Vs Friends of Simba ni vita ya dunia

Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais klabuni hapo, Michael Wambura.
Hans Mloli na Sweetbert Lukonge
SIKU chache baada ya Kamati ya Rufani ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kumrejesha Michael Wambura katika kinyang’anyiro cha Uchaguzi Mkuu wa Simba kuwania urais, mgombea huyo ameibuka na kutoa mazito yaliyo moyoni. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye makao makuu ya klabu hiyo Msimbazi jijini, Wambura alieleza...

 

10 years ago

Mwananchi

Dunia yaadhimisha miaka 70 ya kumalizika kwa vita

>Dunia imeadhimisha miaka 70 ya kumalizika kwa Vita vya Pili ya Dunia baada ya Jeshi la Kinazi la Ujerumani kujisalimisha kwa jeshi la muungano wa Jamhuri za Kisovieti, Mei 8, mwaka 1945.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani